Ripoti ya CAG ya 2017/2018 itafutiliwa na watu wengi zaidi kuliko ripoti zote za miaka ya nyuma wakiwemo mabalozi,nchi wahisani na mashirika ya fedha

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Hivi ndivyo ninavyoweza kusema ikiwa ni matokeo ya Azimio la Bunge kukataa kufanya kazi na CAG.

Tutashuhudia wananchi wengi wa kawaida,wanasiasa,wasomi,wanazuoni,wanaharakati,watanzania waishio nje ya nchi, n.k wakiungana na mabalozi,nchi wahisani na mashirika ya fedha ya kimataifa kujua kilichomo katika ripoti hiyo.

Tusubiri ila tuombe tu kusiwe na uchakachu.......ji.
 
Ndugai kaharibu Sana timing

Ikulu ilipokea report kimya kimya kwa sababu Maalum, Baada ya kimya kutawala Ofisi ya CAG ikatoa press release kujulisha Umma Na kutaja maeneo yote ya Ukaguzi
Kazi

Assad anajua Sana kutegua Mitego Hata la kuitwa Bungeni lilikuwa Tego akategua
 
Back
Top Bottom