Ripoti ya CAG juu ya mgogoro manispaa ya Bukoba

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,414
2,000
Ilikuwa jumatatu ya wiki hii tulipopewa taharifa kwamba ripoti ile ilihairishwa kuwekwa hadaharani mbele ya madiwani wa manispaa na kwamba zoezi hilo lingefanyika leo Ijumaa,walioko maeneo tunaomba taharifa endapo ni leo ama imebadilishwa tena na labda updates zikoje

Mods kama kuna thread ya leo inahusiana na taharifa hii basi mnaweza kuziunganisha.
 

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,414
2,000
Walioko huko tujuzeni jamani mbona tena mmeingia mitini na ndo leo yenyewe?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom