Ripoti ya CAG : CHADEMA yapata hati safi

Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , chama cha siasa ambacho kimeshikilia rekodi ya dunia ya kushambuliwa na serikali , kimeonekana na CAG kuwa chama kinachozingatia weledi katika matumizi ya pesa zake , na hivyo kuudhihirishia ulimwengu kuhusu umakini wa viongozi wake...
CHADEMA hoyeeeeeee!
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , chama cha siasa ambacho kimeshikilia rekodi ya dunia ya kushambuliwa na serikali , kimeonekana na CAG kuwa chama kinachozingatia weledi katika matumizi ya pesa zake , na hivyo kuudhihirishia ulimwengu kuhusu umakini wa viongozi wake , jambo lililopelekea kuiumbua vibaya sana TAKUKURU iliyowahi kutumika kushambulia chama hiki kwa kutumwa na mtu duni aitwaye Lijuakali...
Soma vizuri ufisadi uliofanyika gharama yake wangeweza kujenga ofisi ya ghorofa tatu!
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , chama cha siasa ambacho kimeshikilia rekodi ya dunia ya kushambuliwa na serikali , kimeonekana na CAG kuwa chama kinachozingatia weledi katika matumizi ya pesa zake...
Kwa nini anakagua ma vyama ambavyo havipati ruzuku; ninajua kuwa jukumu lake ni kukagua matumizi ya hela za umma tu. Kwa vyama vya watu binafsi asingejishughulisha navyo kama ambavyo amefanya kwa DP na CHAUMMA.

Muda na raslimali ambazo maodita wake wamepitia katika kukagua vyama hivyo ni mtumizi mabaya ya mali za umma anazotakiwa kulinda.
 
Mimi nasema kila siku, hakuna haja ya uchaguzi tena, mim ni CHADEMA lakini jinsi mama anavyo nifurahisha sioni kwanini tuvuruge pesa ajili ya uchaguzi, mama yetu awe Rais wa kudumu Tanzania, Ogopa Rais anaye kubalika mpaka na Mwenyekiti wetu Mbowe na Godbles, wito wangu Lema na Lisu warudi tu nchini tuijenge nchi yetu
 
Kwa nini anakagua ma vyama ambavyo havipati ruzuku; ninajua kuwa jukumu lake ni kukagua matumizi ya hela za umma tu. Kwa vyama vya watu binafsi asingejishughulisha navyo kama ambavyo amefanya kwa DP na CHAUMMA.

Muda na raslimali ambazo maodita wake wamepitia katika kukagua vyama hivyo ni mtumizi mabaya ya mali za umma anazotakiwa kulinda.
😆😆😆 Pole mnyonge
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom