Ripoti ya CAG 2017/2018: Vitambulisho vya Taifa Serikali ilikurupuka(?)

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,004
CAG abaini sababu za kampuni kusimama kutengeneza vitambulisho
pic+vitambulisho.jpg

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka wa fedha 2017/2018 unaoishia Juni 30 mwaka 2018, imebaini kuwa kampuni ya Iris Corporation Berhad ya Malaysia imesimamisha shughuli zote za kutengeneza vitambulisho vya taifa nchini.

Dodoma. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad amebaini kampuni ya IRIS Corparation Berhad ya nchini Malaysia imesimamisha shughuli zote za kutengeneza vitambulisho vya taifa kuanzia Machi 14 mwaka jana.
Profesa Assad amesema hayo leo wakati akielezea ripoti yake ya ukaguzi ya mwaka wa fedha 2017/2018 inayoishia Juni 30, 2018, jijini Dodoma jana.

Amesema sababu za kusimama kwa shughuli hiyo zinajumuisha kutolipwa deni la mkandarasi la Dola za Marekani milioni 30.18 (Sh 69.98 bilioni) na kutoongezwa kwa muda wa mkataba kwa kipindi cha miezi 10 tangu muda wa mkataba wa awali Machi 14 mwaka 2018.

Amesema katika ukaguzi uliofanywa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), ilibainika kuwa kati ya watu 19,662,105 waliosajiliwa ni vitambulisho 4,511,809 tu ndivyo vilivyotengenezwa sawa na asilimia 23 ya idadi ya watu walioandikishwa.
 
By Sharon Sauwa, Mwananchi ssauwa@mwananchi.co.tz
pic+vitambulisho.jpg

In Summary

Serikali mbona bado inadai watu wawe na hivyo vitambulisho!
Lukuvi Hii inamhusu umiliki wa viwanja siku hizi mpaka uwe na kitambulisho cha Taifa
Mtu kachukua 10% wenye mashine wamechukua mkwanja wamesepa
Malaysia nao wakuwapa shughuli nzito kama hiyo mtegemee kulizwa
 
Ndiyo na mimi kinachonistaajabisha hicho Pakawa. Hii inamaanisha Serikali yenyewe haijui kama hivyo vitambulisho vimeachwa kuchapishwa tangu March, 2018! Na katika idadi ya Watanzania 19.6 millions walioandikishwa kupata vitambulisho hivyo vilivyotolewa hadi sasa ni 4.5 millions au sawa na 23% tu na 77% hawajapata na haijulikani watapata lini vitambulisho hivyo.

Shida kila mtu amekuwa msemaji wa serikali
Ni barabara zisizokutana
Kuna OCD RPC Katibu Naibu Mwenyekiti wa kijiji wa chama fulani mkurugenzi hizo zote ni barabara hazikutani
 
Kabisa mambo ni shakalabaghala hakuna anayejua nini kinachoendelea ni matamko tu ya hovyo hovyo yasiyo na maslahi kwa Watanzania.

Tuna pesa za kutosha za kununua korosho....really!? 😳

Shida kila mtu amekuwa msemaji wa serikali
Ni barabara zisizokutana
Kuna OCD RPC Katibu Naibu Mwenyekiti wa kijiji wa chama fulani mkurugenzi hizo zote ni barabara hazikutani
 
Kabisa Best hii Serikali iliyojaa majizi, yaani wizi na ubadhirifu wa trillions za walipa kodi nje nje na si ajabu hizo nazo zilichotwa bila idhini ya Bunge. Wakapiga mpunga wao kisha wakaingia mitini na kuzuga Serikali haina pesa na mkataba hauwezi kuongezwa kwa miezi 10.

Aliyeko tuingiza chaka ameshakula 10% yuko kimya. Upigaji wa wazungu wanaangalia Tina ya taifa imekaaje kabla ya tija yake.
 
Best hii Serikali iliyojaa majizi na mafisadi waliingia mkataba na kupiga mpunga wao wa uhakika kisha kudai Serikali haina pesa na haiwezi kuongeza mkataba kwa miezi 10 huku wakiwa wameshachukua chao mapema.

Aliyeko tuingiza chaka ameshakula 10% yuko kimya. Upigaji wa wazungu wanaangalia Tina ya taifa imekaaje kabla ya tija yake.
 
CAG abaini sababu za kampuni kusimama kutengeneza vitambulisho
By Sharon Sauwa, Mwananchi ssauwa@mwananchi.co.tz
pic+vitambulisho.jpg

In Summary
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka wa fedha 2017/2018 unaoishia Juni 30 mwaka 2018, imebaini kuwa kampuni ya Iris Corporation Berhad ya Malaysia imesimamisha shughuli zote za kutengeneza vitambulisho vya taifa nchini.

Dodoma. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad amebaini kampuni ya IRIS Corparation Berhad ya nchini Malaysia imesimamisha shughuli zote za kutengeneza vitambulisho vya taifa kuanzia Machi 14 mwaka jana.
Profesa Assad amesema hayo leo wakati akielezea ripoti yake ya ukaguzi ya mwaka wa fedha 2017/2018 inayoishia Juni 30, 2018, jijini Dodoma jana.

Amesema sababu za kusimama kwa shughuli hiyo zinajumuisha kutolipwa deni la mkandarasi la Dola za Marekani milioni 30.18 (Sh 69.98 bilioni) na kutoongezwa kwa muda wa mkataba kwa kipindi cha miezi 10 tangu muda wa mkataba wa awali Machi 14 mwaka 2018.

Amesema katika ukaguzi uliofanywa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), ilibainika kuwa kati ya watu 19,662,105 waliosajiliwa ni vitambulisho 4,511,809 tu ndivyo vilivyotengenezwa sawa na asilimia 23 ya idadi ya watu walioandikishwa.
Mmmh...this is a bit confusion. Sijawahi kusikia malalamiko ya wananchi kuhusu hivi vitambulisho. Kila anayekwenda kujiandikisha anapatiwa kitambulisho chake labda kama ana tatizo la uraia n.k. sasa huu ukaguzi wa kusema 23% tu ndo wamepatiwa naona kuna walakini. Anyway ngoja tuone majibu ya Serikali katika wakati muafaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wameachwa uchi wote na wale wachumia tumbo madiwani na wabunge waliohamia ccm kuunga mkono utendaji wa kamongo. Hakuna utendaji wowote uliotukuka ni wizi, ufisadi na ubadhirifu wa trillions za walipa kodi wa kutisha.

Wale Waheshimiwa wagonga meza kwao hili limekaaje?? Maana kila kitu wanamsifia Jiwe kuwa wengine walishindwa yeye kaweza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna walakini humu pia wapo waliolalamika kwamba wamesubiri vitambulisho hivyo kwa kipindi kirefu wengine zaidi ya mwaka bila mafanikio. CAG Assad si mtu wa kukurupuka na kuandika kitu ambacho hana sufficient evidence.

Mmmh...this is a bit confusion. Sijawahi kusikia malalamiko ya wananchi kuhusu hivi vitambulisho. Kila anayekwenda kujiandikisha anapatiwa kitambulisho chake labda kama ana tatizo la uraia n.k. sasa huu ukaguzi wa kusema 23% tu ndo wamepatiwa naona kuna walakini. Anyway ngoja tuone majibu ya Serikali katika wakati muafaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale tuliosema huyu mtu hakustahili kuwepo Ikulu kauli zetu zinazidi kuwa na nguvu siku hadi siku. Huyu mtu ni janga kubwa la Taifa na hali itazidi kuwa mbaya sana nchini kutokana na tabia yake ya kibri cha hali ya juu, dharau ya hali ya juu, kujiona anajua kuliko mwingine yeyote na pia kutotaka kukosolewa na kutoambilika.

Na wengine wanasema aongezewe muda wa kukaa madarakani ili akamilishe mipango yake,kumbe mipango yenyewe ni wizi mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wameachwa uchi wote na wale wachumia tumbo madiwani na wabunge waliohamia ccm kuunga mkono utendaji wa kamongo. Hakuna utendaji wowote uliotukuka ni wizi, ufisadi na ubadhirifu wa trillions za walipa kodi wa kutisha.
Mkuu umenikumbusha yule mama Mkurugenzi kule Njombe, alipoulizwa na Jiwe kwanini ujenzi wa stendi kuu Njombe haujakamilika? Yeye alimimbilia kumsifia kwanza Jiwe kwa kusema: Mh Rais nakushukuru kwa kutupatia fedha zote za mradi ktk awamu ya kwanza na ya pili. Mh Rais mradi ulianza rasmi 2014. Hapo Jiwe akashtuka anapewa sifa hasizozistahili. Akamuambia mama tafadhali sema ukweli usinidanganye. Hapo Jiwe alijua 2014 hakuwa Rais bado. Sasa hizo fedha alimpatiaje??

Wakati mwingine hawa Watendaje wake wanatia aibu kwa kukurupuka. Wanapaswa kuwa wakweli kwani wataweza kuutetea na kuyajibu maswali ya Jiwe kwa ufasaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom