Ripoti ya CAG 2017/2018: Benki ya Posta walitumia Sh. Milioni 495 kuchora nembo tu!

Witmak255

JF-Expert Member
Feb 5, 2019
3,264
5,403
Wakati Mheshimiwa Rais Magufuli anatumia bei ya kununua Passo used (5m) kuchora Twiga kwenye Bombadia, Kuna wazee Pale bank ya posta (TPB) - Tanzania Postal Bank wametumia Tshs 495 (milioni mia nne tisini na tano) kuchora hii logo (pichani) yenye nembo yao

Nimecheka sana, Anyway maisha lazma yaendelee.
FB_IMG_1554905439817.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati Mheshimiwa Rais Magufuli anatumia bei ya kununua Passo used (5m) kuchora Twiga kwenye Bombadia, Kuna wazee Pale bank ya posta (TPB) - Tanzania Postal Bank wametumia Tshs 495 (milioni mia nne tisini na tano) kuchora hii logo (pichani) yenye nembo yao

Nimecheka sana, Anyway maisha lazma yaendelee.View attachment 1067802

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nembo moja au zote tuzionazo? chunguza kwanza! Ya twiga ni moja tu!
 
Wakati Mheshimiwa Rais Magufuli anatumia bei ya kununua Passo used (5m) kuchora Twiga kwenye Bombadia, Kuna wazee Pale bank ya posta (TPB) - Tanzania Postal Bank wametumia Tshs 495 (milioni mia nne tisini na tano) kuchora hii logo (pichani) yenye nembo yao

Nimecheka sana, Anyway maisha lazma yaendelee.View attachment 1067802

Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani ukiwa na data full itapendeza Kama hapo ilikuwa mwaka gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona watu wanatumia nguvu nyingi kuikataa Report ya CAG kwa kutudanganya kwa rugha ya sijui weakness jua hapo kuna uwizi wa kiwango cha juu mno ni kumuambia mhasibu asitumie neno weakness kwenye report zao ambayo inatambulika kwenye IFRS jua huyo mtu ana matatizo binafsi sio bure....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom