Troll JF JF-Expert Member Feb 6, 2015 7,804 12,233 Jun 12, 2017 #1 Iliundwa na Jakaya Mrisho Kikwete ili kuchunguza mikataba ya Madini Kwa wale waliokua wadogo Unaweza Kuisoma hapa INA Page 28 tuu pia hawajaandika katika ile Lugha mnayoiogopaga! Nimepambana sana Kupata Ripoti hii. Attachments ripotiyabomani.pdf 792.8 KB · Views: 68
Iliundwa na Jakaya Mrisho Kikwete ili kuchunguza mikataba ya Madini Kwa wale waliokua wadogo Unaweza Kuisoma hapa INA Page 28 tuu pia hawajaandika katika ile Lugha mnayoiogopaga! Nimepambana sana Kupata Ripoti hii.
House of Commons JF-Expert Member Oct 1, 2013 2,172 2,170 Jun 12, 2017 #2 kumbe ukweli ulikuwapo ila kwa makusudi serikali haikutaka kumaliza tatizo?
Mkwawe JF-Expert Member Jun 10, 2016 3,007 5,287 Jun 12, 2017 #3 "Kwanini" juu ya hili ziko nyingi sana Ila basi tu [HASHTAG]#HappyAnniversaryToMeInJF[/HASHTAG]
Troll JF JF-Expert Member Feb 6, 2015 7,804 12,233 Jun 12, 2017 Thread starter #4 Mkwawe said: "Kwanini" juu ya hili ziko nyingi sana Ila basi tu [HASHTAG]#HappyAnniversaryToMeInJF[/HASHTAG] Click to expand... Mbona hueleweki!
Mkwawe said: "Kwanini" juu ya hili ziko nyingi sana Ila basi tu [HASHTAG]#HappyAnniversaryToMeInJF[/HASHTAG] Click to expand... Mbona hueleweki!