Kwa dondoo za taarifa hii ni ajabu kutoa pongezi. Tupeane pole, inapokuwa idadi ya watanzania 12m wanaishi chini ya dollar 1 kwa siku. Na ukiwaona watanzania hao wako hoi kweli!. Wanakufa kwa kukosa sh 1000 ya kununua flagyl kutibu tumbo baada ya kunywa maji ya mtaroni.