RIPOTI: Uganda kinara wa Kiingereza Afrika Mashariki. Kenya doroo

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,528
Ripoti maalumu ya wakfu wa the World Linguistic Society imeitaja Uganda kama nchi kinara kwa kuzungumza Kiingereza fasaha Barani Afrika. Ripoti wakfu huo inazitaja nchi nyingine kuwa ni Zambia na Afrika Kusini.

Maoni yangu:

Wakenya muache kiburi na majisifu ninyi Kiingereza wepesi sana Uganda ndo wababe wa lugha ya Malkia.
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Kinara ni Bongo hapa kwetu; shida hao wanachanganya na mother tongue halafu mnadhani wanajua English
Lakini wataalamu wanasema accent sio issue sana ilimradi unanyoosha sarufi, sasa Uganda pamoja na lafudhi zao za laikingi kama mzee Shaka Ssali ambae ni mfano wa waganda bado wanakinyoosha cha malkia.
 
Ripoti maalumu ya wakfu wa the World Linguistic Society imeitaja Uganda kama nchi kinara kwa kuzungumza Kiingereza fasaha Barani Afrika. Ripoti wakfu huo inazitaja nchi nyingine kuwa ni Zambia na Afrika Kusini.

Maoni yangu:

Wakenya muache kiburi na majisifu ninyi Kiingereza wepesi sana Uganda ndo wababe wa lugha ya Malkia.
Nakubaliana na wakfu!
 
Sisi tunajivunia kiswahili chetu kwa sasa hata vitabu vya sheria ni kiswahili ata somo la English litaanza kufundushwa kwa kiswahili
 
Ripoti maalumu ya wakfu wa the World Linguistic Society imeitaja Uganda kama nchi kinara kwa kuzungumza Kiingereza fasaha Barani Afrika. Ripoti wakfu huo inazitaja nchi nyingine kuwa ni Zambia na Afrika Kusini.

Maoni yangu:

Wakenya muache kiburi na majisifu ninyi Kiingereza wepesi sana Uganda ndo wababe wa lugha ya Malkia.
Lugha za mabeberu
 
Attachments

  • English please .mp4
    3.6 MB
  • twitter_20210206_211558.mp4
    846.2 KB
Back
Top Bottom