Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,476
- 39,995
Kutoka Fikra Pevu
Rushwa? Watumishi na Wanasiasa
Wananchi waonesha Dalili ya KUKATA TAMAA
Ripoti ya Tathmini ya Rushwa nchini ambayo ilikuwa imecheleweshwa kuwekwa hadharani kwa miaka miwili na TAKUKURU hadi Rais Kikwete alipoagiza iwekwe hadharani wiki iliyopita inaonesha kuwa wananchi wengi wa Tanzania wanaona kuwa wanasiasa na watendaji mbalimbali nchini ndio vinara wa rushwa.
Akiandika katika utangulizi wa ripoti hiyo Rais Kikwete amekiri kuwa watendaji wa serikali yake wanaonekana na wananchi kuwa ndio vyanzo vya rushwa kutokana na uroho wao. "Rushwa imeenea sana na ni kikwazo kikubwa cha juhudi za maendeleo; chanzo kikuu cha rushwa ni tamaa ya watumishi wa umma na wafanyabiashara" amesema Rais Kikwete.
Hukumu hii ya wananchi dhidi ya serikali na watendaji wake imekuja kuthibitisha kile ambacho tayari ripoti mbalimbali kabla yake zilishakionesha kuwa rushwa ni tatizo ambalo limejikita katika jamii yetu katika ngazi mbalimbali na taasisi mbalimbali nchini. Rais Kikwete akiandika katika utangulizi huo anasema "katika baadhi ya sekta za umma, rushwa imekuwa ni jambo la kawaida"
SOMA ZAIDI HAPA:
RIPOTI TATU ZIMEAMBATANISHWA CHINI
Volume 4 (Ya Public Officials)