Ripoti: Mfumo duni wa Elimu umeshindwa kuwapatia wahitimu sifa za kuajiriwa. Kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ripoti: Mfumo duni wa Elimu umeshindwa kuwapatia wahitimu sifa za kuajiriwa. Kweli?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ambiente Guru, Jun 11, 2012.

 1. Ambiente Guru

  Ambiente Guru JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 2,275
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Imeripotiwa kwamba mfumo duni wa Elimu hauwapatii wahitimu wa sekondai wakiwemo Form Six sifa za msingi za kuajiriwa. Inasemekana pindi wamalizapo skuli hawaajiriki kwa sababu zifuatazo;

  1. Wengi hawajui kusoma na kuandika
  2. Hawajui hisabati (Maths)
  3. Hawana nidhamu
  4. Wanachelewa hata kwenye usaili (interviews)
  5. Hawajui kusalimu mtu kwa kumpa mkono (hand shake) au
  6. Kumtakia mtu siku njema (Good morning)
  7. Hawajui kushiriki na kuendeleza mazungumzo yenye tija
  8. Hawana ujuzi
  Mapungufu haya na megineyo yanasababishwa na mafunzo duni wanayopatiwa mashuleni na hivyo maboresho yanatakiwa. Haya yamebainishwa kwenye gazeti maarufu la Uingereza la "THE SUN" la tarehe 11 Juni 2012 kama inavyoonyesha link hii; Thousands of school-leavers are unemployable, say top bosses | The Sun |News|Politics. Ni matokeo ya uchunguzi mpana uliofanywa kwa waajiri (mabosi) wengi.
  Hi ni changamoto katika jamii yetu

  Nawakilisha!
   
Loading...