RIPOTI: Kampuni zinazomilikiwa na Wahindi, Waarabu na Wachina zinaongoza kwa ubaguzi

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,399
Ripoti ya Haki za Binadamu na Biashara ya mwaka 2018/19 iliyozinduliwa leo Novemba 14, na Kituo cha Sheria na Haki za Bindamu (LHRC) imebainisha hayo.

Asilimia 84 ya wafanyakazi hawana mikataba ya ajira ikilinganishwa na asilimia 74 ya mwaka jana.

Pia imeonyesha kuwa kampuni zinazomilikiwa na watu wenye asili ya Asia zinaongoza kwa ubaguzi kwa asilimia 43.
 
Lazima waongoze. Imagine wewe umefungua kampuni yako, utaajiri wahindi au wachina?

Wanapenda sana kubagua ina nadhani hata mimi ningebagua.
 
Naona mzee baba hapo kwny avatar yako ukiwa umekalia kiti ofisini kwa Mhindi/Mchina.
 
Yote hii shauri ya Nyerere alidanganya/ danganywa/ potosha/potoshwa Watanzania kwamba binadamu wote ni sawa matokeo yake tunabaguliwa kwenye nchi yetu wenyewe.
Kutokuwa Mbaguzi siyo sifa bali ni udhaifu, ukiona mtu anajisifia siyo Mbaguzi huku akibaguliwa kwenye nchi yake mwenyewe ujue huyo ni mjinga, hii nchi siyo yetu wala hatuimiliki vinginevyo Waarabu, Wachina, Wazungu Wahindi ndo wangelia kubaguliwa na sisi.
 
Ripoti ya Haki za Binadamu na Biashara ya mwaka 2018/19 iliyozinduliwa leo Novemba 14, na Kituo cha Sheria na Haki za Bindamu (LHRC) imebainisha hayo.

Asilimia 84 ya wafanyakazi hawana mikataba ya ajira ikilinganishwa na asilimia 74 ya mwaka jana.

Pia imeonyesha kuwa kampuni zinazomilikiwa na watu wenye asili ya Asia zinaongoza kwa ubaguzi kwa asilimia 43.
Ripoti ya Haki za Binadamu na Biashara ya mwaka 2018/19 iliyozinduliwa leo Novemba 14, na Kituo cha Sheria na Haki za Bindamu (LHRC) imebainisha hayo.

Asilimia 84 ya wafanyakazi hawana mikataba ya ajira ikilinganishwa na asilimia 74 ya mwaka jana.

Pia imeonyesha kuwa kampuni zinazomilikiwa na watu wenye asili ya Asia zinaongoza kwa ubaguzi kwa asilimia 43.
Sio tu mikataba pekee..haki zao pia kama mifuko ya jamii hawapati
 
nafanya kazi ktk kampuni moja inayomilikiwa na wahindi,watu wa serikali nikimaanisha wakaguzi kutoka taasisi mbalimbali kabla hawajafika huwa wanapiga simu na ikitokea wamekuja ghafla bas watazungushwa tu juu juu bila kupata nafas ya kuhoji wafanyakazi changamoto tunazo kutana nazo kazini..wakimaliza wanapewa chao wanasepa

kuna mikataba mibovu sana ktk taasisi hizi binafsi,wafanyakazi kucheleweshewa mishahara..
unyanyasaji hasa matusi kwa wafanyakazi..
malipo ya muda wa ziada(overtime) kuchanganywa na mshahara then inakatwa kodi na mfuko wa jamii,japo sijui kisheria hii imekaa vip..
 
Kwa issues kama hizo, ni Mzungu peke yake ndie angalau anamjali mfanyakazi! Kwenye hiyo orodha Waswahili hawapo kwa sababu na viwanda vyenyewe hawana! Na usikute hata kwenye hizo kampuni za Wachina na wengineo waliotajwa, usishangae kukuta ni mameneja na wasimamizi Waswahili na wenyewe wapo mstari wa mbele kwenye kuchochea hizo roho mbaya!
 
Yote hii shauri ya Nyerere alidanganya/ danganywa/ potosha/potoshwa Watanzania kwamba binadamu wote ni sawa matokeo yake tunabaguliwa kwenye nchi yetu wenyewe.
Kutokuwa Mbaguzi siyo sifa bali ni udhaifu, ukiona mtu anajisifia siyo Mbaguzi huku akibaguliwa kwenye nchi yake mwenyewe ujue huyo ni mjinga, hii nchi siyo yetu wala hatuimiliki vinginevyo Waarabu, Wachina, Wazungu Wahindi ndo wangelia kubaguliwa na sisi.
Mtawabagua SAA ngapi ilhali mmefundishwa msome ili muajiriwe kisha mlipwe na sio kujiaajiri,I mean we learn to struggle for salary not for profit that's why wao wamemiliki viwanda na biashara kubwa kubwa nasisi tumebaki waajiriwa,huwezi kubaguliwa kama wewe ndio boss katika Ofisi yako,njaa zetu ndio zimetufikisha hapa.N:B Hii meseji ni kwa wote tunao ona tunabaguliwa kwenye Ofisi za watu.
 
Yote hii shauri ya Nyerere alidanganya/ danganywa/ potosha/potoshwa Watanzania kwamba binadamu wote ni sawa matokeo yake tunabaguliwa kwenye nchi yetu wenyewe.
Kutokuwa Mbaguzi siyo sifa bali ni udhaifu, ukiona mtu anajisifia siyo Mbaguzi huku akibaguliwa kwenye nchi yake mwenyewe ujue huyo ni mjinga, hii nchi siyo yetu wala hatuimiliki vinginevyo Waarabu, Wachina, Wazungu Wahindi ndo wangelia kubaguliwa na sisi.
Wakati mwingine unaandika madini kama hivi. Hapa leo nakupa heko!
 
Ukiona mtu anafanya Kazi kwenye kampuni za wahindi au waarabu ujue huyo ameishatukanwa matusi yote yaliyopo hapa dunian mpaka amekua sugu. Hawa jamaa ni mabingwa wa kulobe viongozi wa serikali kuanzia OCD, DC, RC mpaka mawaziri. Ktk familia yao lazima wamteue mtu mmoja wa kua jiran Na viongoz au serikal
 
tafsiri ya maneno mengi sana imepotoshwa either kwa bahat mbaya au makusudi, kwa mfano UKARIMU sio kulazimisha Kufanana na walio tofauti na sisi na haya ndo matokeo yake, we unaona kabisa huyu ni mzungu/mhindi au mchina kwa upuuzi wako unalazimisha akutreat na/au umtreat sawa, usawa utakujaje wakati hata mungu tu hakutuumba sawa?
 
Yote hii shauri ya Nyerere alidanganya/ danganywa/ potosha/potoshwa Watanzania kwamba binadamu wote ni sawa matokeo yake tunabaguliwa kwenye nchi yetu wenyewe.
Kutokuwa Mbaguzi siyo sifa bali ni udhaifu, ukiona mtu anajisifia siyo Mbaguzi huku akibaguliwa kwenye nchi yake mwenyewe ujue huyo ni mjinga, hii nchi siyo yetu wala hatuimiliki vinginevyo Waarabu, Wachina, Wazungu Wahindi ndo wangelia kubaguliwa na sisi.
Leo umenikosha sana
 
Back
Top Bottom