Ripoti inasema, TRA kontena 10, ACACIA 50, ulipataje ripoti zao bila kuomba Data?

Mahweso

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
1,098
1,501
Wewe ni sahihi kuomba Data, wenzio wakiomba si wazarendo, mbona unatuchanganya mzee?

Kelele zote walizopiga wapinzani bila kuomba Data wangekuwa wanapata wapi Taarifa za wizi?
Huwezi kuonge kitu bila kuwa na Data, na Data haijileti lazima utafute kwa njia yoyote hata kwa kuiba ilimradi uipate.

Haijarishi inatoka kwa Adui au Rafiki, Data ni Data
Mzee nakushauri Rudi kwenye ukweli tujenge nchi, usipamabane na Upinzani watakupotezea muda maana ndio waasisi wa kupamaba na huu wizi unaouzungumzia.
 
Back
Top Bottom