Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,751
Yaani baada ya kuundwa makamati kibao,siku hizi wamikuja na mpya utaona kila anehojiwa,anaeulizwa anaeandika anae hariri wote sasa wametuhamisha kutoka kuundwa kwa kamati,ripoti imekamilika sasa wamekuja na Ripoti imeiva.
Yaani karibuni ripoti zote zimeisha iva hatujui ipi itaoza mwanzo.
Mlio na ripoti zilizoiva hebu ziwekeni hapa tuanze kuzila kabla hazijaoza.
Yaani karibuni ripoti zote zimeisha iva hatujui ipi itaoza mwanzo.
Mlio na ripoti zilizoiva hebu ziwekeni hapa tuanze kuzila kabla hazijaoza.