Informer JF-Expert Member Jul 29, 2006 1,599 6,669 Jan 19, 2017 #1 Wakuu, Mmeipata ripoti hii? ===== Attachments DECEMBER- 2016 - FOOD SECURITY BULLETIN- FINAL.pdf 3 MB · Views: 106
Informer JF-Expert Member Jul 29, 2006 1,599 6,669 Jan 20, 2017 Thread starter #2 Naona wadau hamjaisoma au haieleweki?
Isike Moses JF-Expert Member Feb 12, 2013 2,789 4,245 Jan 20, 2017 #3 Mkuu so far matamko ya hali ya chakula toka serikalini hali ni shwari. KADA
DAFU NA NDIMU JF-Expert Member Aug 20, 2016 3,497 5,092 Jan 20, 2017 #4 Wengine tumezoea kuzisoma namba. Hayo maneno yanatuchanganya sana mkuu. Nawaza kesho sjui tutakula nini
Wengine tumezoea kuzisoma namba. Hayo maneno yanatuchanganya sana mkuu. Nawaza kesho sjui tutakula nini
S shige2 JF-Expert Member Oct 11, 2016 8,106 3,967 Jan 20, 2017 #5 Informer said: Wakuu, Mmeipata ripoti hii? ===== View attachment 461616 View attachment 461618 Click to expand... Too shallow and enexplicity!! Mbona waliiandika kwa lugha ya kiingereza? Si waiweke katika kiswahili watu wengi waelewe!
Informer said: Wakuu, Mmeipata ripoti hii? ===== View attachment 461616 View attachment 461618 Click to expand... Too shallow and enexplicity!! Mbona waliiandika kwa lugha ya kiingereza? Si waiweke katika kiswahili watu wengi waelewe!