Ripoti aliyoiwasilisha shahidi Cpl. Hafidh ilitakiwa kuwasilishwa na Ofisi ya DCI

Jerlamarel

JF-Expert Member
Sep 14, 2021
843
2,517
Sijui ni kutokuelewa protocols ama ndio business as usual? Ripoti ya uchunguzi wa silaha ilipaswa kuwasilishwa na walioomba uchunguzi huo, sio na aliyechunguza. Mchunguzi kwanza hata alikuwa hana haja, na kama angehitajika basi yeye alipaswa kuleta uthibitisho wa barua ya maombi kutoka ofisi ya DCI.

Ofisi ya DCI ndiyo ilipaswa kuja na hii ripoti kama backup ya kuthibitisha kwamba hawa watuhumiwa walikuwa wanapanga kuwadhuru viongozi kwa hiyo silaha ambayo sasa imethibitishwa kuwa inafanya kazi.

Ndio maana huyu shaidi wa jana alishindwa kuwalink watuhumiwa na uchunguzi wake sababu ripoti ya uchunguzi wake ilipaswa kuwasilishwa na walioomba huo uchunguzi.
 
Hyo ni kweli yeye alitumwa tu kufanya kazi halafu atoe majibu Kwa wahusika ila pamoja na yote hata yeye kuna sehemu kama mtaalamu wa uchunguzi amezingua hata kama alipewa barua ya nini afanye ila kwake pia kuna maswahili yanabakia coz kwenye kesi kama hizi inatakiwa utoe fully data kama mtaalamu, Kwa ufupi tu tuache kufanya kazi kimazoea hasa kufuata maagizo ya watu na kuacha utaalamu wetu na miongozo yetu ya kazi inavyotaka
 
Sijui ni kutokuelewa protocols ama ndio business as usual? Ripoti ya uchunguzi wa silaha ilipaswa kuwasilishwa na walioomba uchunguzi huo, sio na aliyechunguza. Mchunguzi kwanza hata alikuwa hana haja, na kama angehitajika basi yeye alipaswa kuleta uthibitisho wa barua ya maombi kutoka ofisi ya DCI.

Ofisi ya DCI ndiyo ilipaswa kuja na hii ripoti kama backup ya kuthibitisha kwamba hawa watuhumiwa walikuwa wanapanga kuwadhuru viongozi kwa hiyo silaha ambayo sasa imethibitishwa kuwa inafanya kazi.

Ndio maana huyu shaidi wa jana alishindwa kuwalink watuhumiwa na uchunguzi wake sababu ripoti ya uchunguzi wake ilipaswa kuwasilishwa na walioomba huo uchunguzi.

View attachment 1991739
Mtu wa kuwa link yupo- lakini kwa ujuaji wa mawakili wa utetezi walitumia nguvu nyingi kwa jambo dogo.
Shahidi namba 3 kilichomuleta ni kuthibitisha uzima wa silaha basi na alifanya hivyo.
Nafikiri atakuja shahidi atakae unganisha hiyo silaha na ADAMOO- kumbuka mpaka sasa hivi upande wa mashitaka haujagusa alama za vidole.
Atakauja shahidi mwingine wa kuonyesha umiliki wa hiyo silaha- hapo patamu.
 
Kwani huyo shahidi alijipendekeza kupeleka ushahidi?

Kama DCI alikuwa anfahamu majukumu yake kwanini aiache ripoti mikoni mwa mchunguzi muda wote huo?

Una uhakika kwamba DCI ameridhia huyo mchunguzi yeye ndio aende kuutetea ushahidi huo wa kimaabara?

Maswali mengine hayana tija labda kama unatakuona tu kila mara unakosoa bila ujuvi wowote kwenye masuala ya 'crime science and forensic investigations'
 
Msimamo wa Mahakama ya Rufaa ya Tanzania ni kuwa anayeruhusiwa kutoa kielelezo (nyaraka) mahakamani ni yule aliyeiandaa (mwandishi), aliyeandikiwa (mwandikiwa /mmiliki), aliyeitunza au mtu yeyote ambaye nyaraka ilipita kwake na akapata uelewa wa hicho kilichoandikwa katika nyaraka.
 
Na mimi ndo nnavyoelewa hivo pia nadhani mtoa mada hakulijua hilo

Mara nyingi tu nawaona madaktari (wa hospitali za wilaya) wakipanda kizimbani kuelezea ripoti zao haswa kesi za mauaji (Post mortem report /Autopsy report) Na zile za ubakaji

Ambazo huwa wanaombwa Na Polisi kufanya uchunguzi lakini haji Polisi kuitetea anakuja yule mtaalam husika
 
Mtu wa kuwa link yupo- lakini kwa ujuaji wa mawakili wa utetezi walitumia nguvu nyingi kwa jambo dogo.
Shahidi namba 3 kilichomuleta ni kuthibitisha uzima wa silaha basi na alifanya hivyo.
Nafikiri atakuja shahidi atakae unganisha hiyo silaha na ADAMOO- kumbuka mpaka sasa hivi upande wa mashitaka haujagusa alama za vidole.
Atakauja shahidi mwingine wa kuonyesha umiliki wa hiyo silaha- hapo patamu.
Silaha tayari umiliki wake unafahamika kuwa ni mali ya jeshi ya wananchi tz. Kwa mjibu wa kibatala CZ300
 
Kumbe waliipima silaha ya JWTZ kuona Kama inafanya kazi au haifanyi kazi.
Halafu huyu Shahidi ametupa Jambo jingine leo kama mtuhumiwa alikuwa na kidhibiti amekamatwa nacho labda machungwa mawili ili kujua kweli yalikuwa machungwa mchunguzi au mpelelezi unakula chungwa moja au yote Kisha unasema ni kweli mtuhumiwa alikamatwa na machungwa mawili ila niliyala wakati wa kuchunguza.
 
Sijui ni kutokuelewa protocols ama ndio business as usual? Ripoti ya uchunguzi wa silaha ilipaswa kuwasilishwa na walioomba uchunguzi huo, sio na aliyechunguza. Mchunguzi kwanza hata alikuwa hana haja, na kama angehitajika basi yeye alipaswa kuleta uthibitisho wa barua ya maombi kutoka ofisi ya DCI.

Ofisi ya DCI ndiyo ilipaswa kuja na hii ripoti kama backup ya kuthibitisha kwamba hawa watuhumiwa walikuwa wanapanga kuwadhuru viongozi kwa hiyo silaha ambayo sasa imethibitishwa kuwa inafanya kazi.

Ndio maana huyu shaidi wa jana alishindwa kuwalink watuhumiwa na uchunguzi wake sababu ripoti ya uchunguzi wake ilipaswa kuwasilishwa na walioomba huo uchunguzi.
Ndio shida ya kesi za kupikwa
 
Mungu hutenda kwa makusudi maalum. Team nzima ya Kingai na mawakili wake wamesha pigwa upofu. Hakuna anae jielewa tena. Tuna subiri kama Jaji nae ni boya la Ccm atandikwe kitu tumsikie hajiwezi. Usicheze na sala. Mungu wa ssa ni kijana sana.
 
Mtu wa kuwa link yupo- lakini kwa ujuaji wa mawakili wa utetezi walitumia nguvu nyingi kwa jambo dogo.
Shahidi namba 3 kilichomuleta ni kuthibitisha uzima wa silaha basi na alifanya hivyo.
Nafikiri atakuja shahidi atakae unganisha hiyo silaha na ADAMOO- kumbuka mpaka sasa hivi upande wa mashitaka haujagusa alama za vidole.
Atakauja shahidi mwingine wa kuonyesha umiliki wa hiyo silaha- hapo patamu.
Alama za vidole watoe wapi wakati Kingai kasema zoezi hilo halikuwa na haja kufanyika?
 
Sijui ni kutokuelewa protocols ama ndio business as usual? Ripoti ya uchunguzi wa silaha ilipaswa kuwasilishwa na walioomba uchunguzi huo, sio na aliyechunguza. Mchunguzi kwanza hata alikuwa hana haja, na kama angehitajika basi yeye alipaswa kuleta uthibitisho wa barua ya maombi kutoka ofisi ya DCI.

Ofisi ya DCI ndiyo ilipaswa kuja na hii ripoti kama backup ya kuthibitisha kwamba hawa watuhumiwa walikuwa wanapanga kuwadhuru viongozi kwa hiyo silaha ambayo sasa imethibitishwa kuwa inafanya kazi.

Ndio maana huyu shaidi wa jana alishindwa kuwalink watuhumiwa na uchunguzi wake sababu ripoti ya uchunguzi wake ilipaswa kuwasilishwa na walioomba huo uchunguzi.
Unavyowasilisha MTU atadhani unawelewa wajuu kwenye hayamambo kumbe bure kabisa!!
Fuatilia hata kesi mbalimbali upate elimu usilipuke na welewa wako finyu.
Nisahihi mmmmno aliyepima kutoa ushahidi mahakamani tena ushahidi utolewe kwa maelezo ya kina na yakinifu!!
 
Mtu wa kuwa link yupo- lakini kwa ujuaji wa mawakili wa utetezi walitumia nguvu nyingi kwa jambo dogo.
Shahidi namba 3 kilichomuleta ni kuthibitisha uzima wa silaha basi na alifanya hivyo.
Nafikiri atakuja shahidi atakae unganisha hiyo silaha na ADAMOO- kumbuka mpaka sasa hivi upande wa mashitaka haujagusa alama za vidole.
Atakauja shahidi mwingine wa kuonyesha umiliki wa hiyo silaha- hapo patamu.
Kumiliki silaha kihalali wala sio kosa kisheria, mkae kwa kutulia.
 
Huyu jaji Ni kada wa CCM ,hata baba yake aligombea kura za maoni za CCM 2020 katika udiwani.hivyo mbowe yupo mbele ya mahasimu wake wa kisiasa.
 
Alama za vidole watoe wapi wakati Kingai kasema zoezi hilo halikuwa na haja kufanyika?
Yeah. Nakumbuka alisema hivyo. Hawakutaka kuchukua alama ya vidole kwa sababu silaha haikuwa ya Adamoo. Walijua wanaweza wakafunikafunika kwani mahakama na majaji wapo upande wao
 
Back
Top Bottom