Ripoti aliyoiwasilisha shahidi Cpl. Hafidh ilitakiwa kuwasilishwa na Ofisi ya DCI

Huna akili ww........
kwa hiyo ww na akili yako ndogo ndio unaona unawazidi wanasharia wa serekali ufahamu!!??
This is ridiculous!!!
kwamba hawajui wanachokifanya......!!!??
ww hata cheti cha sheria huna.......!!?
unajua maana ya addressee.......
mtaalam anapaswa kutoa ushahidi wake wa kitaalam......
Ni kama vile kwenye medical report umuite askari mpelelezi atolee ushahidi wake!!?
itawezekana kweli!?
labda awe amekufa huyo mtaalam
Kuna askari Mpelelezi mwishoni ndio atakuja kutoa link ya matukio yote
Imekuwaje ndugu povu matusi siungemjibu kawaida tu angeelewa?

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Sijui ni kutokuelewa protocols ama ndio business as usual? Ripoti ya uchunguzi wa silaha ilipaswa kuwasilishwa na walioomba uchunguzi huo, sio na aliyechunguza. Mchunguzi kwanza hata alikuwa hana haja, na kama angehitajika basi yeye alipaswa kuleta uthibitisho wa barua ya maombi kutoka ofisi ya DCI.

Ofisi ya DCI ndiyo ilipaswa kuja na hii ripoti kama backup ya kuthibitisha kwamba hawa watuhumiwa walikuwa wanapanga kuwadhuru viongozi kwa hiyo silaha ambayo sasa imethibitishwa kuwa inafanya kazi.

Ndio maana huyu shaidi wa jana alishindwa kuwalink watuhumiwa na uchunguzi wake sababu ripoti ya uchunguzi wake ilipaswa kuwasilishwa na walioomba huo uchunguzi.
Hujaeleweka
 
NaHakuna tatizo pale. Lengo la ushahidi wa Cpl. Hafidhi lilikuwa na kuthibitisha kuwa bastola ile na risasi zake vilikuwa vizima na vinavyofanya kazi vizuri.
Duh! Kwa hiyo, Shahidi kathibitisha hiyo Silaha ambayo inafanya Kazi Ni ya nani? Na Kathibitishaje ilhali tumesikia Risasi Ni tofauti na za Silaha yenyewe?
 
Mtu wa kuwa link yupo- lakini kwa ujuaji wa mawakili wa utetezi walitumia nguvu nyingi kwa jambo dogo.
Shahidi namba 3 kilichomuleta ni kuthibitisha uzima wa silaha basi na alifanya hivyo.
Nafikiri atakuja shahidi atakae unganisha hiyo silaha na ADAMOO- kumbuka mpaka sasa hivi upande wa mashitaka haujagusa alama za vidole.
Atakauja shahidi mwingine wa kuonyesha umiliki wa hiyo silaha- hapo patamu.

Ninadhani huna facts za kutosha kuhusu alama za vidole. Shahidi wa kwanza alishathibitisha hakikuchukuliwa kwa sababu hazikuwa muhimu!! Jamhuri haiwezi kuleta facts mpya katika hatua hii ya kesi la sivyo itaanza upya! Nadhani unajaribu kutetea jambo usilojua vizuri. Risasi tatu anazodaiwa kuwa nazo Adamoo ni kithibiti. Kinapaswa kuletwa mahakamani. Na kama ulifuatilia maswali ya utetezi, risasi zinazosemwa kutumiwa kupima silaha hazikuwa colour-coded sawa na ile moja iliyobaki!! Hili linaturudisha nyuma kabisa kwenye hati ya mashtaka iliyokuwa na mkanganyiko wa risasi 1 na 3!! Bado hatujasikia kete za madawa ya kulevya. Napo finger prints au blood test kuona kama ni zao au wanatumia haitakuwa muhimu??

Una nadharia za kijinga. Umiliki wa silaha sio rahisi kama unavodhani. Kama iliingia nchini kinyume na taratibu bado unadhani Polisi watajua mmiliki??

Mmezoea maneno ya polisi kutopingwa mahakamani na ndio maana waiba kuku wanafungwa miaka 3 na wezi wa mabilioni miaka miwili kwa “matumizi mabaya ya madaraka”
 
Hakuna tatizo pale. Lengo la ushahidi wa Cpl. Hafidhi lilikuwa na kuthibitisha kuwa bastola ile na risasi zake vilikuwa vizima na vinavyofanya kazi vizuri.
Then what? Mimi nikikamatwa na bastola ambayo sina umiliki nayo ndiyo kumaanisha nimekuwa gaidi ama nataka kumdhuru kiongozi?

Kwa nini usinishitaki kwa kosa la kumiliki silaha kinyume na sheria ambalo ni objective, then unanishitaki kwa kosa la kutaka kudhuru ambalo ni subjective?
 
Hakuna tusi hapo!!?
kusema mtu Hana akili hiyo ni fact ya kawaida
kimsingi huyu jamaa ameonyesha dharau kubwa sana kwa watendaji
Tangia lini mawazo mbadala yakawa dharau?

Mtu kutoa mawazo yake haimaanishi kakudharau, kama unaona hayuko sahihi basi unamuelimisha sio unaleta makasiriko yasiyo na mbele wala nyuma.
 
Sijui ni kutokuelewa protocols ama ndio business as usual? Ripoti ya uchunguzi wa silaha ilipaswa kuwasilishwa na walioomba uchunguzi huo, sio na aliyechunguza. Mchunguzi kwanza hata alikuwa hana haja, na kama angehitajika basi yeye alipaswa kuleta uthibitisho wa barua ya maombi kutoka ofisi ya DCI.

Ofisi ya DCI ndiyo ilipaswa kuja na hii ripoti kama backup ya kuthibitisha kwamba hawa watuhumiwa walikuwa wanapanga kuwadhuru viongozi kwa hiyo silaha ambayo sasa imethibitishwa kuwa inafanya kazi.

Ndio maana huyu shaidi wa jana alishindwa kuwalink watuhumiwa na uchunguzi wake sababu ripoti ya uchunguzi wake ilipaswa kuwasilishwa na walioomba huo uchunguzi.
Wamemtoa sadaka,hata ofisi ya DCI inaogopa fedheha.
Wewe mtu anadai kasoma nje ya nchi,lakini terrorism anasema ni mambo ya utalii?!
Me thinks ama ni kilaza kabisa,au huyu koplo ni shahidi wa jamhuri lakini ameisha kuwa "approached"na vijana wa utetezi ameamua ku "lock the boat from inside"an enemy within"
 
Sijui ni kutokuelewa protocols ama ndio business as usual? Ripoti ya uchunguzi wa silaha ilipaswa kuwasilishwa na walioomba uchunguzi huo, sio na aliyechunguza. Mchunguzi kwanza hata alikuwa hana haja, na kama angehitajika basi yeye alipaswa kuleta uthibitisho wa barua ya maombi kutoka ofisi ya DCI.

Ofisi ya DCI ndiyo ilipaswa kuja na hii ripoti kama backup ya kuthibitisha kwamba hawa watuhumiwa walikuwa wanapanga kuwadhuru viongozi kwa hiyo silaha ambayo sasa imethibitishwa kuwa inafanya kazi.

Ndio maana huyu shaidi wa jana alishindwa kuwalink watuhumiwa na uchunguzi wake sababu ripoti ya uchunguzi wake ilipaswa kuwasilishwa na walioomba huo uchunguzi.
Tatizo lenu mnafuatilia kesi kwa kufuata mioyo yenu na mbwembwe za kibatala
Huyo mchunguzi katoka ofisi ya DCI,na amesimama pia kwa niaba ya DCI
Wapelelezi wote wapo chininya DCI
 
Mtu wa kuwa link yupo- lakini kwa ujuaji wa mawakili wa utetezi walitumia nguvu nyingi kwa jambo dogo.
Shahidi namba 3 kilichomuleta ni kuthibitisha uzima wa silaha basi na alifanya hivyo.
Nafikiri atakuja shahidi atakae unganisha hiyo silaha na ADAMOO- kumbuka mpaka sasa hivi upande wa mashitaka haujagusa alama za vidole.
Atakauja shahidi mwingine wa kuonyesha umiliki wa hiyo silaha- hapo patamu.
Nadhani connectivity na muhusika kitaalam ndio ilitakiwa ama Alana za vidole au DNA
 
Kumbe waliipima silaha ya JWTZ kuona Kama inafanya kazi au haifanyi kazi.
Halafu huyu Shahidi ametupa Jambo jingine leo kama mtuhumiwa alikuwa na kidhibiti amekamatwa nacho labda machungwa mawili ili kujua kweli yalikuwa machungwa mchunguzi au mpelelezi unakula chungwa moja au yote Kisha unasema ni kweli mtuhumiwa alikamatwa na machungwa mawili ila niliyala wakati wa kuchunguza.
😲😲😲🤣🤣🤣🤣😭😭😭🤪🤪🤓
 
We jamaa fala sana asee. Yani umewezaje kunichekesha msibani?
 
Mtu wa kuwa link yupo- lakini kwa ujuaji wa mawakili wa utetezi walitumia nguvu nyingi kwa jambo dogo.
Shahidi namba 3 kilichomuleta ni kuthibitisha uzima wa silaha basi na alifanya hivyo.
Nafikiri atakuja shahidi atakae unganisha hiyo silaha na ADAMOO- kumbuka mpaka sasa hivi upande wa mashitaka haujagusa alama za vidole.
Atakauja shahidi mwingine wa kuonyesha umiliki wa hiyo silaha- hapo patamu.
Unamdanganya Nani na Kwa faida ya Nani? MPELELEZI Mkuu kwenye hii kesi ni Kingai na ameshatoa Investigational evidence mahakamani. Miongoni mwa aliyoulizwa ni kuhusiana na fingerprints na DNA na akasema hakuona haja wala umuhimu wa kuzichukua. Mpaka kesi kuanza kusikilizwa mashahidi na vielelezo vyote vya kesi vinajulikana maana vimeorodheshwa kwenye PH. Mahakama kuu si kama Kwa mjumbe Mkuu.
 
Tatizo lenu mnafuatilia kesi kwa kufuata mioyo yenu na mbwembwe za kibatala
Huyo mchunguzi katoka ofisi ya DCI,na amesimama pia kwa niaba ya DCI
Wapelelezi wote wapo chininya DCI
Jamani Jamani Jamani!!!! Wewe ndo umeongea nini Sasa? Forensic wako ofisi ya DCI? Hizi ni ofisi mbili tofauti na Mkuu wa forensic siyo DCI BOAZ yeye anaitwa CP Hiki. Tafuta kalenda za Polisi utawaona hao walivyo tofauti.
 
Hakuna tusi hapo!!?
kusema mtu Hana akili hiyo ni fact ya kawaida
kimsingi huyu jamaa ameonyesha dharau kubwa sana kwa watendaji
Ni hivi Kwa hii kesi watendaji wote wa serikali ni wapumbuvu kama wewe .Ni wachumia tumbo kama wewe.Hakuna aliye tumia akili Wala Elimu katika hili.Wote pamoja Na wewe mnatumia mihemuko na umalaya wa kisiasa
 
Back
Top Bottom