Ripoti aliyoiwasilisha shahidi Cpl. Hafidh ilitakiwa kuwasilishwa na Ofisi ya DCI

Sijui ni kutokuelewa protocols ama ndio business as usual? Ripoti ya uchunguzi wa silaha ilipaswa kuwasilishwa na walioomba uchunguzi huo, sio na aliyechunguza. Mchunguzi kwanza hata alikuwa hana haja, na kama angehitajika basi yeye alipaswa kuleta uthibitisho wa barua ya maombi kutoka ofisi ya DCI.

Ofisi ya DCI ndiyo ilipaswa kuja na hii ripoti kama backup ya kuthibitisha kwamba hawa watuhumiwa walikuwa wanapanga kuwadhuru viongozi kwa hiyo silaha ambayo sasa imethibitishwa kuwa inafanya kazi.

Ndio maana huyu shaidi wa jana alishindwa kuwalink watuhumiwa na uchunguzi wake sababu ripoti ya uchunguzi wake ilipaswa kuwasilishwa na walioomba huo uchunguzi.
Mbwembwe kimbelembele kumbe siyo kaxi yake, polisi wetu ni hewa
 
Mtu wa kuwa link yupo- lakini kwa ujuaji wa mawakili wa utetezi walitumia nguvu nyingi kwa jambo dogo.
Shahidi namba 3 kilichomuleta ni kuthibitisha uzima wa silaha basi na alifanya hivyo.
Nafikiri atakuja shahidi atakae unganisha hiyo silaha na ADAMOO- kumbuka mpaka sasa hivi upande wa mashitaka haujagusa alama za vidole.
Atakauja shahidi mwingine wa kuonyesha umiliki wa hiyo silaha- hapo patamu.
Dogo Basi sequence wamikosea,ingetakiwa link kwanza then ripoti ya uchunguzi wa siraha, ofisi ya DPP ni weupe
 
Mtu wa kuwa link yupo- lakini kwa ujuaji wa mawakili wa utetezi walitumia nguvu nyingi kwa jambo dogo.
Shahidi namba 3 kilichomuleta ni kuthibitisha uzima wa silaha basi na alifanya hivyo.
Nafikiri atakuja shahidi atakae unganisha hiyo silaha na ADAMOO- kumbuka mpaka sasa hivi upande wa mashitaka haujagusa alama za vidole.
Atakauja shahidi mwingine wa kuonyesha umiliki wa hiyo silaha- hapo patamu.
Ndo ugaidi huo
 
ugaidi
1- nia ya kutaka kutenda kinyume cha sheria ya ugaidi
2.- kuwa na silaha zima inayoweza kutumika na ambayo haijasajiliwa
3 kuanzisha kikudi kwa lengo la kufanya hivyo
Mwaka 1997 ubalozi wa USA dar na Nairobi zilipuliwa sijui ulikuwa wapi siku hizi.
Police wa tz hawa wakawakamata na kuwasweka ndani mateja wote wa kinondoni.
Jamaa walivyotua wakawaambia mapolisi wawachie watu wale maana hawakuwa na hatia.
Walifanikiwa kumkamata mtanzania mmoja ambaye amefungwa maisha huko USA.
Polisi wa Tanzania hawana uwezo wa kuthibitisha UGAIDI
Sikulazimishi kuamini mana sijui uwezo wako wa kuelewa mambo
 
ni kweli kabisa na toka hapo polisi wa Tanzania wamepata mafunzo ya kutosha toka kwa Wamerika na kusaidia kutunga sheria ya kupambana na kuzuia ugaid ya mwaka 2002.
We hujakamatwa na wengine wengi
Mbowe hjakamatwa 2020 kwa sababu lengo lake lilikuwa ni kuleta taharuki- angekamatwa 2020 ingechafua uchaguzi.
Hata kwenye kichaka cha katiba mpya ni yeye tu kakamatwa
Kwa hiyo polisi wetu wanaweledi wa kutosha
 
Akili yako unaijua mwenyewe na hao polisi wenu.
Yaani mtu gaidi/ mbowe aachwe tangu 2020 ili usivuruge uchaguzi??? So mlimuacha gaidi ashiriki kwanza uchaguzi amalize uanzishe hoja ya katiba mpya ndo akamatwe
Magaidi unawatoa moshi hadi dar huku unawanunulia energy
Hahaha
 
Back
Top Bottom