Ndugu wanajamii Report ya Gharama za uchaguz zimesha kamilika na Lengo la kuifungulia Kesi CCM kuhusu Gharama za uchaguzi mbona naona kama limeyeyuka? au Chadema walituyeyusha jamani,, Mi naomba tuwakumbushe Chadema walichotuahidi bwana