RIP NIPSEY HUSSLE...THE GREATEST HUSTLE TO EVER MADE IT

castieltsar

JF-Expert Member
Jun 3, 2016
1,128
2,000
aiseee binadamu tunaokuaga kwenye race moja ndo watu tunaorudishanaga nyuma siku zote kama african american wengi ni maadui kisa chuki...southafrica na xenophobia wamepigana na wazungu weee wakaona watakosa ugali mazima ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

clixus

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
757
500
Alishapelekwa mahakamani kusomewa kesi ya mauaji ila kitaa wahuni wanahamu nae sana washaua hadi ndugu yake mmoja wanafanana sana walihisi ni yeye

Cha kushangaza watu muuaji anawezaje kumu afford wakili mwenye high profile huko marekani ukicheki muuaji alikuwa hajatoboa kimaisha hivo.
Nihatua gani sasa zimechukuliwa dhidi yake? Sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom