Rip mary john mwingira

Buswelu

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
1,998
348
Mungu alikupenda zaidi yetu na ndo maana akakuita ukakae nae kwake upate raha ya milele mama nasi pia tulikupenda ila tu ndo upendo wa Mungu wetu uliozidi na usiokoma ukaonekana mbele zake mama.

_____________________________________________________________________________
she was working with TANGO Tanzania Association of Non Governmental Organisation yani alikua very popular n watu wengi walimpenda sana hasa tulio kwenye fani ya communication pia alikua msaada mkubwa in terms of consultation, na vitu vingine vingi...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom