RIP Kiligiti

nnatoa pole nami pia, ila bado mkuu sijafahamu kitu kuhusu huu msiba.

nazani ingpendeza kuweka wasifu wa huyu marehemu, tukaweza kuelewa ni nani anayezungumziwa. na jee aliumwa alipata ajalia au nn kilihitimisha maisha yake hapa duniani.

hata hivyo nnamuombea kila la heri huko aendako na nnawatakia wawe na moyo wa subira wafiwa, bwana alitoa na bwana ametwaa
 
Sasa mtu unaweza kuanza kutoa pole kumbe aliyekufa ni samaki aitwaye Kiligiti. Sasa siyo vizuri kuassume kuwa kila mtu anamjua Kiligiti.. vyovyote vile na miye natoa pole.
 
Mwaka huu tutaona na kusikia mengi..... Haya assuming aliekufa ni mwanadamu nami natoa pole yangu kwa wafiwa
 
NI kitu gani hicho? yawezekana mnatoa pole kwa walioshindwa kula rushwa, mimi siko upande wowote hadi nijue kuna nini ama hicho ni kitu gani.
 
KEDI pia amefariki jamani kama mna habari, aligongwa na gari jana asubuhi !

Hizi nyuzi zinachanganya bwana! W/end hii? Au ni kweli? KEDI ni nani mkuu? Nakumbuka habari za 'kifo' cha Mpakanjia zilikuwa hivi hivi watu wacha waanze kuuliza mazishi ni lini.

Hawa wawili hata mimi sijawajua, am keen of knowing who were they.
 
Mstahiki and co. you ought to be serious. Kama hamna cha kupost then just read wengine wameandika nini! Hii Forum siyo gazeti la SANI!

Weekend njema wana JF wote
 
Kiligiti(nadhani alikuwa mwanajeshi), yule aliyekuwa anakaa Msasani jirani na kwa Mwalimu?
 
Sasa mtu unaweza kuanza kutoa pole kumbe aliyekufa ni samaki aitwaye Kiligiti. Sasa siyo vizuri kuassume kuwa kila mtu anamjua Kiligiti.. vyovyote vile na miye natoa pole.

:eek: hee!? ha ha haaa haa... Duh, Mzee Mwkjj duh! maneno juu ya mstari!

Nami natanguliza mkono wa pole.
 
KEDI pia amefariki jamani kama mna habari, aligongwa na gari jana asubuhi !

Kedi ndio nani au ndio week end

Mwaka huu tutaona na kusikia mengi..... Haya assuming aliekufa ni mwanadamu nami natoa pole yangu kwa wafiwa

NI kitu gani hicho? yawezekana mnatoa pole kwa walioshindwa kula rushwa, mimi siko upande wowote hadi nijue kuna nini ama hicho ni kitu gani.

ha ha ha haaaaa...hhhhaaaa duh, jamani hebu hii habari iwekwe vizuri hapa nijue "inahuzunisha" au la maana sina mbavu hapa wazee mnavyotupa madongo!!!

duh...
 
nina wasiwasi huo maana kama tumetoa pole na hoja zetu hapa halafu wahusika wanaingia porii basi ujue walikuwa wanajaribu akili zetu...
 
Haya ndiyo mambo ya kuamini kama kuna Mungu au hakuna, wengine huwa tunasema ni bora kuamini tu kwa kweli. Hivyo basi miye naona nitoe POLE zangu pia hata kama sina uhakika na kilichotokea bali ni kidokezo tu.

SteveD.
 
KEDI ni jina la kituruki linalomaanisha paka, jana nipo kwenye highway nikaona paka kagongwa ! samahanini kwa usumbufu na maneno mbofu mbofu !
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom