Kwa wale waliosoma IFM miaka ya kuanzia 2000 watakuwa wanamfahamu sana mr credo celestine, ameaga dunia ghafla baada ya kupanda pressure na kuanguka, alipofikishwa hospitali muhimbili madaktari walisema damu imevujia ndani kwanye ubongo, alipofanyiwa operation ya kufyonza hiyo damu madaktari walisema imefanyika successful, but very unfortunately hakutoka icu hadi mauti yalipomfika jumapili iliyopita na jumanne tulimsafirisha kwenda sengerema kwa mazishi ambayo yamefanyika alhamisi, ameacha mke na watoto watatu! binafsi namkumbuka, pamoja na kuwa ndugu yangu alikuwa rafiki yangu sana! credo ni taa iliyozimika ghafla! bwana ametoa na bwana ametwaa, jina lake libarikiwe
,
tuungane na familia kuwapa pole katika kipindi hiki kigumu sana.
,
tuungane na familia kuwapa pole katika kipindi hiki kigumu sana.