RIP Claire Mwaniki: jambazi kigoli wa Nairobi

Wanawake ujambazi jadi yao...wanatofautiana mbinu tu,huku bongo hawatumii mtutu
 
IMG-20170516-WA0013.jpg
 
Wanawake sasa hivi ndio wanaongoza kwa ujambazi na kupanga madili na majambazi, na wengine wanajificha, kwa miavuri ya majuba, wanaficha sura zao, hili waonekane watu wema katika jamii, kumbe wamevaa ngozi ya kondoo mkuu Mshana jr
 
NB. Waharifu wengi mno wanapendelea kuvaa majuba, mix miwani.
 
Wanawake sasa hivi ndio wanaongoza kwa ujambazi na kupanga madili na majambazi, na wengine wanajificha, kwa miavuri ya majuba, wanaficha sura zao, hili waonekane watu wema katika jamii, kumbe wamevaa ngozi ya kondoo mkuu Mshana jr
Nawaogopa sana lakini sio hawa wa JF... They are wonderful beautiful n lovely women halafu WANAJITAMBUA japo kuna wachache VIMEO.... ila wote niliowahi kukutana nao I never regret...
 
Back
Top Bottom