RIP Christopher Mtikila; angeshakwenda mahakamani kuulizia uhalali wa Bunge kususa kufanya kazi na CAG

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,447
Kuna aina ya watu Tanzania itaendelea kuwakosa kwa muda mrefu na miongoni mwao ni Nyerere, Sokoine na mchungaji Mtikila ambao wote wametangulia mbele za haki.

Zama za Mtikila hili swala la CAG lingekuwa limeshatinga mahakamani, lakini leo hii maisha yanaendelea as if hakuna tatizo la kikatiba pale bungeni.

Katika hili pamoja na utofauti wa kiitikadi namuombea uponyaji wa haraka mtanzania mwenzetu Tundu Antipas Lisu maana ndiye anayeweza kulipambania hili kwa vitendo na si maneno matupu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom