RIP Baba Salutaris Massawe

R.I.P. baba Salu Lello! Mwenyezi Mungu akupe Raha ya Milele na Mwanga wa Milele akuangazie! Amina!
 
RIP FR. Massawe.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa.



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Kwa wale waliomfahamu. mtakubaliana na mimi kwamba alikuwa na mahubiri mazuri sana. PUMZIKA KWA AMANI BABA
 
massawe.jpg

Huyo ndiye Father Salutaris Massawe..
Binafsi nimesoma nae B.A Mass Communication Saint Augustine University of Tanzania SAUT Mwanza Campus 2005/2008.
R. I. P Baba..
 
Wakuu wa mashirika hawana parokia ila mashirika yao huwa na mashirika Tz wana parokia zaidi ya 10 ambazo ziko chini yao!
Mara nyingi wakuu wa shirika walikuwaga waitaliano siku izi wameamua kuwapa shavu wa waafrika na lazima atakuwa alikuwa kichwa sana
Raha ya milele umpe eee bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani.
Kwa wale watakaokuwa mjini iringa mazishi ni kesho saa nne pale Tosamaganga mission.Karibuni nyote tumsindikize mtumishi wa bwana
 
I was in Stella Maris Hostel at that day "nikihudhulia semina fulani kuongeza kipato" ilikuwa jioni na no body believed what is happening. kutokujua kuogelea kwa watanzania wengi ni tazizo na tumeona yaliyotokea zanzibar na kwingineko. many of us failed to offer help to him, beach boys nao vimeo, it was very sad kwa kweli
 
Raha ya milele umpe eee Bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani Father Masawe. Amina
 
Back
Top Bottom