Timu gani umeandika?kaka umezoea mada zako zile mpaka timu yetu umeibadili jinaHii ndio gari iliyopata ajali na kuchukua uhai wa shabiki maarufu wa timu ya wanga Ally YangaView attachment 527967View attachment 527968View attachment 527969
Taratibu basi am sorry for typing errorTimu gani umeandika?kaka umezoea mada zako zile mpaka timu yetu umeibadili jina
Sent from my IPHONE 6 using JamiiForums mobile app
Jikoroboi limeua!Mwanza kwenye mbio za mwenge! Tunakuombea kaka malaika mlinzi akawe nawe na wengine wote wasafirio angani nchi kavu na majini
Kujikomba na ccm.. anyway, RIPAliemwambia akakimbize mwenge nani? Vitu ambavyo havinaga faida kwa watanzania mwenge? WTF?? anyway
Kawaida yao kupumzisha watu badala ya kupumzisha mwenge.Kafara?
Ccm etCHANZO CHA MAPATO YAKE KILIKUWA NINI MAANA KILA TUKIO LINALOHUSISHA WATU WENGI ALISHIRIKI