Ringtone kwenye iphone

dendizzo

JF-Expert Member
Jun 1, 2012
954
1,313
Naomba mwenye kujua anisaidie jinsi gani naweza kuweka wimbo uwe ringtone kwenye iphone. Nimerajibu application moja lakini ringtone zake zinakua fupi sana kabla simu haijakatika inaanza kuimba mwanzo.
 
Hiyo program unayotumia nahic ni ring tone maker tena ile ya bure ila kuna utalaam wa ku-jail break iPhone ili uweze kutumia nyimbo km ringtone ila ngoja wataalam waje lkn ni ishu ndogo mm pia na2mia iPhone jamaa alifanyia iyo jai break just in few minutes mzee nala ngoma ss ivi.
 
Ok ahsante na ni kweli hiyo application ni free ringtone maker.
 
Back
Top Bottom