Rihanna na BF wake mpya usipime

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
Rihanna and her new boyfriend.

Rihanna and Matt Kemp: Rockin' the Boat
















 

Attachments

  • article-0-07C7A77D000005DC-862_468x263.jpg
    article-0-07C7A77D000005DC-862_468x263.jpg
    15.8 KB · Views: 1,216
  • article-0-07C7A791000005DC-660_468x466.jpg
    article-0-07C7A791000005DC-660_468x466.jpg
    26.7 KB · Views: 1,286
  • article-0-07C7A799000005DC-141_468x325.jpg
    article-0-07C7A799000005DC-141_468x325.jpg
    19.4 KB · Views: 1,195
  • article-1241262-07C7A9FD000005DC-217_468x342.jpg
    article-1241262-07C7A9FD000005DC-217_468x342.jpg
    22.2 KB · Views: 1,171
  • article-0-07C825EC000005DC-699_468x514.jpg
    article-0-07C825EC000005DC-699_468x514.jpg
    34 KB · Views: 1,160
  • article-0-07C75BB0000005DC-595_468x575.jpg
    article-0-07C75BB0000005DC-595_468x575.jpg
    47.6 KB · Views: 1,168
Kimya chote ndio umeibuka na Rihanna

si hivyo mzee! nataka na wewe upige picha zako kwenye pozi kama hii nizione
icon10.gif
icon10.gif
sina lengo la utani na kitambi.

By the way nipe mistari mwana nimemis kinoma
 
.........Hapa Rihanna kapata mwanaume , kifua chake tu ni cha mwanaume haswa!!
 
.........Hapa Rihanna kapata mwanaume , kifua chake tu ni cha mwanaume haswa!!

Mshauri na shemeji apige tizi. Ila Rihanna sio makli ki viiiile akija uswahilini kwetu watoto wanamwacha mbaali na komwa lake. Nothing personal ni wazo langu tu. Namkubali Beyonce zaidi.
 
bora umerudi!
kabla hujakimbia...!MCHANGO WA HARUSI VIPI?:D

icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
ha ha ha ha! ningekuwa na Bank ningekuweka kitengo cha credit collection asinge default mtu hata jeshini unge collect.

Anyway tutawasiliana na Kaizer na Xspin then jioni nitakupigia simu.
 
icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
ha ha ha ha! Ningekuwa na bank ningekuweka kitengo cha credit collection asinge default mtu hata jeshini unge collect.

Anyway tutawasiliana na kaizer na xspin then jioni nitakupigia simu.
wasalimie bwana............
 
....Hicho ni mfano tu wa kifua mwanaume anatakiwa kuwa nacho, haya wanaume angalia hicho kifua kama huna kinachofanana na hicho kale zoezi.

ha ha ha hii ni thread inayojitegemea
icon10.gif
 
....hicho ni mfano tu wa kifua mwanaume anatakiwa kuwa nacho, haya wanaume angalia hicho kifua kama huna kinachofanana na hicho kale zoezi.

sijui na cha binamu nanihii kiko hivyo maana anashinda gym masaa 24
 
Back
Top Bottom