Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,444
Chris lazima alijiexpress pale....hahahah no way twala kwa macho hivyo vingine shekhe!
ndo hapo sasa hata kwa Ritta wengi mnakula kwa macho mi najiandaa kupeleka posa.
Chris lazima alijiexpress pale....hahahah no way twala kwa macho hivyo vingine shekhe!
hapo hakuna kitu..haitauza hiyo......nahitaji nione mitikisikoDu mkuu hicho kibibi unadhani kuna kitu humo? nilidhani ungependa za vigoli akina flaviana matata, jokate and the likes. Du wakikusikia watoto wa RM watakushambulia hadi ujutie post hii.
aaah shem chriss kalikoroga sasa hivi yuko vodacom dakika moja 200.....Nimependa tiGo ya Rihana kwa kweli I think All the gold and diamond in the world are not enough to buy it....loooh! HEHEHEEH NIMEPENDA KUANGALIA TU...(herufi kubwa kama Exaud)!
Nimependa tiGo ya Rihana kwa kweli I think All the gold and diamond in the world are not enough to buy it....loooh! HEHEHEEH NIMEPENDA KUANGALIA TU...(herufi kubwa kama Exaud)!
Please, usinipandishe presha asubuhi hii maana nitashindwa kuconcentrate na kazi hapa..Think of something to make me smile na mimi niamini umependa kwa kuangalia TU..
usife moyo jikaze lakini tambua mpo wengi kama unavyo jua soda ni jina moja lakini kuna fanta,sprite,coca cola na zingine zote soda lakini radha tofauti...shem naye anataka kuonja radha angalau kwa macho tu.
kwikwikwikwikwikwYou are right shem, lazima usifie uumbaji na kuna kuzidiana kati ya watu na watu. Ndo mana nimetaka aniaminishe kuwa ame-appreciate mtoto alivyo bomba ila asijekuwa namimi huku imagine ya Rihanna inamjia, lol!..
You are right shem, lazima usifie uumbaji na kuna kuzidiana kati ya watu na watu. Ndo mana nimetaka aniaminishe kuwa ame-appreciate mtoto alivyo bomba ila asijekuwa namimi huku imagine ya Rihanna inamjia, lol!..
kwikwikwikwikwikw
hahahahaha anapo kuwa na wewe anaweka kichwa cha Rihanna juu yako anajifeel yupo na yeye kumbe ni wewe. Usife moyo yote ni kupenda.
shem wangu unamuonea...hivi vitoto bara barani vinazidi kuwa vikali na vinatega sana....unaangalia mara ya kwanza ya pili unapewa number ya simu.....sijilaumu goal kusogeaKikuchekeshacho? share the laughter please!!!!!
Naona nazidi kukatishwa tamaa..Sijakataa,Rihanna mkali kweli kweli..
Subiri nimsikie huyu Masa atasema nini..ha ha, yote ni wivu wa utani mkuu !Naamini unanisoma....
shem wangu unamuonea...hivi vitoto bara barani vinazidi kuwa vikali na vinatega sana....unaangalia mara ya kwanza ya pili unapewa number ya simu.....sijilaumu goal kusogea
Ndo maana mi nakwambia usife moyo haya mambo yapo sijui Rihanna akitokea anga za Masa sijui atamwacha apite hivihivi? Nakusoma
Please, usinipandishe presha asubuhi hii maana nitashindwa kuconcentrate na kazi hapa..Think of something to make me smile na mimi niamini umependa kwa kuangalia TU..
kwa hiyo na hizi zimetengenezwa?....mkuu uko nyuma sana au ulitaka mpaka IPP waandike?Picha nyingine tuwe makini nazo ni za kutengeneza jamani. Hata madada zetu, marafiki na ndugu wanaopelekwa kule ze uchungu nyingi ni za kutengeneza. Nakumbuka kuna jamaa alimpost huko Jokate wa kutengeneza kumbe akasasau kuweka ile alama ya Jokate karibu na pua!!!! Hata ile ya Mkuu wa Kaya walisahamu kusawazisha vizuri ile shingo waliounga kiwiliwili. Msije mkavunja mahusiano kwa mapicha ya Internet/Photoshop ni lazima kabla ya kufikia uamuzi huo uwe umefanya utafiti au proof ya kutosha kujiridhisha kuwa picha ni halisi!!!!!
tehe tehe teheMbona inasemekana ile ya Mkuu wa Kaya was real!