Ridhiwani kikwete thibitisha au kanusha.

NGOWILE

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
454
258
Ninamuomba Ridhiwani Kikwete athibitishe au akanushe uhusika wake au umiliki wake wa Jengo hili ndani ya mji wa Dodoma.Endapo atashindwa nitamwaga ukweli na nyaraka juu ya hili.
 
Mtanzania yeyote ana haki ya kuwa mfanya biashara,kumiliki mali yoyote yenye gharama yoyote kihalali.
 
tueleze zaidi,nani kamtaka akanushe au adhibitishe??tupe habari yote mkuu
 
Nyakua nyakua ya familia ya Kikwete na maswahiba wao hakika inatia kinyaaa mno!!!!!!!!!!!

Ninamuomba Ridhiwani Kikwete athibitishe au akanushe uhusika wake au umiliki wake wa Jengo hili ndani ya mji wa Dodoma.Endapo atashindwa nitamwaga ukweli na nyaraka juu ya hili.
 
ms3.jpg
 
Back
Top Bottom