Ridhiwani Kikwete jina lake linatumika kumdhulumu mjane Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ridhiwani Kikwete jina lake linatumika kumdhulumu mjane Arusha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LENGIO, Sep 27, 2012.

 1. LENGIO

  LENGIO JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 1,033
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Kuna mtu anajiita piga deel anatumia jina la Ridhiwani Kikwete kung'ang'ania nyumba ya Uchumi house nyumba ambayo ni ya mama mjane aliyeachiwa na mume wake.Mama huyo amefanya kesi na Njake akamshinda mahakama kuu,baada ya rufaa mahakama ikaamuru mama apewe nyumba yake,lakini amejitokeza huyo piga deel ambaye alikuwa anatumiwa na Njake kukusanya kodi na kuzuia madalali mahakama kukabidhi nyumba hiyo kwa madai niya kwake huku akitamba hakuna mtu atakaye mueza kwakuwa yuko na Ridhiwani Kikwete.Kwa mimi binafsi naona anatumia tu jina la RZ1 kutishia.Rz1 kama huyo mtu humfahamu jitokeze kukanusha na umchukulie hata sitahiki maana imekuwa kawaida kwa matapeli kutumia watoto wa viongozi kudhulumu.
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kulikoni umwamba mpaka kwa wajane??????????????
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Chezea riz moko weye,nakumbuka gazeti kama si mwana halisi ni raia mwemwa liliandika baba yake riz 1 amedhulumu nyumba ya yatima, hivyo ni asili yao usishangae
   
 4. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Huyu Njake ni Japhet Lyandui Lema ambaye pia ni mtuhumiwa wa EPA. Alipata utajiri wake kwa mashaka sana na akawa ndiye mfadhili wa SSM kwa mkoa wa Arusha kwa kipindi kirefu. Ni yule yule baada ya kesi za EPA kuanza kunguruma alitoa zawadi ya Pikipiki kwa SSM Arusha na JK alikuwa akabidhi na alipopewa taarifa zimetoka kwa Njake basi JK alikataa kuzigawa na kuwaambia wa mkoa wagawe maana wanajua walikozitoa!!! Huyu Njake ndiye namba one kada wa CCM wakati ule kabla ya EPA na ofisi yake imejaa certificates za SSM za shukrani kwa ufadhili wake. Hata hivyo, pamoja na ufadhili huo lakini kesi ya EPA kafunguliwa!!! Mwisho wa drama utakuwaje? Ila alirejesha hela zote za EPA!!! Of course anaweza maana ana biashara ya visima vya mafuta na vituo pia na hotels!!!! Connection ya Njake na mtu deel na Rizione inakujaje? Mtu wa Njake kwa masuala ya dili ni jamaa anaitwa Swai, mtu wa mujini sana Ar!!!! Chunguza kama si huyu basi atakuwa mwingine mpya!!
   
 5. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Kwa upande wa hili ghorofa la mjane ni kweli Njake alimkopesha mume wa huyu mama hela na akawa ameandikishana hii nyumba. Baadaye deni akashindwa kulipa na akaomba grace period aweze kulipa ila njake kwa kuwa ni mhujumu anayejidai mlokole alikataa. Baadaye yule mdaiwa akapata hela yote na riba akampelekea Njake akakataa kupokea kisa anataka kulinganisha vilaki vya mkopo na nyumba ya ghorofa iliyoko sehemu ya biashara ya mabilioni. Kwa kifupi waliendesha kesi huku Njake akihonga sana na mwishowe alishindwa. Kwenye rufaa pia yule mama alishinda baada ya mume kuwa amefariki (sijui kifo cha asili au vipi).
  Kwa ufupi utajiri wa Njake ni full maswali, ni mrushaji mkubwa sana anayetumia mgongo wa ulikole kuibia watu wasio na hatia. Kwake bora ufe kuliko shilingi yake ipotee. Kwa ufupi Njake ana umafia mbaya sana kwa mali za watu na ngoja mengine asitiriwe tu maana tukisema yote mtashangaa!!! Hizi ndizo kada za Chama.
   
 6. M

  Mchaga HD Member

  #6
  Sep 27, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  it seems watt wa vigogo ndo huzulumu eeh?
   
 7. M

  Mchaga HD Member

  #7
  Sep 27, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  njake simlokole jamani..
   
 8. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2012
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hao ndio matajiri tulionao wadhulumaji na makada wa ssm.
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  duh !! ! ! ! !
   
 10. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kama kweli RAFIKI WA HAKI kwa maana ya Mwanasheria, Kijana mwenzetu Ridhiwani Kikwete, pindi atakaposikia maneno kma haya ATAJISIKIJE MTANZANIA MWENZAKE TENA MAMA MJANE anapozulumiwa kilicho chake eti kwa jina la urafiki na nyumba ya utawala katika nchi yetu?????????????

  Hili jambo lifuatiliwe zaidi ili kumfuta machozi mama huyu na watoto yatima aliyo na jukumu la kuwalea hapo nyumbani kwake.
   
 11. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,278
  Likes Received: 1,204
  Trophy Points: 280
  Hakuna lolote
   
 12. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #12
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Mbona nasikia Piga Deal ni ya Richman of Monduli aka Richmond?
   
 13. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #13
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Ndio ujue kuwa mali si deal, tulizana na mie mumeo Kongosho!
   
 14. Tina

  Tina JF-Expert Member

  #14
  Sep 27, 2012
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 571
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 45
  Mtoa mada ameweka kinyume kinyume maana ukweli ni kwamba huyo mzee wa madili ni mtu wa Fred Lowassa na haijulikani mambo hayo yote kama huyo kina anajua ama la. Pia fuatilieni mutajua kwamba hata mali za huyo mama alisaidiwa kuziokoa kwa msaada wa Riz na hata sasa ndiye anamsaidia kuzuia huyo mzee wa madili asimdhulumu huyo mjane. Huyo mjane namfahamu sana nilipokua Arusha nilikutana naye alisaidiwa kuokoa migodi yake ya Tanzanite na Riz na sasa nasikia mgodi umetema. Kama alimsaidia kuokoa mali za mabilioni na sasa anamsaidia mahakamani (kaangalieni kumbukumbu) itakuaje awe anataka kumdhulumu.

  Inawezekana mtoa mada alisikia tu kwamba kuna "mtoto wa kigogo" anayemlinda mzee wa madili anayetaka kumdhulumu mjane.
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  He he he, kumbe na wewee ni mume wangu??

  Itabidi nifanye inventory ya wamme zangu aisee.

   
 16. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Kama bado unamuota Bishanga basi alishakupa talaka, hukumbuki? Nimebaki peke yangu - unless unataka kubaki bila mume that is!
   
 17. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #17
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  He he he, bishanga alikuwa kidumu tu
  Mume halali wa ndoa yupo
  Sasa sijui nikuweke uwe kigaloni? maana kuna spare tyre mmoja naye msumbufu

   
 18. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #18
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Utakuja kulia hapa hapa hadharani na mie nikisepa! We endelea tu kuniita kigaloni hivyo hivyo.
   
 19. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #19
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  He he he, kulia hadharani ndio utamu wenyewe

   
 20. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #20
  Sep 28, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  hawa si ndio kina papa msofee hawa
   
Loading...