Ridhiwani Kikwete: Dokta Slaa anataka kunichafua!

Tumechoka na wizi huu taarifa zinasema data za kuandikisha simu ndizo watu wa usalama walizotumia kama kura za kikwete huu ni wizi huu ni uuaji tumechoka tuko tayari kwa lolote
 
Jamani huyo mwanasheria kihio tuu. mwacheni zake zitafika na wote na babayake watabanwa kwenye kona. hapo ndipo kutakua na kilio na kusaga meno kwa baba mama na mtoto.:A S angry:
 
Dogo ana akili za kumshabikia mzee ili aendelee kula fedha za watanzania wavuja jasho mtoto wa ajabu sana huu , mara hotel siifahamu sijawahi kuingia ndani zaidi ya kuiona kisha anasema haina uwezo wa kubeba watu 30 amejuaje kama hakuwepo katika kamati au anajua alitendalo , hawa watu wabaya sana , wachafu iko siku Mungu atawanyoosha kama alivyofanya kwa Batilda na Masha
 
Hivi Ridhiwani huoni kuwa unajidanganya? Mara unasema tarehe hiyo hukuwa Mwanza, Mara unadai eti Hiyo hoteli yenyewe huijui ilipo. Sasa mbona unadai hiyo hoteli haina uwezo wa ku accomodate watu 30? Acha upupu kuna ukweli unaujua.

Pumba
 
dogo kilaza tu huyu hata elimu yenyewe nina uhakika kaipata kwa mgongo wa babake ...dogo yupo chali sana il ababa yake keshadhihirisha uhalisia wa ukoo wao ,so ndoto zake za kuwa prezda ziishie huko huko
 
Hivi Ridhiwani huoni kuwa unajidanganya? Mara unasema tarehe hiyo hukuwa Mwanza, Mara unadai eti Hiyo hoteli yenyewe huijui ilipo. Sasa mbona unadai hiyo hoteli haina uwezo wa ku accomodate watu 30? Acha upupu kuna ukweli unaujua.
Hii imeanzia wapi. Uandishi wako unaonyesha kuwa hii ni habari inayoendelea. Ingekuwa vizuri kama ungeweka pia na mwanzo wake.
 
hebu mnaojua kinachoendelea tuambieni, hii habari inahusu nini?
 
Aliuliza eti Kikwete anaweza kwenda mahali watu wasijue? Huyu dogo hajui kutumia mantiki. Ukweli wa Kikwete kwenda katika Hotel hiyo hauwezi kuthibitishwa na suala la watu kumwona. kama hakwenda basi inatosha. Anasema yeye siku hiyo hakwenda Mwanza lakini hakutaja alikuwa wapi. Hata kama atataja kuwa alikuwa mahala pengine atuambie ratiba yake ya siku hiyo kwa saa 24, maana anaweza kusafiri toka mahali pengine kwenda Mwanza ndani ya saa hizo 24.
 
Namkumbuka sana huyu dogo pale Mkwawa alikuwa mpoleee mnyenyekevu usingedhani kama angeweza kuingia kwnye siasa na kuwa fisadi kama sasa!
 
Hii imeanzia wapi. Uandishi wako unaonyesha kuwa hii ni habari inayoendelea. Ingekuwa vizuri kama ungeweka pia na mwanzo wake.

Dingswayo tafadhali ondoa picha ya Morgan Freeman ktk ID yako. he is one of the great thinker in this planet earth, anatuwakilisha black vizuri sana, tofauti na wewe mwenye kulamba visigino vya mabasha wako... Dogo amejichanganya period! ukiangalia body language yake itatosha kukupa jibu kuwa riziwani ni mchakachuaji.... makame ndo kabisaa dhamira inamsuta ile mbaya... uchaguzi lazima urudiwe...
 
Mtoto wa nyoka ni nyoka jamani kuna ubishi
Kuna Mdau mmmoja aliwahi kutua post kwamba Mdogo wake Ridhiwani anaongoza timu ya Wataalamu wa IT wamejifungia ofisi moja Upanga wakiichezea database ya NEC ...watu tukampuuza
 
Wadau tuache kumjenga huyu mtoto wa mtawala, kwani hakuna habari mbaya kila habari ni nzuri tunavyozidi kumtajataja ndiyo tunavyomuinua kisiasa bila kujua hata kama tunamtaja kwa mabaya. Ikumbukwe Jamii Forum inaushawishi mkubwa nchini na mara nyingi magazeti ya kitaifa wanainukuu. Binafsi ninaamini Tanzania mpya imezaliwa na watoto wa watawala wa sasa hawana nafasi kwa Tanzania yetu, bibi yangu (nyanya) alikuwa Tanu na sasa CCM lakini mwaka huu kachagua CHADEMA, nilipomuuliza kwanini? Jibu "mara zote nachagua na moyo wangu safari nimechagua na kichwa changu." Nafikiri hayuko peke yake na huo ndiyo mwanzo wa mwisho wa chama akipendacho.
 
All I can say JF need to close this nonsense topic, sioni kichwa wala miguu humu ndani.
 
Hivi Ridhiwani huoni kuwa unajidanganya? Mara unasema tarehe hiyo hukuwa Mwanza, Mara unadai eti Hiyo hoteli yenyewe huijui ilipo. Sasa mbona unadai hiyo hoteli haina uwezo wa ku accomodate watu 30? Acha upupu kuna ukweli unaujua.

Hili toto linatia aibu kwa vimbwanga vyake ama kweli kuwa uyaone JK orijino a.k.a mchonga, Mzee ruksa na Ben a.k.a Chinga boy watoto wao hawakuonyesha upuuzi kama wa ki riz 1, tabia hii inashiria anapewa malezi ya aina gani.
Habari zisizo rasimi hili toto linahusika na kushinikiza uchakachuaji wa matokeo ya kura za ubunge shy wakiwa na makamba, kama siyo hivyo walifuata nini SHINYANGA hali si waajiriwa wa nec kama sikushinikiza uchakachuaji wa matokeo?
Huyu akisemwa kwa lolote baya linakubalika kwa vile ameshiriki katika kashfa nyingi sana hapa njini TZ masauni, bashe, matokeo ya ubunge Shinyanga na mengine mengi, huyu dogo anahitaji ushauri nasaha ajifunze kuishi na watu mh jm kikwete naye akemee hizo tabia tata za huyu dogo. Kama kweli huyu ndiyo anaandaliwa kuwa prezidaa 2025 TUMWEKWISHA KILA KITU KITAUZWA
 
Naomba nitoke nje ya mada kidogo - nimemuona RK akiwa na pete mbili, mkono wa kulia na kushoto, hivi zina maana gani?
 
There are some people in the ruling scene that need to go away completely and some who need to change, also there are some who need to open their eyes.
I am talking about being focused on the well being of tanzanians, as a proffesion, and a daily duty. Not a present or a bribe.
We all have heard about stories of ridhwani and his friends and boses. True some are not exact truths, but some are and they are not good at all.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom