Hivi Ridhiwani huoni kuwa unajidanganya? Mara unasema tarehe hiyo hukuwa Mwanza, Mara unadai eti Hiyo hoteli yenyewe huijui ilipo. Sasa mbona unadai hiyo hoteli haina uwezo wa ku accomodate watu 30? Acha upupu kuna ukweli unaujua.
:crazy:Pumba
Hii imeanzia wapi. Uandishi wako unaonyesha kuwa hii ni habari inayoendelea. Ingekuwa vizuri kama ungeweka pia na mwanzo wake.Hivi Ridhiwani huoni kuwa unajidanganya? Mara unasema tarehe hiyo hukuwa Mwanza, Mara unadai eti Hiyo hoteli yenyewe huijui ilipo. Sasa mbona unadai hiyo hoteli haina uwezo wa ku accomodate watu 30? Acha upupu kuna ukweli unaujua.
Hii imeanzia wapi. Uandishi wako unaonyesha kuwa hii ni habari inayoendelea. Ingekuwa vizuri kama ungeweka pia na mwanzo wake.
Kuna Mdau mmmoja aliwahi kutua post kwamba Mdogo wake Ridhiwani anaongoza timu ya Wataalamu wa IT wamejifungia ofisi moja Upanga wakiichezea database ya NEC ...watu tukampuuzaMtoto wa nyoka ni nyoka jamani kuna ubishi
All I can say JF need to close this nonsense topic, sioni kichwa wala miguu humu ndani.