Tetesi: Ridhiwani Kikwete awavaa WASAFI, awatolea povu nje nje

Kuna vitu vingine sio kazi ya meneja wajameni, jambo kama hili wa kulaumiwa ni Captain wa boti, sio Fella.

Wao kama Ma manager wanatakiwa kuhakikisha usalama wa wasanii wao, sasa Hao Ma captain kama hawakuambiwa wangetokea wapi
 
Mwambie jirani yako Riz aache umbeya , watu wa chalinze wanahitaji maendeleo, WCB hawahusiki na umaskini wa watu wa chalinze, halafu alivyo mnafiki mbona mazuri ya WCB utomuona kupost ila mabaya ndio upost kwa haraka , hivyo basi mwambie asiwe kimbelembele kama tai

Nakwambia, Liz umbea unamsumbua na wivu , mbona tukio la tandale hakupost? Tatizo yeye Hana nyota atulie tu
 
Back
Top Bottom