Ridhiwani Kikwete atikisa Pwani,Apokea vijana UVCCM 250,Asimika makamanda wa Vijana

Taswira

JF-Expert Member
Sep 23, 2012
1,198
447
[h=5]Ridhiwani Kikwete

[/h]
Huku tukitambuka kabisa kabisa kuwa ndugu zetu/waupande wa pili wapo kwenye hatua za mwishomwisho za kumalizana ili wajizike,Welevu kwenye siasa tunachukua jembe na kwenda kulima,Kule Kinana,Pale Mwigulu,Huku Nape Nauye,VIjana Sixtus na Hapa viongozi wa chama wilayani tunainuka na kupalilia chama chetu mavuno yapo mwaka 2015.

PEPERUSHA BENDERA PWANI YA CCM HARAKATI ZINAENDELEA.......

Leo nilikwenda Mkuranga katika harakati za kuimarisha Chama mkoa wa pwani.Yaliyotokea

-kupokea wanachama wa Chama cha mapinduzi na Uvccm 250
-kusimika makamanda wa vijana wa kata ya Kimanzichana na Lukanga.
-kuzindua mashina matatu ya chama cha mapinduzi.
-kuzungumza na wananchi wa Kimanzichana na kuwapa salamu za chama cha mapinduzi,ikiwa pamoja na utekelezaji wa ilani na pia kuzungumzia mchakato wa katiba.
-kukutana na waasisi wa chama waishio kimanzichana.

Nawashukuru tena viongozi wa Vijana wa mkuranga kwa kunipa nafasi hii ya kufanya kazi ya kuimarisha chama.

1470272_556269967782047_1452809283_n.jpg
1464703_556269817782062_2130672551_n.jpg
1463972_556270341115343_2000339483_n.jpg

watu wenyewe hata mia hawafiki na idadi kubwa ni watoto chini ya miaka 14.

Mnatishia nyau. lol
 
vijana wa pwani hawajielewi,miaka HAMSINI ya uhuru kijiji cha kimanzichana hakina ZAHANATI.
 
[h=5]Ridhiwani Kikwete

[/h]
Huku tukitambua kabisa kabisa kuwa ndugu zetu/waupande wa pili wapo kwenye hatua za mwishomwisho za kumalizana ili wajizike,Welevu kwenye siasa tunachukua jembe na kwenda kulia,Kule Kinana,Pale Mwigulu,Huku Nape Nauye,VIjana Sixtus na Hapa viongozi wa chama wilayani tunainuka na kupalilia chama chetu mavuno yapo mwaka 2015.

PEPERUSHA BENDERA PWANI YA CCM HARAKATI ZINAENDELEA.......

Leo nilikwenda Mkuranga katika harakati za kuimarisha Chama mkoa wa pwani.Yaliyotokea

-kupokea wanachama wa Chama cha mapinduzi na Uvccm 250
-kusimika makamanda wa vijana wa kata ya Kimanzichana na Lukanga.
-kuzindua mashina matatu ya chama cha mapinduzi.
-kuzungumza na wananchi wa Kimanzichana na kuwapa salamu za chama cha mapinduzi,ikiwa pamoja na utekelezaji wa ilani na pia kuzungumzia mchakato wa katiba.
-kukutana na waasisi wa chama waishio kimanzichana.

Nawashukuru tena viongozi wa Vijana wa mkuranga kwa kunipa nafasi hii ya kufanya kazi ya kuimarisha chama.

1470272_556269967782047_1452809283_n.jpg
1464703_556269817782062_2130672551_n.jpg
1463972_556270341115343_2000339483_n.jpg

Hajawaambia kuwa mgodi wa tulawaka ameshaununua sasa ni wa kwake? Kaununua kwa bil 7 kutoka Barick
 
Ajitahidi tu, kwani watoto wa Ghadaffi na Hosni wako wapi sasa hivi???
 
Mkuranga ni kwetu, nawajua watu wa hapo.

Kupata watu 250 ni big fail.

Kwa jinsi palivyo tambarare angetakiwa kuzoa.

This was a mediocre job from a mediocre person.

Halafu ukiangalia narrative yake unaona how shallow he is.

Badala ya kuzungumzia chama kinavyotatua matatizo ya wananchi, anazungumzia chama kinavyovuna, anaweka wazi kwamba priority ya chama nikuvuna wananchi na kushinda chaguzi.

Bila kutuambia chama kinafanya kazi gani na ushindi kinaoupata!

Anaweka wazi kwamba wananchi na wanachama ni ngazi tu kwa chama kupandia kuendeleza ufalme wake, si muhimu sana kiasi cha kujishughulisha kueleza hata chama kimewafanyia nini tu.
 
Muuza madawa ya kulevya
kweli tz ni zaidi uijuavyo
Tunatamani sana kurudisha mali zetu hapo mwanzoni mwa 2016 kwa garama yoyote
Watz tumekuwa maskini wakutupwa kwa sababu ya watu wachace
Moto utakuwakia labda ukimbie nchi
 
ha ha ha hao madafu tu na maembe....cheki jezi za njano mpyaaa lkn usoni wachovu chakavu ni wazi wamevalishwa ili kupiga picha !! Hivi nyie bado mnafikiri watz ni wajinga kiasi hicho ? Kinana ni jangili hata akijifanya kubeba tofali au yule maza kashika msumeno kama mwiko haitawasaidia kitu !!

Angepeleka malori na matrela alaf awaeleze maisha bora ya kila mtanzania na aseme kayapata wapi hayo....nyambaf !!
 
[h=5]Ridhiwani Kikwete

[/h]
Huku tukitambua kabisa kabisa kuwa ndugu zetu/waupande wa pili wapo kwenye hatua za mwishomwisho za kumalizana ili wajizike,Welevu kwenye siasa tunachukua jembe na kwenda kulia,Kule Kinana,Pale Mwigulu,Huku Nape Nauye,VIjana Sixtus na Hapa viongozi wa chama wilayani tunainuka na kupalilia chama chetu mavuno yapo mwaka 2015.

PEPERUSHA BENDERA PWANI YA CCM HARAKATI ZINAENDELEA.......

Leo nilikwenda Mkuranga katika harakati za kuimarisha Chama mkoa wa pwani.Yaliyotokea

-kupokea wanachama wa Chama cha mapinduzi na Uvccm 250
-kusimika makamanda wa vijana wa kata ya Kimanzichana na Lukanga.
-kuzindua mashina matatu ya chama cha mapinduzi.
-kuzungumza na wananchi wa Kimanzichana na kuwapa salamu za chama cha mapinduzi,ikiwa pamoja na utekelezaji wa ilani na pia kuzungumzia mchakato wa katiba.
-kukutana na waasisi wa chama waishio kimanzichana.

Nawashukuru tena viongozi wa Vijana wa mkuranga kwa kunipa nafasi hii ya kufanya kazi ya kuimarisha chama.

1470272_556269967782047_1452809283_n.jpg
1464703_556269817782062_2130672551_n.jpg
1463972_556270341115343_2000339483_n.jpg

Safi Rizi1 mchalamchaka mpaka ulimi uwatoke,hakyanani chadema imenuka mtaani mimi shahidi
 
mungu sijui tulimkosea nini,huku tuna masultani wa CCM wasiotaka kutatua matatizo ya wananchi wao, huku tuna "headless chicken type" wa CHADEMA wasiojua nini wanasimamia,na watawafanyia nini wananchi hao wakiwatoa kwenye makucha ya CCM, ilimradi vurugu tu.
 
CHADEMA wanajua vizuri sana watawafanyia nini wananchi lakini nguvu ya CCM ya kuweka vizingiti kufikia hatua hiyo kwa kupandikiza 'wachawi' ni kubwa. Hicho unachokiona na kukiita "headless chicken" ni kazi ya CCM. Jambo la msingi ni kushukuru kwamba CHADEMA imeigundua na dawa itapatikana. CCM hatuwezi kuwanyima credit yao kwa mbinu chafu dhidi ya harakati za ukombozi. Kama wangekuwa wanatumia mbinu hizo kuwaletea wananchi maisha bora, ninafikiri Tanzania ingekuwa mbali kupita nchi yo yote ya Afrika ya Mashariki. Angalia picha zinazotupwa katika mitandao zikionesha sehemu za vijijini ambapo akina Kinana, Nape, na Mama yule aliyeshindwa kule UN wanapopita. Kwa mfano mmoja tu mdogo ni nyumba za wenyeji wao ambazo ni kama mabanda ya mbuzi. Na wao bila aibu wanakaa pale, wanapikiwa chakula na kuendelea kuwarubuni wananchi.
 
Back
Top Bottom