Ridhiwani Kikwete atawazwa kuwa chifu wa wanyakyusa!

Acid naona hii ni issue, itakuwa sio issue kama maswali niliyouliza juu yatajibiwa. Kama makabila mengine yanakubali mtu anatoka aliko na kuja kutawazwa kuwa chifu kwa watu wengine ni sawa basi ni juu yao. Kukubali kwao kusifanye makabila mengine nayo yakubali.

Kuna vitu vya msingi mtu kuwa chifu jee vilifuatwa?????
Mkuu, tumeshaona pinda, lowassa, kikwete, lipumba, slaa na wengine wakivaa uchifu wanapotembelea, tena nadhani kwa jeykey huwa hata wanarecycle... these are ceremonial ni kama ambavyo unakwenda japan unapewa kimono na unapiga picha...

Unakumbuka JK alipigwa ngwala pale Mwanza akivishwa vazi la kichifu?? do you remember Nyerere alikua chieef wa makabila mangapi??

Cha maana ku-note ni kwamba Ridhwani amekua overpromoted sana na ccm yenyewe na hatujui agenda ni ipi kwani yeye wala si mwenyekiti wa vijana wa wa kamati ya ushindi

kinachonisikitisha zaidi ni promo anayopewa na baadhi ya waandhishi kuliko hata akina bilal au makamba, this will work against ridhwani (thats my concern)
 
Wanavishwa mavazi ya kiasili lakini hawasimikwi uchifu. Hao wazee inabidi waelewe kama mmoja wao ni chifu na kaamua kuhonga uchifu wake bila kuwashauri subjects wake basi yeye anarudi kuwa commoner, haiwezekani sehehmu moja ikwa na machifu wawili.

Wanapewa vijihela halafu wanafanya vitu vya ajabuajabu tu, hatuwezi kukubali hata kidogo, sio wanyakyusa na sio Mbeya wakafanye madudu yao kungineko.
 
i still dont see this as an issue
Really? Kiulize maswali haya:
Swali la kwanza: Ivi expenditure za kampeni za huyu jamaa zinahesabiwa kama part ya expenditure ya kikwete? Mbona wanatufanya mafala? Hizi pesa zote za kuzungusha familia nzima wametoa wapi?
Swali la Pili: wanamvisha yeye kama nani? Yeye sio mjumbe tu? Na akija mjumbe wa Chadema? Hii ni psychological campaign? au huoni hiyo?
 
Huyu bwana mdogo inaonekana anapendwa sana na machifu haha hahah ahaha ahahah!!!. Just few days ago I saw this!!!!!!!

Saturday, September 25, 2010

6f2y4o.jpg

Mwenyekiti wa Muungano wa Machifu Mbeya, Shayo Masoko
(kulia) akimkabidhi Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Ridhiwani Kikwete zawadi ya kuku wakati wa mkutano wa kampeni za ndani za chama hicho, Mbalizi, mkoani Mbeya juzi.(PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Source: Bofya hapa

No comment katika hizi filimee.
 
Chifu Mwailemale (Ridhiwani Kikwete) akiwa amekalia kigoda baada ya kutawazwa kuwa chifu wa kinyakyusa.
Machifu wa kinyakyusa Ernest Mwailemale (kushoto) na Glasswell Mwakalukwa wakimvisha golole,Mjumbe wa Kamati ya utekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM)Taifa,Ridhiwani Kikwete, alipotawazwa kuwa chifu wa kinyakyusa na kuitwa Chifu Mwailemale juzi katika mkutano wa kampeni za ndani za kuweka mikakati ya kuipatia CCM ushindi wa kishindo,juzi katika Kata ya Ipinda, Kyela.
Chifu Mwailemale (Ridhiwani Kikwete) akihutubia baada ya kutawazwa kuwa Chifu wa Kinyakyusa.

NB: Inawezekanaje mtu ambaye sio mnyakyusya atawazwe kuwa chifu wa wanyakyusa????? Chifu Mwailemale pamo akamanya inyiho.

Huyo Chifu wa sasa kaachia ngazi ( abdicate) ili kumpisha Ridhwani na ni sababu ipi iliyomfanya aachie ngazi na mila zinasemaje????

Unyakyusa ni sehemu kubwa sana Je yeye ni chifu wa sehemu gani ya unyakyusa???

Mafumu wanasemaje kuhusu hili?????

Kigezo gani kilitumika ili kumfanya Rizwani kuwa chifu na wanyakyusa wangapi walishirikishwa katika hili???????

Mwenye majibu atupatie jamani, tuna kiu ya majibu haya...

PR stint hii?

Mwe! Ikisu kimalike!!!

Hawa ni wanyafyale feki kabisa!!!
 
Huyu bwana mdogo inaonekana anapendwa sana na machifu haha hahah ahaha ahahah!!!. Just few days ago I saw this!!!!!!!

Saturday, September 25, 2010

6f2y4o.jpg

Mwenyekiti wa Muungano wa Machifu Mbeya, Shayo Masoko
(kulia) akimkabidhi Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Ridhiwani Kikwete zawadi ya kuku wakati wa mkutano wa kampeni za ndani za chama hicho, Mbalizi, mkoani Mbeya juzi.(PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Source: Bofya hapa

Nyambala, kupewa kuku sawa hata ndyali, mwamnyila, kambani, masyabhala etc wampe haikatazwi kwani ni zawadi ya mtu mmoja wanapofikia kutoa kitu kinachorepresent kabila lote bila ridhaa ya members wa kabila hilo hapo ni mushkeli kidogo.
 
Haiwezekani hao waliomtawaza huyo kijana wakawa wanyakyusa halisi kwani wanyakyusa halisi ni wanyafyale,hawana tabia ya kujikomba komba; ukiona hivyo hao waliomtawaza ni wanyakyusa fake waliotafutwa na kibaraka Mwakipesile katika harakati zake za kujipendekeza kwa mkwere!!
 
Huyu Mwailemale naona hajui mila...Inamaana yeye kajivua uchifu?? Nijuavyo miye Chifu wa eno fulani hutawazwa baada ya chifu kufariki tena anayepewa ni mtoto mkubwa wa kiume wa marehemu tena wa mke mkubwa ambaye alitolewa mahari na baba yake yaani baba wa marehemu chifu. Sasa huyu pamo amafumu gakatele embombo.....
 
Babake naye alipewa kuwa chifu Mwangupili huko huko Kyela kama miaka mitatu iliyopita. Uchifu ulishakufa siku nyingi, hawa ni waganga njaa tu.
 
Hivi hiyo Kamati ya utekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM)Taifa ina wajumbe wangapi na hao ni kina nani na wanafanya nini wakati huu wa kampeni?
 
tumeshaona wengi tu wakitawazwa kwa makabila mbalimbali, sioni kama ni issue... its ceremonial

umenena mkuu hakuna cha ajabu hao ni machifu wa ushabiki wa ccm hata machifu wengine wa vyma vingine
vya siasa wasiyofungamana na ccm wata watawaza wengine but is you said there is no issue
 
Wanayakyusa kwa kujipendekeza wamezidi! Hakuna wazee huko walau wenye Busara?
 
Hii familia sasa tumeichoka! Mara mama yupo huku na sasa mtoto. Ahh... Mbona marais wengine hatukuwajua hata watoto wao?
 
Ngambo Ngali, sasa hii inakuwa too much, kila kukicha Riz1 kafanya hivi, mara Riz1 kafanya vile!, it becomes like obsession at the end of the day sasa itageuka ni majungu au chuki binafsi dhidi ya kwa nyota yake kuzidi kung'aa.

Wangapi wanatawazwa machifu wa makabila kibao siyo yao na watu hamuulizi, leo katangazwa Riz sasa ndio imekuwa nongwa!
Mwacheni Chifu Mwailemale aendelee kuchapa kazi nzuri anayoendelea nayo angalau kujaribu kuokoa baadhi ya kura, hivyo kupunguza nakisi.

Mkuu pasco, kuna vitu fulani si vema kutetea au kupinga bila kuitazama historia na ukweli wa jambo husika.

kwanza, si kweli kuwa nyota ya Rizwani inang'aa. Ila huyu ni mtoto ambaye anatumia cheo cha baba yake ili kujulikana kati ya watu na kutenda kama "kiongozi mdogo". Huyu kijana anasababisha manung'uniko makuu katika mioyo ya watanzania. Huwezi. Nasema huwezi ukamkuta mtanzania mwenye akili timamu, anayeipenda nchi yake asiye na kasumba ya kujipendekeza kwa viongozi na wenye madaraka, atakayekwambia anayofanya Rizwani ni sahihi.

Ikiwa sisi tunachuki, hebu uelezee upendo wako katika yale aliyoyafanya na anayoyafanya Rizwani halafu uone kama dhamiri yako haija kushitaki na kukung'ong'a.

Hivi unakumbuka kipindi kile Kikwete alipovikwa mavazi hayo na wale wazee wa kinyakyusa ni manunguniko gani yalitolewa na zile familia ambazo zipo katika "clan of seers"(line of chiefs)?
Jifunze kitu kingine hata kile kilichomtokea Mwanza, kilikuwa na maana gani?[kumbuka alikuwa hata uongozi wa nchi hajauchukua]

Rizwani ni mtoto mdogo, waliomtendea hilo wamelifanya kwa woga na umaskini wao na kutaka kujipendekeza kwa baba yake yaani Kikwete, period. Kama ninayosema si sahihi mumuulize mtu anayejiainisha kutoka katika familia za Ki-chifu kama Harison Mwakyembe au Koroso utasikia majibu yake na kuona namna heshima hiyo inavyodharauliwa kwamba kila mtu anaweza ivaa.

Si kila anayetokea familia za kichifu ni chifu.
Jiulize kwa nini mtoto wa Adam sapi mkwawa, mra kadha amekuwa akisema katika wa-hehe chifu ni mmoja tu ndiye yeye.Yaani katika kizazi huwezi ukawa na mchifu wengi ila mmoja tu aliyetawazwa na wazee wakimila akitokea miongoni mwa warithi halali wa cheo hicho.

Nyerere aliweza kukubalika kwingi si kwa sababu ya uongozi wake tu, bali pia alitokea familia ya ki-chifu. Alijua namna ya kuheshimu madaraka ya uchifu. Lakini si mtoto huyu wala mzee wake jamani! Tafakari zile moral standards za machifu wote wa Tanzania unaowajua halafu uone kama hawa watu wana fit in.
 
Hawa wanyakyu wachemfu sana. Wamechanganya walizani kikwete kawatembelea ! Hii komon kabisa
 
Back
Top Bottom