Ridhiwani Kikwete ataja 11 wanaotosha kugombea urais 2015

tusonge mbele jamani vitu vya miaka ya nyuma mnavileta mbele??.....leteni sera fanyeni ziara....acheni maneno na majungu tunahitakji kazi tu...

Katika orodha ya Riz1 wanaofaa kamtaja Lowassa 5 bora.
Na pia Magufuli hayumo kabisa.

Hii inaonyesha jinsi Lowassa anavyokubalika even to insiders
 
Back
Top Bottom