Ridhiwani Kikwete ataja 11 wanaotosha kugombea urais 2015

Wadau,hii ni sehem
ya mahojiano kati ya riz na gazeti la mwananchi!!hapa sasa ndio mtaona kwamba ile adhabu ilimlenga lowassa moja kwa moja,Lowassa kabaki kimya ila bado wanahaha kivuli chake.Mods naomba usiunganishe huu uzi na niwaombe msiuondoe watanzania wajionee mtoto wa rais alivyo lewa madaraka

Hata hivyo, Ridhiwani alidokeza kuwa wapo baadhi ya wanasiasa watakaokwama kufikia lengo hilo kutokana na kukabiliwa na kesi ndani ya chama, ambazo hakuzitaja wala kutaja wahusika.

“Kuna watakaopungua kutokana na kesi zinazowakabili katika chama ambazo zinawafanya wapungukiwe sifa. Kwa maana hiyo kuna watu kama wanne hivi (wa Bara) unawatoa na ukiwatoa unabakiwa na watatu, sasa unaweza kujiuliza hao watakaobaki watatu, je, wanatosha?”

Alipotakiwa kueleza iwapo angepewa nafasi ya kuteua mgombea mmoja wa CCM atakayepambana na vyama vingine katika uchaguzi mkuu mwakani, Ridhiwani alijibu kwa ufupi kuwa akisema, “Hilo siwezi kujibu.”

Amsaidia Membe

Ridhiwani pia alizungumzia uchaguzi wa ndani ya CCM akikiri kuwa alimsaidia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Membe kushinda ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC).

“Ni kweli katika uchaguzi wa NEC nilimsaidia Bernard Membe. Nilimsaidia si kwa sababu ya kuwa katika kundi lolote, ila nilimwona kuwa ana sifa ya kuingia kwenye NEC, hili jambo lazima watu waelewe,” alisema Ridhiwani.
 
Huwa najiuliza,ina maana kwamba jk ameshindwa kumdhibiti na kumkanya mtoto wake??Lowassa anawasoma tu na siasa zao za chumbn
 
Ridhiwan ameshindwa kujifunza kabsa kupitia watoto wa sadam hussein na aliyekuwa rais wa libya muamar gaddafi?namuonea huruma kwakweli
 
atakuwa rais wko na mama salma,jua liwake mvua inyeshe membe hawez kuwa rais wa tanzania afadhali nchi ibaki bila rais

Tunahitaj rais ambaye sio fisad.muudilif na mchapa kaz.amazo mzee Membe sifa hiz anazo.na ndo chaguo la weng mkuu
 
Tunahitaj rais ambaye sio fisad.muudilif na mchapa kaz.amazo mzee Membe sifa hiz anazo.na ndo chaguo la weng mkuu

Ndio mnavyojidanganya mnapokuwa pale ikulu?subirin mtashangazwa na jiandaeni kufilisiwa kwa biashara haramu mlizofnya kwa kutumia mgongo wa ikulu!!jk mwenyew anatambuwa Lowassa ndiye kampa hicho kibarua ambacho mtoto wakw sasa hiv amepata kibur na kumtusi lowassa
 
Ndio mnavyojidanganya mnapokuwa pale ikulu?subirin mtashangazwa na jiandaeni kufilisiwa kwa biashara haramu mlizofnya kwa kutumia mgongo wa ikulu!!jk mwenyew anatambuwa Lowassa ndiye kampa hicho kibarua ambacho mtoto wakw sasa hiv amepata kibur na kumtusi lowassa

Mkuu njia kuu.unawaza kunipa vigezo kwa nn unahis lowasa anafaa kuwa rahis?
 
Mkuu njia kuu.unawaza kunipa vigezo kwa nn unahis lowasa anafaa kuwa rahis?

mkuu wala sihitaji kukuambia ni mangap lowasa aliyo yafnya kweny hii nchi,hata uki google utaona mengi yasiyo elezeka na hata jarib kumdadis mwanao hap nyumban atakutajia yote mazuri aliyo yafnya mh rais wet mtarajiwa
 
Bora amekubali alimpigia chapuo Membe. Prince anaongea ati. And he seems final. Ndiyo maana hatusogei.
 
Ridhiwani ana mpango wa kugombea urais? Je anamiliki mali gani usikose mfululizo wa habari hii. Itaendelea kesho.

Chanzo: Mwananchi
Huyu bro mnafiki.. Alisema mwezi April alisema January anatumika kama kondomu na EL na tena akasema E. LOWASA akipata urais yeye (Ritz) atahama nchi.
 
====
Mimi nikiwa Mtanzania nasikitishwa sana na kauli za kujirudia rudia za Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe akitumbukiza Tanzania katika LAANA. Mara hii Membe ananukuliwa na Vyombo vya Habari akilaani ISRAELI kwa mauaji yanayoendelea huko Gaza.
Anzisha thread tuchangie vizuri hoja hii!
 
tusonge mbele jamani vitu vya miaka ya nyuma mnavileta mbele??.....leteni sera fanyeni ziara....acheni maneno na majungu tunahitakji kazi tu...
 
ikifikia mahala ambapo Drags lords wanaongoza nchi basi ujue kuna laana inafuata kwa karibu ...
 
Back
Top Bottom