Ridhiwani Kikwete anakanaje kauli yake..vipi kuhusu hii kauli yake bungeni? angalia video....

Badala ya kukimbizana na kesi mahakamani wangekua wanajenga vyama vyao kwa kuwajenga wananchi kiitikadi.
Bila kesi, ruzuku watashindwa namna ya kuzipatia maelezo ya kuzitafuna. Wanatengeneza kesi makusudi...wapate kula ruzuku....!! Angalia formation iliyoko kwenye kuendesha kesi za chama...! Ni wale wale...!!!
 
Tatizo wakosoaji na Wapinzani hawajaweza kuwafundisha watanzania wakatambua umuhimu wa Demokrasia ya vyama vingi katika ustawi wa haki za binadamu.
Kwahiyo serikali ya jiwe itafanya kazi gani? Au unadhani kazi yake ni kukamata wanaoikosoa pamoja na kuzuia mikutano ya kisiasa tu.
 
Yani mtu anataka awe na haki ya kumtukana Rais anavyotaka bila kuulizwa. Hizi sio mila za kiafrika
Kwahiyo kinyume chake ni mila za kiafrika?.

Halafu usiwe unaandika comment ndefu kiasi hicho kielezea hoja dhaifu namna hii. Kama vipi azisha Uzi wako.
 
Kwahiyo kinyume chake ni mila za kiafrika?.

Halafu usiwe unaandika comment ndefu kiasi hicho kielezea hoja dhaifu namna hii. Kama vipi azisha Uzi wako.
Mambo ya kigeni ni mazuri endapo tutayapokea bila kuathiri mambo mazuri ya Kiafrika.

Kuhusu Urefu wa Comment zangu Kuna watu wengi sana wanapenda hizo comment zangu ndefu.
Hasa watu ambao ni Neutral wanaosimamia ukweli sio mizuka.
Comment fupi nyingi ni mipasho na kejeli.

Hatuwezi kuwajenga vijana wetu kisiasa kama tutakua muda wote tuna mawazo yanayofanana mpaka namna ya kucomment. Huo ndio udikteta mbaya kabisa.

Nadhana kama wapinzani wangeingia madarakani Chini ya Mbowe na genge lake tungekua na udikteta mbaya kuliko ule wa Adolph kile Ujeruman.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lako unachangia mada kwa kuonyesha kuwa wewe ni mwana "LUMUMBA"bila kificho na umeongelea mambo mengi yasiyo na msingi ila naweza kujibu machache nikianza na kauli yako ya kwamba "Dr. Slaa na Lipumba wanavipaji vya kuelimisha watu juu ya haki zao na demokrasia" ndio ni kweli kwa hilo nakubaliana na wewe na walikuwa na wafuasi wengi kweli kweli japo sio kwa sasa na dio maana mliliona hilo wana "LUMUMBA" 2015 baada ya Lowasa kuamia Chadema mkajumlisha kura tarajiwa za Lowassa takriban 6m, za dr Slaa 2m,1million za Lipumba mkaringanisha na zile mlizotarajia za"jiwe" ambazo mlijuwa wazi wazi lazima zitakuwa around 6m kabla kuiba kura (kama ilivyo ada yenu) .Ndiomkafanya HUJUMA ya karne ya kuwanunua hao vibaraka wawili jambo ambalo mlifanikiwa kwa asilimia 100% hilo nawapongeza ni basi UKAWA hilo hawakuligundua dk za mwisho hakika msingechomoa..kwa kauli yako hiyo tu lazima uchangie kwa kupendelea "Lumumba"...Swala la pili lini mara ya mwisho umesikia Mbowe akilazimisha maandamano..baada ya kufahamu nia yenu chafu ya kutaka kumuua katika shambulio lililopelekea kumpoteza Acquilina (uchaguzi wa marudio Kinondoni) umeona tena maandamano? naona sasa baada ya kumkosa mntaka kuwafunga viongozi wa juu karibia woote wa Chadema kwa sababu za kitoto....ungekuwa sio "mwanaLumumba"" ungechangia vyema hii mada....Labda nikupe tu wosia kwamba wazungu walisema "what goes around comes around"..hakuna "mwanaLUMUMBA" bora kama NAPE yuko wapi leo (anamalizwa kisiasa soon ataanza kulima korosho)...haya wewe endelea kutetea upuuzi ...utaniuimbuka siku moja
Lumumba inashamiri kwa kuteketea kwa Chadema chini ya udikteta kamili wa Mbowe.

Mbowe hana vision hilo mkubali wala msitumie nguvu kubwa kumtetea.
...Mbowe mwenyewe anajua kuwa hakubaliki kitaifa zaidi ya wilaya yake ya Hai pekee. Sugu ana watu wengi wanaoweza kumkubali Kitaifa kuliko Mbowe.

Kama unabisha jiulize ni kwa nini Mbowe tangu walipojaribu kumpa kumpa nafasi ya kuitafuta Ikulu 2005 hajathubutu tena kugombea urais? Unafikiri anaupenda uenyekiti kuliko urais?
Anajua hakubaliki kitaifa.

Hakika Chadema kingeweza kuwa chama Kikubwa sana cha upinzani kama wangekua adui yao hayuko nje ya Chadema. Hakuna mageuzi yatakayoletwa na mtu huyo na kabila lake bila kubadili mbinu na kama alivyofanya Mwalimu Nyerere alipoamua kuhamishia harakati zao kwa waswahili wanaojua siasa na namna ya kucheza nayo kulingana naazingiara na wakati.

Tunaipenda sana demokrasia lakini sio hii inayotaka kujengwa na Dikteta Mbowe. Hatutaki demokrasia Uchwara inayotokana na chama kisicho na demokrasia ya ndani.

Kweli hakubaliki nae analijua hilo mbona kitambo na ndio maana 2010 alimpitisha Dr. Slaa agombee Urais.....2015 akajua wazi Slaa kura zake hazizidi 2m.ndio akaamua kulamba dhahabu "Lowasa" tukio lililodhihirisha kuwa ana "vision" kubwa na ambayo sio ya nchii hii kiasi cha kuvuruga kabisa propoganda za LUMUMBA mpaka leo hamjakaa sawa..mmechanganyikiwa mpaka mmeanza kuwaamini wapinzani kuwa wanafaaa kupewa vyeo CCM kuliko wenyeji..sasa subiri muone uchaguzi ujao mtakavyolaluana nyie...mbaya zaidi mmejaza "waluga luga" watupu CC taifa wasiojua chochote katika maswala ya "mchezo mchafu wa siasa"...sijui jiwe mara hii ataambantana na nani kwenye kampeni (wakina Bulembo, Nape & na Kinana) woote wamemkimbia bora JK mlivyomgeuka 2010 aliamua kuambatana na Mke wake pamoja na mwanae Ridhiwani na akashinda kwa kuwa alikuwa bado anakubalika...
 
Kwahiyo serikali ya jiwe itafanya kazi gani? Au unadhani kazi yake ni kukamata wanaoikosoa pamoja na kuzuia mikutano ya kisiasa tu.
Umeona Picha ya mtu unayebishana nae, "" blow cover" nahisi ni mole.
 
Chadema mnatamani sana Ridhiwani awaridhishe kimwili na ki akili hahahaha pole wagonjwa
 
Hajamtukana mtu lakini.
Ana haki ya kutoa maoni yake.

Tatizo wakosoaji na Wapinzani hawajaweza kuwafundisha watanzania wakatambua umuhimu wa Demokrasia ya vyama vingi katika ustawi wa haki za binadamu.

Mfano Mbowe amebaki na siasa za maandamano na mikutano ya hadhara na kauli za kejeli na matusi kwa Mh. Rais kama vile ndilo hitaji la watanzania.
Watu hawahitaji hayo kwanza. Elimisheni watu nyumba kwa nyumba wajue kwa nini tuwe na mfumo wa demokrasia. Kwa nini tunaihoji serikali! Kwa nini kuihoji serikali sio kosa wala uhaini!!
Muwaelimishe watu juu ya haki yao ya kuwakataa viongozi wanaozuia kodi zao walizotoa zisiwaletee maendeleo.

Mbeya wameonyesha mfano kwa walipa kodi wasio na vyama kuhoji uhalali wa maendeleo kuzuiwa maeneo yao wakati wanatoa kodi. Lema angewaelimisha watu wa Arusha,Mbowe watu wa Hai, Nasari watu wa Meru,Msigwa watu wa Iringa ,Mdee watu wa Kawe n.k .Pia madiwani wakafanya hivyo mpaka serikali za mitaa.
Leo hii hama hama isingekuwepo mana wananchi wangeihoji serikali wao wenyewe.
Mageuzi yatakuja wakati ambapo wananchi watasema wao wenyewe sio kusemewa na wanasiasa hata pale ambapo sio mahitaji yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kumzihaki Mungu wewe. Unafikiri bila mbowe tungekuwa hapa tulipo ? Waambie waweke tume huru ya uchaguzi, halafu ndo uje hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kumzihaki Mungu wewe. Unafikiri bila mbowe tungekuwa hapa tulipo ? Waambie waweke tume huru ya uchaguzi, halafu ndo uje hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee wewe ndio unamkufuru Mungu.
Yani Mbowe ndio ametufikisha hapa?
Acha utani.
Labda hapa kwa maana ya kufikisha Chama cha Demokrasia na maendeleo kuwa Chama cha Kidikteta.
Alivyo wa ajabu anajishitaki mwenyewe kuwa JK alijenga Demokrasia ; sasa jiulize kama JK alijenga demokrasia wakati huo ilikuaje yeye akabadili katiba ili awe Mwenyekiti wa kudumu ? . Huoni kuwa wakati serikali ilipokua inajenga demokrasia yeye alijenga Udikteta!!?

Nyie ndio mnampotosha Mbowe matokeo yake anafanya mambo ya Aibu na ya kipuuzi ya kukiua chama kwa makusudi ; Chama kilichojenga kwa damu za watanzania.

Mbowe wakati wa uchaguzi wa kwanza Mwaka 1995 alikua na miaka 35 hakuwa jina zaidi ya eneo lake la Hai. Hata hivyo alikosa Ubunge kutokana na nguvu ya CCM na NCCR Mageuzi.
Kilimanjaro Mbowe hakuwa na jina kama Ndesamburo ndani ya Chadema. Jina kubwa lilikua la Mrema wa NCCR wakati huo ambaye alitokea CCM.
Watanzania wako tayari kwa mageuzi na wanaunga mkono vyama vingi lakini tatizo ni kuwa na watu wa System kama alivyo Mbowe ambao wanatumika kuwazuia wanamageuzi halisi kushika uongozi wa harakati za mageuzi.
Mbowe nimeshakuambia ni MTU aliyepandikizwa kama alivyokua Makongoro mwaka 1995 ili kuwaonyesha watu kuwa kuna upinzani.

Mbowe ametuhumiwa kwa kashfa nyingi sana za kuhusika na mauaji ya wanamageuzi na wapigania haki wa kweli kama alivyokuwa Chacha Wangwe na jaribio lake hivi karibuni akishirikiana na wenzeka wasiojulikana kujaribu kumuua Lisu.
Mbowe anajua kinachoendelea na anajua kuwa anawahadaa watanzania kwa kujifanya kuiambia serikali kuwa Leteni wachunguzi wa kimataifa.Anajua kuwa ni ndoto hilo kufanyika mana anajua kuwa kazi yake ni kuhakikisaha Chadema haiwezi kuongozwa na MTU wa kuiangusha CCM.
Kumbuka mwaka 2005 aliposhindwa alikubali na kuhudhuria sherehe ya kumwapisha Kikwete bila tabu. Ili ujue kuwa Mbowe alikua ni pandikizi la CCM na alikua kwenye Mtandao wa JK na wenzake. Mbowe hajawahi kuibua kashfa yoyote ya Ufisadi tangu aingie kwenye siasa. Tofauti na Lisu ,Kafulila , Zito na Dr.Slaa.
Mwaka 2010 Slaa alikataa matokeo ya urais, mwaka 2015 Ukawa walikataa. Mwaka 1995 Mrema alikataa. Mwaka 2005 Mbowe alikubali. Sasa pima mwenyewe. Huyu Mtu sio mpinzani. Kwa sasa anafanya siasa kama vile anaugomvi binafsi na Mh. Rais. Anapinga kila kitu hata chenye manufaa na hata kuwashughulikia viongozi wenzake wote wanaojitokeza Hata kwenye mikutano ya Rais wa nchi.
Siasa gani hizo au ni utoto na Chuki tu !!

Jambo lingine la kulitambua ni kwamba Mbowe hajawahi kufanya maandamano Jimboni kwake Hata siku moja mana yeye hakutumwa kuwatetea watanzania Bali kutafuta hela kupitia SACCOS yake ya Chadema na anawaona wanaomfuata kama wajinga vile.

Mbowe ametuharibia siasa za nchi hii na anakivuruga Chama kwa sababu ya Chuki zake binafsi. Mbowe anaturejesha kwenye siasa za akina Chief Mariale aliyekua anapigania Uhuru wa eneo lake tu na tumbo lake na sio Tanganyika nzima.

Namshauri tu Mbowe awe mzalendo na aachane na ubinafsi ,aonyeshe mfano wa demokrasia iliyojengwa kwa damu za watu.
Na pia asitafute huruma ya watanzania kwenye kesi zake za jinai alizofanya kwani kama kuna mtu asiye na mvuto kwenye ile kesi Mbowe ni wa kwanza. Tunaisubiri kwa hamu mahakama itende haki bila kuogopa vitisho vya Mbowe. Kesi iko wazi Mbowe hawezi kuchomoka labda DPP aingilie kati lakini ana kila sababu ya kula mvua ya miaka Jela na kufanya kazi ngumu na mateke juu. Kama ni siasa za vitisho basi akawe mnyapara huko gerezani. Yani anakosa busara ya kawaida tu; anaingilia mpaka Uhuru wa mahakama wazi wazi!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IKIPATA UPENYO HUWA HUFANYI KOSA naonaa mbowe anakutesa sana
Ni kweli napata mpaka hasira mana Mbowe anaturudisha nyuma sana kwa ubinafsi wake.

Wakati wa DR. Slaa na Lipumba wa Cuf tulishahama kwenye siasa za ajabu ajabu na Chuki tukafikia siasa za maridhiano.
Mara kadhaa walienda kuonana na Rais wa awamu ya NNE kwa uzalendo mkubwa na yeye aliyafanyia kazi maombi yao mengi sana.

Leo hii Rais tunaye ambaye ni Mkuu wa nchi badala ya wapinzani kuomba kuonana naye wao wanamtukana. Siasa gani gizi?
Mh.Rais wa A 5 ni mtu anayependa utani na ucheshi kwenye mambo ya kawaida alimradi yasiwe ni mambo ya kulihujumu Taifa na ufisadi. Kwa hiyo Mbowe angetumia busara ya kufikisha malalamiko yao kwa Rais kama wana nia kweli ya kujenga nchi au kufanya siasa zenye lengo la kuleta maendeleo. Maridhiano ni muhimu ili kuweka wazi matatizo ikiwezekana mkuu wa nchi atume watu wake wafuatilie. Kuna mambo mengi yanafanywa na watendaji wake wakati hajawatuma. Rais hawezi kutuma Mkurugenze abadilishe matokeo ya wazi kabisa ya uchaguzi. Na Rais wa awamu hii hana Mtandao ndani ya chama chake hivyo hana sababu ya kumbeba mtu aliyeshindwa.

Hata hivyo Mh. Rais anabaki kushangaa anavyotukana na kuhusishwa na kila tukio wakati hakuna hata mtu aliyefungua kesi achilia mbali kumwona na kumweleza kwa kina nini wanakiona hakipo sawa. Yote hayo yanaweza kufanywa endapo Chadema wangekuwa na Mwenyekiti Mwenye upeo wa kutosha kujua kuwa watanzania wanataka mini kwa wakati huu na atawavuta vipi kuendelea kuwaamini wapinzani pamoja na kasi ya Rais ya A5.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaona Mbowe anachangia humu ila kila hoja anatajwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Anatajwa maana kwa sasa ndiye tatizo kubwa kwa siasa za Upinzani.

Mada zote kwa zinazoletwa humu kwa sasa chanzo ni Mbowe.
Bila Mbowe pangekua hakuna hama hama ya Madiwani na wabunge.
Bila Mbowe pangekua hakuna watu kushughulikiwa kwa namna yoyote hata kupotezwa rejea kauli ya Musiba na Waitara.

Siasa zinazoendelea kwenye majukwaa ya kampeni zote zinasababishwa na matendo ya Mbowe.
...Kwa sasa hakuna mwanasiasa mwenye kashfa nyingi kama Mbowe ,kuanzia kashfa za matumizi mabaya ya fedha,Udikteta ndani ya Chama,kushughulikia watu kwa namna inayotia mashaka ,Ishu ya Lisu, kashfa za kingono, kashfa za Mwenyekiti mwenye elimu ndogo kabisa yenye matokeo ya Ziro form six, kashfa ya kuhamasisha maandamano ya ghafla bila kibali na kusababisha kifo cha Mwanafunzi, kashfa ya kutelekeza familia za mashujaa wote wanaokufa wakati wanakitetea chama, Kashfa ya kushindwa kuhamasisha watanzania watoe fedha za kutosha kumtibu Lisu bila kutegemea Hisani ya bunge au serikali, kashfa ya kushindwa kujenga hata makao makuu ya chama , kashfa ya upendeleo wa viti maalum vya wabunge, kashfa ya kulazimisha viongozi wenzake kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali ,kashfa ya kuuza chama bil.7 , Kashfa ya Ukabila, kashfa ya kupoteza Ben Saanane na kashfa ya hivi karibuni ya kuuawa kwa mlinzi wake.
Kwa kashfa hizo huwezi kuzungumzia jambo lolote baya la nchi hii bila kumtaja Mbowe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee wewe ndio unamkufuru Mungu.
Yani Mbowe ndio ametufikisha hapa?
Acha utani.
Labda hapa kwa maana ya kufikisha Chama cha Demokrasia na maendeleo kuwa Chama cha Kidikteta.
Alivyo wa ajabu anajishitaki mwenyewe kuwa JK alijenga Demokrasia ; sasa jiulize kama JK alijenga demokrasia wakati huo ilikuaje yeye akabadili katiba ili awe Mwenyekiti wa kudumu ? . Huoni kuwa wakati serikali ilipokua inajenga demokrasia yeye alijenga Udikteta!!?

Nyie ndio mnampotosha Mbowe matokeo yake anafanya mambo ya Aibu na ya kipuuzi ya kukiua chama kwa makusudi ; Chama kilichojenga kwa damu za watanzania.

Mbowe wakati wa uchaguzi wa kwanza Mwaka 1995 alikua na miaka 35 hakuwa jina zaidi ya eneo lake la Hai. Hata hivyo alikosa Ubunge kutokana na nguvu ya CCM na NCCR Mageuzi.
Kilimanjaro Mbowe hakuwa na jina kama Ndesamburo ndani ya Chadema. Jina kubwa lilikua la Mrema wa NCCR wakati huo ambaye alitokea CCM.
Watanzania wako tayari kwa mageuzi na wanaunga mkono vyama vingi lakini tatizo ni kuwa na watu wa System kama alivyo Mbowe ambao wanatumika kuwazuia wanamageuzi halisi kushika uongozi wa harakati za mageuzi.
Mbowe nimeshakuambia ni MTU aliyepandikizwa kama alivyokua Makongoro mwaka 1995 ili kuwaonyesha watu kuwa kuna upinzani.

Mbowe ametuhumiwa kwa kashfa nyingi sana za kuhusika na mauaji ya wanamageuzi na wapigania haki wa kweli kama alivyokuwa Chacha Wangwe na jaribio lake hivi karibuni akishirikiana na wenzeka wasiojulikana kujaribu kumuua Lisu.
Mbowe anajua kinachoendelea na anajua kuwa anawahadaa watanzania kwa kujifanya kuiambia serikali kuwa Leteni wachunguzi wa kimataifa.Anajua kuwa ni ndoto hilo kufanyika mana anajua kuwa kazi yake ni kuhakikisaha Chadema haiwezi kuongozwa na MTU wa kuiangusha CCM.
Kumbuka mwaka 2005 aliposhindwa alikubali na kuhudhuria sherehe ya kumwapisha Kikwete bila tabu. Ili ujue kuwa Mbowe alikua ni pandikizi la CCM na alikua kwenye Mtandao wa JK na wenzake. Mbowe hajawahi kuibua kashfa yoyote ya Ufisadi tangu aingie kwenye siasa. Tofauti na Lisu ,Kafulila , Zito na Dr.Slaa.
Mwaka 2010 Slaa alikataa matokeo ya urais, mwaka 2015 Ukawa walikataa. Mwaka 1995 Mrema alikataa. Mwaka 2005 Mbowe alikubali. Sasa pima mwenyewe. Huyu Mtu sio mpinzani. Kwa sasa anafanya siasa kama vile anaugomvi binafsi na Mh. Rais. Anapinga kila kitu hata chenye manufaa na hata kuwashughulikia viongozi wenzake wote wanaojitokeza Hata kwenye mikutano ya Rais wa nchi.
Siasa gani hizo au ni utoto na Chuki tu !!

Jambo lingine la kulitambua ni kwamba Mbowe hajawahi kufanya maandamano Jimboni kwake Hata siku moja mana yeye hakutumwa kuwatetea watanzania Bali kutafuta hela kupitia SACCOS yake ya Chadema na anawaona wanaomfuata kama wajinga vile.

Mbowe ametuharibia siasa za nchi hii na anakivuruga Chama kwa sababu ya Chuki zake binafsi. Mbowe anaturejesha kwenye siasa za akina Chief Mariale aliyekua anapigania Uhuru wa eneo lake tu na tumbo lake na sio Tanganyika nzima.

Namshauri tu Mbowe awe mzalendo na aachane na ubinafsi ,aonyeshe mfano wa demokrasia iliyojengwa kwa damu za watu.
Na pia asitafute huruma ya watanzania kwenye kesi zake za jinai alizofanya kwani kama kuna mtu asiye na mvuto kwenye ile kesi Mbowe ni wa kwanza. Tunaisubiri kwa hamu mahakama itende haki bila kuogopa vitisho vya Mbowe. Kesi iko wazi Mbowe hawezi kuchomoka labda DPP aingilie kati lakini ana kila sababu ya kula mvua ya miaka Jela na kufanya kazi ngumu na mateke juu. Kama ni siasa za vitisho basi akawe mnyapara huko gerezani. Yani anakosa busara ya kawaida tu; anaingilia mpaka Uhuru wa mahakama wazi wazi!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha chuki binafsi. Wabunge 79 madiwani, zaidi ya 1000,majiji dar, mbeya,arusha,iringa kushikwa na cdm sio isue ndogo. Nyerere 1961-1985 alikua mwkt wa TANU/CCM.hulioni hilo. Atatoka madarakani malengo yakifikiwa, kushika dola. Kwa taarifa yako hakuna mpinzani anaeachia madaraka..mpaka chama tawala kisalimu amri. Mnanunua wabunge sababu ya mbowe,mnapiga/mnaua sababu ya mbowe.leo unataka tuwape vibaraka chama ??? Kina shonza,waitara ?? Wakiuze ?? Uwe serious kidogo. Upinzani, yaani kuipinga dola sio lelemama. Polisi yao, jeshi lao, mahakama yao, ffu yao. Wanafiki, vibaraka, na wajinga hawawezi kamwe kuona kazi ya mh mbowe. By the est, unamjua lissu ???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anatajwa maana kwa sasa ndiye tatizo kubwa kwa siasa za Upinzani.

Mada zote kwa zinazoletwa humu kwa sasa chanzo ni Mbowe.
Bila Mbowe pangekua hakuna hama hama ya Madiwani na wabunge.
Bila Mbowe pangekua hakuna watu kushughulikiwa kwa namna yoyote hata kupotezwa rejea kauli ya Musiba na Waitara.

Siasa zinazoendelea kwenye majukwaa ya kampeni zote zinasababishwa na matendo ya Mbowe.
...Kwa sasa hakuna mwanasiasa mwenye kashfa nyingi kama Mbowe ,kuanzia kashfa za matumizi mabaya ya fedha,Udikteta ndani ya Chama,kushughulikia watu kwa namna inayotia mashaka ,Ishu ya Lisu, kashfa za kingono, kashfa za Mwenyekiti mwenye elimu ndogo kabisa yenye matokeo ya Ziro form six, kashfa ya kuhamasisha maandamano ya ghafla bila kibali na kusababisha kifo cha Mwanafunzi, kashfa ya kutelekeza familia za mashujaa wote wanaokufa wakati wanakitetea chama, Kashfa ya kushindwa kuhamasisha watanzania watoe fedha za kutosha kumtibu Lisu bila kutegemea Hisani ya bunge au serikali, kashfa ya kushindwa kujenga hata makao makuu ya chama , kashfa ya upendeleo wa viti maalum vya wabunge, kashfa ya kulazimisha viongozi wenzake kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali ,kashfa ya kuuza chama bil.7 , Kashfa ya Ukabila, kashfa ya kupoteza Ben Saanane na kashfa ya hivi karibuni ya kuuawa kwa mlinzi wake.
Kwa kashfa hizo huwezi kuzungumzia jambo lolote baya la nchi hii bila kumtaja Mbowe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una ushahidi, si upeleke mahakamani mbowe ashitakiwe ? We muongo wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona hujanielewa vizuri.
Hivi unajua kuwa hakuna Elimu inayomwingia mtu kama elimu ya chini kwa chini?
Unajua kile kinachoitwa imani Kali za kidini hua hakisemwi kwenye maandamani lakini kinafundishwa chini kwa chini na kuibuka kwa nguvu kubwa sana.

Baada ya uchaguzi tungekubaliana kwa pamoja kuwa sasa ni wakati wa kujiandaa kwa kujenga miundo mbinu ya vyama vyetu na sio wakati wa kutukanana kwenye majukwaa.
Wapinzani wangetumia mikutano ya ndani kuelimishana zaidi bila kutengeneza jinai kwa kutukana viongozi. Na maandamano yasiyo na vibali wala tija.
Badala ya kukimbizana na kesi mahakamani wangekua wanajenga vyama vyao kwa kuwajenga wananchi kiitikadi.

Unasema wananchi wanajua maana ya Demokrsiasa.Nadhani ungesema wananchi wachache sana.!! Watu wanaojua maana ya kitu hawalazimishwi kukifanya wala hawakatazwi kukifanya pale kinapohitajika kufanywa.
UKUTA ni mfano tu wa kuwa watu wanalazimishwa mambo wasiyoyajua kabla ya kupata elimu. Pray For Lieu nayo pia. Pia mnathibitisha kwa kutangaza kuwa mnaporwa ushindi kwa matokeo ya wazi ya chaguzi.

Kama kweli kuna Hujuma za wazi jambo ambalo linatia mashaka wananchi walioiva kiitikadi na maana ya demokrasia na thamani ya demokrasia na kura zao wao wangelipuka wenyewe bila kuambiwa na Dikteta kamili Mbowe.
Dr. Slaa na Lipumba wanavipaji vya kuelimisha watu juu ya haki zao na demokrasia mpaka watu wanajisikia kuwa kweli wanahitaji kuipigania. Lakini Leo Mbowe atasimama aseme hakuna Demokrasia halafu wananchi wamwelewe kweli?
Watu wataona kama muigizaji tu. Na hata akitoa malalamiko ya kweli watu hawatamwamini mana haishi katika maneno yake mwenyewe.

Ndio maana mnaambiwa mjenge ofisi mpaka vijijini. Iwasaidie kupata sehemu za kujadili na kufundishana agenda zinazoenda na wakati. Huu ni wakati wa demokrasia lakini cha ajabu wananchi wala hawajui umuhimu wake.
Wachache wanaojua wanachukulia kama jambo la kisiasa zaidi kutokana na wanasiasa kutumia muda mwingi kuchambuana na kupigana vijembe kama haki yao kidemokrasia .Yani mtu anataka awe na haki ya kumtukana Rais anavyotaka bila kuulizwa. Hizi sio mila za kiafrika za kuheshimiana. Mwenzako amepiga kampeni akapata Urais basi ni vyema ukampa heshima yake kama Mtanzania na baba wa familia na Kongozi mkubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mikutano ya hadhara na maandamano siyo haki ya chama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kodi Ni tools za kuwafanya watu wawe masikini ili watawaliwe. Si lzm utegemee tu Kodi kwa kuwakamua watu wako Hali zipo njia nyingi tu za kupata pesa ili kuweza kuwaletea watu maendeleo
 
Back
Top Bottom