Ridhiwani kikwete anaishi ikulu!???

Shaycas

JF-Expert Member
Feb 13, 2009
906
110
Wadau naomba kujua kama mtajwa hapo juu anaishi na baba yake hapo Ikulu.
Je kama anaishi hapo ni sawa?
Naomba kuwasilisha
 
Kama anaishi na baba yake au haishi nae, sisi inatuhusu nini? Peleka upuuzi wako huko huko kwa watu wa sampuli yako!

Sasa kati ya yeye na wewe nani ni mpuuzi!? mwenzako kauliza vizuri na kama hauna jibu basi kaa kimya na uwaache wenye majibu! sio kuwakatisha watu tamaa na kuwadhalilisha! Arghhh! grow up!
 
Anaweza kuishi, pale ni nyumbani kwa baba yake kwa sasa si tatizo suala kama anaishi pale au anajitegemea hilo ni la kwakwe binafsi
 
dah mmenikumbusha lau masha kipindi cha kampeni mdau mmoja alimuomba amkaribishe kwake jamaa akaanza kumbwelambwela kumbe anagombea jimboni kwake hana hata kibanda hata baada ya 5yrs kuwa kama mbunge pia minister kila kitu kwa baba!
 
Kuna mambo mengi ya kitaifa ya kujadili lakini kwa kuwa mdau kataka kujua jambo wanaojua ni vyema wakamsaidia huenda anatufanyia utafiti wa maana tutakaouona umuhimu wake baadaye. Kwa taarifa tu ni kwamba Ridhi alikataa kukaa Ikulu ingawa zipo siku huenda na kubarizi huko. Aliwahi kukaa Masaki kisha akarudi pale Ursino kwenye nyumba ya baba yake ambayo kwa sasa inafanyiwa ukarabati mkubwa kwani wamenunua hadi nyumba ya jirani na kumhamisha.
 
poleni kwa wale walio kwazika na mada yangu na nashukuru kwa michango yenu.
Baada ya kusikia tetesi hizo nilitaka uhakika hapa kwa sababu naamini kuna watu wenye uhakika.
Mada yangu kama ingethibitika anaishi hapo,ninge hoji inakuwaje aishi ikulu kama mtoto wa rais au mtumishi wa umma wakati mimi ninaefanya kazi serikalini na kupewa nyumba ya kuishi nimeambiwa naruhusiwa tu kukaa na watoto chini ya miaka 18 lau kama anazidi hapo basi awe anasoma na asizidi miaka 21..
W/end njema.
 
Pole sana mkuu lakini nadhani wadau hawajakereka na mada yako bali wamekereka na huyo mhusika Rizi1.
 
poleni kwa wale walio kwazika na mada yangu na nashukuru kwa michango yenu.
Baada ya kusikia tetesi hizo nilitaka uhakika hapa kwa sababu naamini kuna watu wenye uhakika.
Mada yangu kama ingethibitika anaishi hapo,ninge hoji inakuwaje aishi ikulu kama mtoto wa rais au mtumishi wa umma wakati mimi ninaefanya kazi serikalini na kupewa nyumba ya kuishi nimeambiwa naruhusiwa tu kukaa na watoto chini ya miaka 18 lau kama anazidi hapo basi awe anasoma na asizidi miaka 21..
W/end njema.

we mjeshi?
 
Aishi au asiishi, he is no body to us. Swali lako haliwezi kusaidia kuendeleza hili Taifa, sana sana kulirudisha nyuma tu maana kufatilia private lives za watu ni kukosa kazi.

pax, jaribu ku-argue responsibly:kama ridhiwani anaishi ikulu maana yake ni juwa anaishi kwa kutegemea vijisenti vya walalahoi kwa 100%, bado haikuhusu?!. Kama unajibu la swali tafadhari tupe. Au wewe ndo mhusika-chifu mwakangale!
 
poleni kwa wale walio kwazika na mada yangu na nashukuru kwa michango yenu.
Baada ya kusikia tetesi hizo nilitaka uhakika hapa kwa sababu naamini kuna watu wenye uhakika.
Mada yangu kama ingethibitika anaishi hapo,ninge hoji inakuwaje aishi ikulu kama mtoto wa rais au mtumishi wa umma wakati mimi ninaefanya kazi serikalini na kupewa nyumba ya kuishi nimeambiwa naruhusiwa tu kukaa na watoto chini ya miaka 18 lau kama anazidi hapo basi awe anasoma na asizidi miaka 21..
W/end njema.

Mkuu hizo sheria zimeweka kwenu nyie tu, viongozi wwa nchi hii wana uwezo wa kufanya chochote kinachowatuma kwenye akili zao hata kama sheria hairuhusu
 
dah mmenikumbusha lau masha kipindi cha kampeni mdau mmoja alimuomba amkaribishe kwake jamaa akaanza kumbwelambwela kumbe anagombea jimboni kwake hana hata kibanda hata baada ya 5yrs kuwa kama mbunge pia minister kila kitu kwa baba!
uongo mkubwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom