Ridhiwani Kikwete akanusha tuhuma juu yake na kusema ni uhalifu wa mtandao!

Duu Hii kali, kakanusha hata ya Mnyika!! kweli tuna kazi kama hawa ndio wasomi wetu na kumbukumbu hawana.
niliona jana kwenye thread ya polisi kupiga marufuku maandamano ya kudai maji Ubungo mtu mmoja alicomment kuwa watu wakishajua kuwa umesema uongo wanakudharau.
Ukiangalia aina ya lugha iliyotumika kwenye mabandiko yote mawili haitofautiani na ni kwa nini asubirie mpaka Dr. Slaa amtaje publicly ndipo unaanza kuona dalili za hawa watu kutokuwa makini. Na ni sababu ya kupoteza umakini wao wameweza hata kudhania kuwa ili video clip ingesaidia propaganda bila kuangalia upande wa pili wa 'what, if it doesn't work'!
 
Mmempakazia lakini ataosheka na kutakata

Mtamuosha na kata gani? ondoa upenzi kaa chini iangalie kwa makini utayapata majibu; hata Yuda alipomsaliti Bwana hakujua alitendalo ila baada ya kuyajua aliijutia nafsi yake

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Lwakatare kapakaziwa au kajipaka mwenyewe?

Chama
Gongo la mboto DSM

nafikiri bado uchunguzi unaendelea unge reserve hizi comment zako ikidhibitika ndiyo uzitoe otherwise unajipambanua kwa rangi zako
 
Huyu dogo asitufanye watanzania wajinga.
Kama account yake inavamiwa mara kadhaa kwa nini asiifunge???
Like father like son

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mtamuosha na kata gani? ondoa upenzi kaa chini iangalie kwa makini utayapata majibu; hata Yuda alipomsaliti Bwana hakujua alitendalo ila baada ya kuyajua aliijutia nafsi yake

Chama
Gongo la mboto DSM

Yuda wa kweli ni wewe, JK na CCM mtaishia kujinyonga
 
Matatizo ya ku-cameruniwa kuanzia utotoni kwa vidole na kuendelea ukubwani kwa ndizi ya nyama hudhoofisha akili na kudumaza ubongo na hata kufikia kuwa nusu taahira?Ulikulia wapi weye?Doctor yupo ila kwa jinsi unavyoonekana hauwezi kupona kabisa ila atakusaidia.tatizo lako kuwa muwazi usaidiwe,ucfiche maradhi kwani hayana siri.
 
Mtalikimbia jukwaa mlipomfanyia Dr. Ulimboka ulifikiri serikali machizi?

Chama
Gongo la mboto DSM
Watu nyie waajabu hakuna mfano. Hivi kuna ushahidi makini zaidi ya ule wa muhusika mwenyewe (Ulimboka) kusema aliyenitesa ni fulani? Mbona anayemtaja haguswi? Kisha nyinyi mliokuwa mmelala au mnapiga ulabu vilabuni kujiapiza kuwa hao ni Chadema? Au siku hizi Rama ni kiongozi wa Chadema?
Mambo mengine hata mwehu anauwezo wa kungamua kuwa sio kweli,hebu mwekee mwehu tofali na mkate uone kama ataanza kutafuna tofali.
Upofu huu mmeupataje nyie watu?
 
nafikiri bado uchunguzi unaendelea unge reserve hizi comment zako ikidhibitika ndiyo uzitoe otherwise unajipambanua kwa rangi zako

Sijazuia uchunguzi kama wewe ulivyo na haki ya kutoa maoni hata mimi nina haki kama yako; leo unaongelea uchunguzi kuna kesi ngapi za EPA ambazo serikali inaendelea na uchunguzi na nyie wanachadema mmeshazitolea hukumu mbona sisi hatukuwahoji?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Huo ni uongo kila siku kaingiliwa 2 ni yeye 2
Au amempa mtu kuendesha
ukurasa wake halafu anamuwekea madudu yasiyoendana na fikra zake. Maana
kuna password sasa hawa wahuni wakitembelea ukurasa inakuaje wanaweka
madudu?! Hebu nielimisheni wakuu.
 
Serikali ambayo washauri wake ni kama kina Nape na Ridhiwan Kikwete unategemea wafanye lolote???? Hata kusema uongo wa kawaida tu hawawezi.

Hawawezi kujitetea kwa jambo lolote. Yaani wakiiba wanakamatwa, wakifanya ufisadi wanagundulika, hawawezi kufanikisha jambo lolote! Ni watu wa ajabu sana hii familia ya kikwete!
 
Lwakatare kapakaziwa au kajipaka mwenyewe?

Chama
Gongo la mboto DSM
Waliojipaka ni Ridhiwan, Mwigulu, Nape na Membe hawachomoki, na upelelezi hauwezi kwisha bila wao kuhojiwa kwa matamshi yao.
 
Mtalikimbia jukwaa mlipomfanyia Dr. Ulimboka ulifikiri serikali machizi?

Chama
Gongo la mboto DSM
Kweli aisee. kwa sababu habari za uhakika zilizopatikana ni kwamba Rama Ughondu hafanyi kazi Ikulu ila ni mwanachama mkereketwa wa CHADEMA.
 
Waliojipaka ni Ridhiwan, Mwigulu, Nape na Membe hawachomoki, na upelelezi hauwezi kwisha bila wao kuhojiwa kwa matamshi yao.

Wao kuhojiwa hakuna tatizo kabisa ila kwanza vyombo vya usalama vinaanza na starring mwenyewe kamanda Lwakatare!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
kuna sikunilishawai changia humu.RJK hana iyo habit ya malumbano kumchokoza mtu.yuko buz na mambo yake.bora kakanusha
 
Mtalikimbia jukwaa mlipomfanyia Dr. Ulimboka ulifikiri serikali machizi?

Chama
Gongo la mboto DSM
Damu za watu zimeanza kuwarudi mnaua halafu mnataka kusingizia wengine
soon mtaumbuka tu. Wauaji na wapanga dili wanajulikana wanatesa halafu kesho yake wanakimbilia kupiga nao picha.
 
Back
Top Bottom