Ridhiwani Jakaya Mrisho Kikwete mgeni rasmi-namna ya kuvaa Hijab:Sheik Amri Abeid 31 July 2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ridhiwani Jakaya Mrisho Kikwete mgeni rasmi-namna ya kuvaa Hijab:Sheik Amri Abeid 31 July 2011

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Linyakalumbi, Jul 29, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
1. Linyakalumbi

Linyakalumbi JF-Expert Member

#1
Jul 29, 2011
Joined: Jul 28, 2011
Messages: 259
Likes Received: 19
Trophy Points: 35
Ndicho pekee anachoweza kwa sasa,Hivi kaoa au ndio anakwenda kuchagua Mke jamani,hata kama ameoa,atakuwa anampango wa kuongeza,kwa hiyo anataka kwenda Kuchagua kama MSWATI!!Lakini atakuwa pia anataka kwenda kutazama Lile Ghorofa la Baba yake pale karibu na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa R-Chugga moja.Wananchi mnaombwa kuhudhuria kwa wingi pale Uwanjani ili kumpa Kampani kijana mwenzenu!!

2. AshaDii

AshaDii Platinum Member

#2
Jul 29, 2011
Joined: Apr 16, 2011
Messages: 16,247
Likes Received: 282
Trophy Points: 180
Nilipoona ni news alert ktk heading.... nikajua it is worth opening the thread... Dah!

3. Saint Ivuga

Saint Ivuga JF-Expert Member

#3
Jul 29, 2011
Joined: Aug 21, 2008
Messages: 39,267
Likes Received: 19,410
Trophy Points: 280
kingi mswati wa tz.. lakini dini inamruhusu tatizo liko wapi?

4. M

Mr.Right JF-Expert Member

#4
Jul 29, 2011
Joined: Jul 9, 2011
Messages: 408
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Ebu ondoa huu upuuzi hapa

5. Mizizi

Mizizi JF-Expert Member

#5
Jul 29, 2011
Joined: Mar 8, 2008
Messages: 1,266
Likes Received: 9
Trophy Points: 135
mbona heading na habari ni tofauti?

6. Remote

Remote JF-Expert Member

#6
Jul 29, 2011
Joined: May 20, 2011
Messages: 14,874
Likes Received: 1,561
Trophy Points: 280
Kijana anaudhu gani huyo? Bora hata wangenialika mie "maalim degedege" au kwa7bu sina hela

7. Vin Diesel

Vin Diesel JF Gold Member

#7
Jul 29, 2011
Joined: Mar 1, 2011
Messages: 8,401
Likes Received: 736
Trophy Points: 280
weekend ikifika threads zinakuja ki valuer valuer zaidi....

8. Linyakalumbi

Linyakalumbi JF-Expert Member

#8
Jul 29, 2011
Joined: Jul 28, 2011
Messages: 259
Likes Received: 19
Trophy Points: 35
Jumuia ya wanafunzi Waislam Arusha kwa kushirikiana na Wadau Flani hiv wameanda Tamasha la Kuwafundisha akina Dada namna ya Kuvaa Vazi hili la Burka au Nikab aka Hijab Pale Uwanja wa Sheik Amri Abeid Karuta siku ya Jumapili,moja ya watakao toa somo Ni Baba Kiruwasha yule mtoa mada za Mapenzi Redio Imani usiku.Sasa Mgeni Rasmi kwenye Tamasha hili ndio yule Kijana Mdogo,aliyemaliza Chuo Kikuu katika Kipindi Kisicho zidi Miaka 5,Lakini Ni TAJIRI anayemiliki makampuni ya Usafirishaji wa Malori na Kumiliki Maghorofa ya Kufa mtu,kiasi anawazidi hata wafanyabiashara mashuhuri na Wafanyakazi wa Serikali kama Mawaziri na Maprofesa waliomfundisha Miaka Kibao

9. M

Mr.Right JF-Expert Member

#9
Jul 30, 2011
Joined: Jul 9, 2011
Messages: 408
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Sasa kuna ubaya gania hapo? hela kapewa na baba yake. Baba yake kafanya kazi kwa miaka mingi sasa hivi.

10. Nyalotsi

Nyalotsi JF-Expert Member

#10
Jul 30, 2011
Joined: Jul 20, 2011
Messages: 5,104
Likes Received: 551
Trophy Points: 280

teh,teh,teeeeeeeeh! Uuuuuuuuuuwiiii mbafu sangu!

11. Swahilian

Swahilian JF-Expert Member

#11
Jul 30, 2011
Joined: Apr 28, 2009
Messages: 585
Likes Received: 7
Trophy Points: 35

Sema umekakumbuka kachupa ka valuer banaa! Umelala nini! Kapo ka nyagi hapo kwa jirani amka bac!

12. j

jakamoyo JF-Expert Member

#12
Jul 30, 2011
Joined: May 12, 2011
Messages: 260
Likes Received: 13
Trophy Points: 35

watu wengine wana kinye.... ktk bongo zao. sooooo stupidddd
tangu lini tamasha la dini likawa na mambo ya kama ya muswati?
Tena dini yenyewe ndi strict kama hiyo?
Kuliko ku post pumba bora u....

13. ibraton

ibraton JF-Expert Member

#13
Jul 30, 2011
Joined: Apr 7, 2011
Messages: 211
Likes Received: 82
Trophy Points: 45
hii ndio DUNIA BANA UWANJA WA FUJO''GO RIDHIWANI NEXT PRESIDENT"

14. N

Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

#14
Jul 30, 2011
Joined: Aug 29, 2008
Messages: 3,648
Likes Received: 408
Trophy Points: 180
Wewe hukuwamo kwenye yale mambo ya nanihii kule Kempinsky? Naambiwa hijab ilikuwa rukhsa...

15. Scientist

Scientist JF-Expert Member

#15
Jul 30, 2011
Joined: Feb 7, 2009
Messages: 392
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Cr*p!!!!!

16. Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga JF-Expert Member

#16
Jul 30, 2011
Joined: Oct 28, 2010
Messages: 25,428
Likes Received: 12,699
Trophy Points: 280

HAHAHAHAAAA! WEKEND INAANZIA LINI,?I MEAN YA HAPA JF HIYO YA KIVALUEVALUE?

17. rosemarie

rosemarie JF-Expert Member

#17
Jul 30, 2011
Joined: Mar 22, 2011
Messages: 6,767
Likes Received: 1,023
Trophy Points: 280
keshaoa wangapi huyu dogo
bendera ufata upepo
elimu haimsaidii pumbuani

18. S

Smafuru Member

#18
Jul 30, 2011
Joined: Jul 25, 2011
Messages: 37
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
mtaji alitoa wp?

19. Esperance

Esperance JF-Expert Member

#19
Jul 31, 2011
Joined: Jan 27, 2011
Messages: 364
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Mmmh jamani! Sirudi tena hapa.

20. Mama Mdogo

Mama Mdogo JF-Expert Member

#20
Jul 31, 2011
Joined: Nov 21, 2007
Messages: 2,865
Likes Received: 430
Trophy Points: 180
Dada Flora Msoffe, Avitar yako haiendani ya haiba ya mwanamama, kama kweli wewe ni she nashauri uiobadilishe jamani. Ni ushauri tu, waweza kuukubali au kuukataa!!!!

Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...