Ridhiwani CHADEMA, Wasikutisha, ni wakati wako Kutafuna Nchi

Status
Not open for further replies.
<br />

Hivi wewe Kiumbe Mwenye Ubongo Mzito na Usiye mzalendo,hiki Kiingereza "Presidential Material" kina maana gani!!
I guess i have serious problems when it comes to semantics of some enigmatic writings!!

By the way,Mara ya Mwisho lini Ridhiwan kukupumulia Mgongoni? Did U like It? I see,thats y u cn insult urself just so u cn justify ur boyfriend's Uncleanliness!
Shame On U,U aint got NO PRIDE!!

Mkuu sina shaka utakuwa Umepitia St. Kayumba au Miburani Academy, maana kama huelewi hata maana ya Presidential Material napata shida sana kuendelea kukujibu
 
Mkwara wa Mende kuangusha Kabati huo wengine wanasema Dua la kuku

tatizo lenu ccm mnapenda taarabu afu nadhani wewe utakuwa sophia simba au vicky kamata. Ebu ongea hoja elezea huo uyang milionea kautoa wapi !? Au ndo unashabikia ufilauni wa ccm wewe ni mpumbavu.
 
nani asiye mjua huyu kijana anavyopenda kushtaki kwa baba yake achukue hatua za visasi kwa wapinzani wa mtoto wake......na wewe unayetetea bado hujajitambua
 
Kumetokea tabia ya Vijana wa CHADEMA kushupalia Utajiri wa Mtoto wa Rais Dk. Jakaya Kikwete, wengi wao wao ni Vijana wa CHADEMA wanaosukumwa na Nongwa kwamba Baba yake Riziwani ni Rais.

Napenda kuwaambia Waache wivu wa Kike, Kila Mbuzi hula kwa Urefu wa kamba yake, hata ninyi Baba zenu wangekuwa Ikulu Mngefanya vivyo hivyo. Namuomba Riziwani aendelee kuchapa Kazi kwa Sababu tunaamini ni Presidential Material, na yote hayo Ni Maneno ya Vijana wa CHADEMA ambao wengi wameamua Kuchagua fungu la Kukosa.

Nimewapasha kama Donge linawauma Pandeni juu Mkazibe, mkishindwa Njooni CCM kunako Fungu la Kupata

Hongera Rizwani Hingera ze Yang Bilionea

JF siyo sehemu stahili kwako, ungepitia mirembe kwanza ndipo uje kuchangia humu.
 
Kumetokea tabia ya Vijana wa CHADEMA kushupalia Utajiri wa Mtoto wa Rais Dk. Jakaya Kikwete, wengi wao wao ni Vijana wa CHADEMA wanaosukumwa na Nongwa kwamba Baba yake Riziwani ni Rais.

Napenda kuwaambia Waache wivu wa Kike, Kila Mbuzi hula kwa Urefu wa kamba yake, hata ninyi Baba zenu wangekuwa Ikulu Mngefanya vivyo hivyo. Namuomba Riziwani aendelee kuchapa Kazi kwa Sababu tunaamini ni Presidential Material, na yote hayo Ni Maneno ya Vijana wa CHADEMA ambao wengi wameamua Kuchagua fungu la Kukosa.

Nimewapasha kama Donge linawauma Pandeni juu Mkazibe, mkishindwa Njooni CCM kunako Fungu la Kupata

Hongera Rizwani Hingera ze Yang Bilionea
Halafu CCM mnamtafuta mchawi anayewafanya mchukiwe na watanzania? Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa. Huyu aliyeposti thread hii ya kipuuzi labda kuliko zote nilizowahi kuziona tangu mwaka huu uanze hajui anachofanya, nacho ni kumchongea Kikwete kwa umma ambao siku moja watachukua hatua dhidi yake na hao surrogates wake anaowatumia kuifilisi nchi kwa kuifisadi. Awali sikuwa nikiamini tetesi kwamba kijana huyu kinda aliyemaliza chuo miaka isiyozidi kumi iliyopita ni bilionea! Lakini sasa wenyewe CCM wanakiri hivyo. Suala hapa si kijana huyu kuwa ni bilionea bali ni jinsi alivyoupata huo ubilionea wake.
Hapa inathibitika dhana ya Kikwete kuwa fisadi mkubwa hata kuliko walioamriwa "kuvuliwa magamba" ila anajificha nyuma ya pazia la mkewe na watoto wake haswa Ridhwani. Ni muhimu watanzania wakafuatilia kwa karibu hujuma zinazofanywa na kijana huyu ili wakati muafaka awajibishwe. Kama ni kweli Ridhwani ameshakuwa Bilionea (Nafahamu mtoto wa Lowasa pia ni Bilionea!) basi ikulu imeshakuwa pango la walanguzi na kuna haja watanzania wote kuitikia wito wa CHADEMA wa kupambana na ufisadi uliokithiri ndani ya CCM na serikali yao kwa kusema hapana. Hivi huyu aliyeandika thread hii ni raia wa nchi gani asiye na uchungu na nchi yake? inashangaza nchi yenye vyombo lukuki vinavyoitwa "vya usalama" vinashindwa kufuatilia na kuchukua hatua dhidi ya uhujumu kama huu wa waziwazi.
 
Kumetokea tabia ya Vijana wa CHADEMA kushupalia Utajiri wa Mtoto wa Rais Dk. Jakaya Kikwete, wengi wao wao ni Vijana wa CHADEMA wanaosukumwa na Nongwa kwamba Baba yake Riziwani ni Rais.

Napenda kuwaambia Waache wivu wa Kike, Kila Mbuzi hula kwa Urefu wa kamba yake, hata ninyi Baba zenu wangekuwa Ikulu Mngefanya vivyo hivyo. Namuomba Riziwani aendelee kuchapa Kazi kwa Sababu tunaamini ni Presidential Material, na yote hayo Ni Maneno ya Vijana wa CHADEMA ambao wengi wameamua Kuchagua fungu la Kukosa.

Nimewapasha kama Donge linawauma Pandeni juu Mkazibe, mkishindwa Njooni CCM kunako Fungu la Kupata

Hongera Rizwani Hingera ze Yang Bilionea

Ni kweli R1 ni presidential material maana baba yake ni president. Sisi wengine ni peasant material maana ndio kazi wanazofanya wazazi wetu. Ma-rais wote duniani baba zao walikuwa ma-rais.
 
Huyu kijana alie2ma hii post lazma atakuwa punga cz haonesh ushabik 2 kwa ridhiwan bali upenz...inawezekana wakawa wapenz hawa so 2cwashangae, itz better 2jadili ishu za msingi kujenga taifa hili
 
Kumetokea tabia ya Vijana wa CHADEMA kushupalia Utajiri wa Mtoto wa Rais Dk. Jakaya Kikwete, wengi wao wao ni Vijana wa CHADEMA wanaosukumwa na Nongwa kwamba Baba yake Riziwani ni Rais.

Napenda kuwaambia Waache wivu wa Kike, Kila Mbuzi hula kwa Urefu wa kamba yake, hata ninyi Baba zenu wangekuwa Ikulu Mngefanya vivyo hivyo. Namuomba Riziwani aendelee kuchapa Kazi kwa Sababu tunaamini ni Presidential Material, na yote hayo Ni Maneno ya Vijana wa CHADEMA ambao wengi wameamua Kuchagua fungu la Kukosa.

Nimewapasha kama Donge linawauma Pandeni juu Mkazibe, mkishindwa Njooni CCM kunako Fungu la Kupata

Hongera Rizwani Hingera ze Yang Bilionea

Akili zako hazina akili..........
 
Kwani kuwa CCM ni dhambi? Njoo na wewe huku tufaudu Matunda ya Uhuru, wewe endelea kupiga kelele tu watu tunafanya Alamba... Alamba....CCM Oyee wenye Roho za Kwinini Mtajinyonga Mwaka Huu na Ukizingatia ndio Tumeanza Kujivua Magamba Mmekwisha

Kwa mambo haya waweze shikishwa u.k.u.t.a....na ukalambwa!!endeleeni tu kucheza kiduku!!
 
Jamani huyu jamaa katumia usanii wa kiswahili tu, hana maana hiyo inayoonekana . Ukisoma kwa makini maneno yake ni wazi kwamba anapinga ufisadi na anaulaani ila anachofanya hapa anatumia usanifu wake wa kiswahili kufikisha ujumbe na kuwafikirisha watu.
 
Siku zote huwa nauheshimu ushauri wa baba yangu kuwa, ukiwa mtoni unaoga ghafra akatokea mwehu akabeba nguo zako na kuanza kikimbia halafu na wewe ukatoka kwenye maji na kuanza kumfukuza ukiwa uchi wewe ndo utaonekana mwehu na si huyo unaye mfukuza. TAFAKARI.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom