Ridhiwani awapa siku 7 Dr. Slaa na Mtikila kukanusha utajiri wake

Asante kwa taarifa,hakupaswa kuwa na wasiwasi saana,wala kuita press conference maana wenzie wanatajwa weee bt wananyamaza tu,ila kwa alchokiongea jana ameshatoa nafas tumjadili kwa mapana
 
MTOTO wa Rais Jakaya Kikwete, Ridhiwani Kikwete amesema, Watanzania wasimhukumu kwa kumuona akiendesha magari ya bei ghali na wazipuuze kauli zinazotolewa na wanasiasa wawili wa upinzani kuwa yeye ni bilionea.
Ridhiwani aliwataka Watanzania wasimhukumu kwa kumuona mitaani akiendesha magari ya bei ghali kama vile Benz na kuelezea kuwa, hiyo inatokana na namna alivyolelewa na wazazi wake kuhusu namna ya kuishi na watu. “Hapa mjini jamani tunaishi kimjini si kila kitu unachomuona nacho mtu ni cha kwake,” alieleza Ridhiwani katika mkutano wake na waandishi wa habari Jumatatu Dar es Salaam.

Habari Leo

Mtoto wa Raisi anakiri kuwa anaishi kimjini mjini, kisalamanda salamanda? Haya huko mahakamani aseme tu hizo benz ni za nani na nani anaweka mafuta.

Na mali zetu huwa zinatolewa kimjinijini, na mikataba yetu husainiwa kimjini jini. na madini yetu huchuliwa kimjini jini na watoto wetu wanalipwa kimjini jini kweli wanacheza sanaa kwenye jumba la sanaa.

Nasubiria sana hiyo kesi. kila mtanzania ajumlishe magari yote aliyotumia mzee wa mjini ili tuwajue hao wanaomfanya mtoto wa presidaa wetu aishi kimjini jini.

Nasubiria kesi, nadhani, tundu, Marandu, na professa safari wanapasha kusubiri kukutana na mwanasheria mdogo.

Dr. Slaa hana historia ya kuomba ushindi wa mezani, wewe nenda tu kisutu.
 
Amakweli kijana kachemsha. wewe ule bila kunawa kisha ukane kwamba hujala angalia sasa katika kutaja mali zako umesahau hata kiwanja kilichoko Burka Arusha, au umeuza? Hiyo ni kukurupuka na ndugu yangu nikuhakikishie mali haikwepeki hata kama ipo kwa majina ya mashetani itadhihirika tu muda ukifika kitaeleweka, na kama unataka muda ufike mapema tangulia mahakamani kama unavyodai utaona mambo..
 
Mimi hapa nakubaliana na Dr. Ridhwani Kikwete. Dr. Slaa na mwenzake Dr. Mtikila jukumu la kutoa ushahidi wa madai yao ni lao. Kusema sema tu kwenye majukwaa na kwenye maukumbi kuwa mtu fulani ni fisadi na ana mali hizi na zile haitoshi. Sasa inabidi waje kamili na si nusu nusu.

Na sioni wapi Dr. Ridhwani alipochemka. Aliyosema yote kwenye hiki kipande cha video ni sawa kabisa.

YouTube - Habari za Tanzania via ITV. NA Ridhiwan JK akiwachimba mkwala Slaa na Mtikila
 
It is my ardent hope that Ridhwani knows that if the matter were to proceed to trial, then the onus would be on him to PROVE that :

1. Dr. Slaa and Mtikila uttered that he was a billionaire.
2. He is not a billionaire.
3. That utterance cost him.

The accused will only need to prevent him from proving that they are guilty. They won’t need to prove anything.

I am reminded of another legal threat that was made by another Kikwete. During JK’s presidential campaign of 2005, allegations were made in a British tabloid that Rostam Aziz had secured for him a loan of $20 million from Iran. JK jumped up and down and swore that he would take the tabloid to the cleaners. Nothing of the sort happened.

Ridhwani is not the first CCM big shot to threaten to take Dr. Slaa to court. Real CCM leaders like Mkono and Mkapa have done the same, but being wiser, they let the matter fade quietly. Ridhwani would be well advised to do the same.
 
It is my ardent hope that Ridhwani knows that if the matter were to proceed to trial, then the onus would be on him to PROVE that :

1. Dr. Slaa and Mtikila uttered that he was a billionaire.
2. He is not a billionaire.
3. That utterance cost him.

The accused will only need to prevent him from proving that they are guilty. They won't need to prove anything.

I am reminded of another legal threat that was made by another Kikwete. During JK's presidential campaign of 2005, allegations were made in a British tabloid that Rostam Aziz had secured for him a loan of $20 million from Iran. JK jumped up and down and swore that he would take the tabloid to the cleaners. Nothing of the sort happened.

Ridhwani is not the first CCM big shot to threaten to take Dr. Slaa to court. Real CCM leaders like Mkono and Mkapa have done the same, but being wiser, they let the matter fade quietly. Ridhwani would be well advised to do the same.

Dr. Moshi,

What good does it do for Dr. Slaa and others to keep naming names without any incontrovertible proof and without litigation if they believe Dr. Ridhwani and others who have been alleged (of ufisadi) have indeed illegally gained their wealth?

Eventually people will stop taking them seriously if all they do is talk, talk, talk and no action.
 
Anyways, yote yanawezekana, Slaa & Mtikila hawana ushaidi wa kutosha na pia Riz1 hana uhakika kama hawana ushaidi wa kutosha ambapo mwisho wa siku hakutakuwa na kwenda mahakamani wala nini!!!
 
Kuna uongo mwingine unaudhi sana, kweli Rizone anamiliki heka moja na nusu tu? na kicheche aina ya camry? kweli tumejibiwa kimjini mjini kama maisha wanavyoishi kimjini mjini, sijui na jaji atakuwa wa kimjini mjini au ? nasubiria hii kesi kuliko asubuhi.

haya jamani leo tuanze kuhesabu siku-moja.
 
Amakweli kijana kachemsha. wewe ule bila kunawa kisha ukane kwamba hujala angalia sasa katika kutaja mali zako umesahau hata kiwanja kilichoko Burka Arusha, au umeuza? Hiyo ni kukurupuka na ndugu yangu nikuhakikishie mali haikwepeki hata kama ipo kwa majina ya mashetani itadhihirika tu muda ukifika kitaeleweka, na kama unataka muda ufike mapema tangulia mahakamani kama unavyodai utaona mambo..

Fred thanks umekumbuka kiwanja cha Burka. Dogo ameanza kuzikimbia mali zake mwenyewe, mimi ninafahamu pia kwamba anamiliki BMW X5 , ninamfahamu mpaka dealer wa Dubai aliponunua na of course hajaliuza sasa sijuwi ni nani aliyemwambia kumiliki X5 ni ufisadi mpaka ameona asilitaje. Actually hata nyumba anayoishi Mikocheni ni ya kwake pia nayo hajaitaja. Kama alivyo Rostam, mafisadi hawasajili mali zao kwa majina yao, hili ndilo linalompa jeuri Ridhiwani lakini yeye kama mwanasheria (though uwezo wake ni mdogo sana I know) akumbuke kuna option ya kukabiliana na hilo kisheria.
 
Anyways, yote yanawezekana, Slaa & Mtikila hawana ushaidi wa kutosha na pia Riz1 hana uhakika kama hawana ushaidi wa kutosha ambapo mwisho wa siku hakutakuwa na kwenda mahakamani wala nini!!!

Dr. Ridhwani anajijua na anajua alichonacho. Wewe Baba_Enock hujui mali ulizonano? Nitakushangaa sana kama hujui. Hivyo, kama kweli Dr. Ridhwani anasingiziwa huo utajiri mimi namhimiza aende tu mahakamani (ingawa sina kabisa imani na mahakama zetu) afungue kesi sijui ya slander au libel....watajua wenyewe huko huko mahakamani.

Na ningekuwa mimi na kama kweli nasingiziwa wala nisingeitisha mkutano na wanahabari. Kituo changu cha kwanza kingekuwa mahakamani na kusingekuwa na cha siku saba wala baba yake nani.
 
We fisadi tu, hebu thibitisha kuwa hii kampuni ya a.i.p(african investment............................) ni ya nani? Juzi tu umetoka kuwahujumu wafanyakazi wako kwa kutowalipa mafao yao ya uzeeni. Thibitisha kama si yako ridhiwani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Dr. Ridhwani anajijua na anajua alichonacho. Wewe Baba_Enock hujui mali ulizonano? Nitakushangaa sana kama hujui. Hivyo, kama kweli Dr. Ridhwani anasingiziwa huo utajiri mimi namhimiza aende tu mahakamani (ingawa sina kabisa imani na mahakama zetu) afungue kesi sijui ya slander au libel....watajua wenyewe huko huko mahakamani.

Na ningekuwa mimi na kama kweli nasingiziwa wala nisingeitisha mkutano na wanahabari. Kituo changu cha kwanza kingekuwa mahakamani na kusingekuwa na cha siku saba wala baba yake nani.

NN - Baba_Enock ni fisadi!

yeah - nakubaliana na wewe 100% - kwamba kama mtu ni clean and there are false allegations juu yako - then the very best move you could take ni kwenda mahakamani ku-file case (whatever name you will call it) ili uweze ku-prove "them" wrong..

kuuza sura kwenye TV ni ujinga mwingine altogether!
 
Mh!kile kiwanja kipya cha arusha D.c amekisahau?
Liz-one umeuza kile kiwanja?
 
EEEEH UONGO HANA CAMRY JAMANI huyu jamaa ni muhuni hasa ana zaidi ya hizo. Hii si habari mpya wakati wa Sokoine watu wengi tu walitelekeza mali zao. Pale Arusha tulikuwa tunaokota magunia ya Sukari mto Naura. Anaanza kukimbia mali ajue kuwa watu hawakurupuki wana evidence. Tujue kuwa watanzania wote wamerudisha moyo wa uzalendo.Pale aliposajili viwanja vyake ndio hao waliowapatia data, pale alipopitisha matrailer yake ndo tutapata umiliki wake.Evidence zipo watanzania wana uchungu na nchi yao wewe.ETI Dogo anatishia MAHAKAMANI yeye na Rostam nani kidume mwenzie alijua moto. Nashauri mali zote zinazotajwa zikamatwe aachiwe hizo alizotaja.Baada ya siku 7 asipokwenda mahakamani afukuzwe CCM sababu na yeye katajwa MWIZI MHUJUMU UCHUMI.LIKE FATHER LIKE SON.
 
Back
Top Bottom