RIdhiwani awakandia viongozi CCM..

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Mtoto wa JK RIdhiwani amekuja juu na kuwakebehi viongozi wa CCM kwa kutowajibika bali kamsifu Msekwa..............................

SOURCE MAJIRA JUMAPILI.......................

Hivi Mtoto wa JK ana cheo gani ndani ya Chama hicho hadi kuanza kupima utendaji wa viongozi wake? Is this not an introduction of dynasty politics in our nation?
 
Waache wafu wawazike wafu wezao. Nyanyi hawezi kumtuhumu ngedere kwenye wizi wa mahindi.
 
ISHU SIO MTOTO WA KIKWETE ANA SAUTI GANI.....ishu ni yeye ameongea nini.......na je hatakiwi kama raia mwema kuchangia? ....tuache unafiki....hata wewe(MWANA-JF) umewahi laumu viongozi wa ccm na kuwapongeza mwakyembe na sita WHY NOT RIDHIWANI?
 
kuna sehemu unaweza kuquote ambapo uyu mchangiaji amemsifu mwakyembe na 6? Ridhiwan anataka kuisi taasisi ya urais na ccm ni ya babake. Huu ni ukoloni.
 
ISHU SIO MTOTO WA KIKWETE ANA SAUTI GANI.....ishu ni yeye ameongea nini.......na je hatakiwi kama raia mwema kuchangia? ....tuache unafiki....hata wewe(MWANA-JF) umewahi laumu viongozi wa ccm na kuwapongeza mwakyembe na sita WHY NOT RIDHIWANI?

Hapa kuna kutoelewa mazingira yanayoitwa ''Celebrity status'' au hadhi za watu maarufu. Nitatoa mifano.
Rais Obama alipozingiriwa na nzi mmoja pale Rose Garden hiyo ikawa habari duniani.
Mke wa PM wa Uingereza alipopata mimba hiyo ikawa habari.
Mtoto wa Mandela alipokufa kwa ukimwi hiyo ikawa habari,kana kwamba alikuwa wa kwanza kwa tukio hilo.
Mtoto wa Senator Mcain alipohitimu Military academy hiyo ikawa habari.
Mke wa Rais Sarkozy wa Ufaransa alipojikwaa hiyo ikawa habari kubwa tu.
Mtoto wa Bernazia Bhutto alipokwenda Oxyford hiyo ikawa habari.
Britney Spear aliponyoa nywele zake mwenyewe hiyo ikawa habari.
Kwa muktadha huo huo, mtoto wa JK ni habari kabla hata hajasema neno, kwahiyo anapotoa kauli inachunguzwa kutokana na mahusiano kati yake baba yake na serikali. Ndiyo natural justice inavyohukumu. Ikumbukwe hatuwezi kudharau kauli za Riz1 kama zile za M.S.
Si sahihi kusema ana haki kama raia wengine kwa vile haki aliyo nayo inaambatana na kauli na wajibu kutokana na mahusiano yalipo.
Bila kujali wadhifa wake kichama yeye tu ni habari, na kauli yake deserves close scruitiny.
 
hapo nakubaliana nawe. kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake juu ya siasa zetu kwani sote tu wadau. japo hatuna source ya habari hii, lakini kama sauti ya huyu kijana imekuwa kubwa kiasi hiki kuliko sie wenginebasi ni kwa sababu ananukuliwa na vyombo vya habari. sasa hapo yeye hapaswi kulaumiwa ama kuzuiwa kusema anachamini ni sawa ili mradi hajavunja sheria. kama kulaumiwa walaumiwe hao walioma uzito kwenye media which also i believe is not bad at all as far as he is a citizen like me and you. kama ni uongozi wa kifamilia wanauleta hao wanaoripoti kila unyayo wake unapokanyaga
 
Huyu mtoto wa kilaza, hana akili maana kashaona ccm ni mali yao, anataka ashike yeye hizo nafasi? au anafikiri kila mtu atamnyenyekea kama anavyofanya makamba.
 
Huyu dogo fisadi sana, sasa naona anataka kuanza kuamisha familia za watu yale maghorofa ya NHC BREWERIES, hili wajenge apartments... Kichwani hamna kitu basi ni tabu tu... Lazima hatakiona cha moto, Urais wa baba yake ukimalizika.
 
Hapa kuna kutoelewa mazingira yanayoitwa ''Celebrity status'' au hadhi za watu maarufu. Nitatoa mifano.
Rais Obama alipozingiriwa na nzi mmoja pale Rose Garden hiyo ikawa habari duniani.
Mke wa PM wa Uingereza alipopata mimba hiyo ikawa habari.
Mtoto wa Mandela alipokufa kwa ukimwi hiyo ikawa habari,kana kwamba alikuwa wa kwanza kwa tukio hilo.
Mtoto wa Senator Mcain alipohitimu Military academy hiyo ikawa habari.
Mke wa Rais Sarkozy wa Ufaransa alipojikwaa hiyo ikawa habari kubwa tu.
Mtoto wa Bernazia Bhutto alipokwenda Oxyford hiyo ikawa habari.
Britney Spear aliponyoa nywele zake mwenyewe hiyo ikawa habari.
Kwa muktadha huo huo, mtoto wa JK ni habari kabla hata hajasema neno, kwahiyo anapotoa kauli inachunguzwa kutokana na mahusiano kati yake baba yake na serikali. Ndiyo natural justice inavyohukumu. Ikumbukwe hatuwezi kudharau kauli za Riz1 kama zile za M.S.
Si sahihi kusema ana haki kama raia wengine kwa vile haki aliyo nayo inaambatana na kauli na wajibu kutokana na mahusiano yalipo.
Bila kujali wadhifa wake kichama yeye tu ni habari, na kauli yake deserves close scruitiny.

Mbona JK alipooa mtoto wa nanihii yule mwarabu ndugu ya RA ambaye kamuweka USA HAIKUWA HABARI??
 
ISHU SIO MTOTO WA KIKWETE ANA SAUTI GANI.....ishu ni yeye ameongea nini.......na je hatakiwi kama raia mwema kuchangia? ....tuache unafiki....hata wewe(MWANA-JF) umewahi laumu viongozi wa ccm na kuwapongeza mwakyembe na sita WHY NOT RIDHIWANI?

Hivi kwenye akili yako unadhani kwamba yuko sincere kwenye maneno ya kuwalaumu viongozi wa ccm wakati kuna issues kibao ambazo tunajua amekuwa akitoa maoni kama vile yeye ni band owner kwenye ccm? Can any one believe any of these nuisances wakati malipo ya dowans yako kwenye processing?
 
huo anaoufanya ni ulevi na ulimbukeni wa madalaka ya jk. ukitaka kujuwa kuwa ni nguvu ya mshuwa subili mwaka 2016 kama atakuwa na sauti hiyo au kama ataandikwa na vyombo vya habari. mwaka huo hata jk mwenyewe halahala kutosikika mpaka kwenye siku za ibada kuwa leo ameungana na waislamu wa msikiti wa..... anasikika sana kwavile ni chaguo la baba, mbona wengine hawasikiki?
 
Huyu kijana hana both political legitimacy and moral authority kuwaponda viongozi wa CCm wakati naye ni fisadi pia. Akitaka kujitakasa kwanza atoe maelezo kuhusu wizi wa Deep Green na asalimishe kwa wananchi ule mgao aliyopata.

Haka kakijana kanashangaza sana -- ni very typical na watoto wa marais wengine mafisadi kama vile yule wa Suharto, wa Hosni Mubarak, Gaddafi, Arap Moi na huyu wa Tunisia aliyekimbia.

Ni vyema akafunga mdomo wake -- inatia kinyaa kuona anaongea mambo mazito huku naye kajipakaza uchafu tele!! He should shut up!!!!!!
 
Hebu tuache kuwa WAVIVU WA KUFIKIRI na WEPESI WA KUHOJI AMA KUKEBEHI! Ungejiuliza Ridhiwani ni nani basi usingeifany hii kuwa ni habari!
Jumapili njema
 
Mbona JK alipooa mtoto wa nanihii yule mwarabu ndugu ya RA ambaye kamuweka USA HAIKUWA HABARI??
Nilisikia kuwa JK alimemuoa mdogo wake na RA nikadhani ni uzushi, nimeziona tena hapa leo, je hii ni kweli ndiyo maana mkwere trip za USA haziishi?
 
msekwa peke yake? this is very clear that babake kamtuma aje msafisha.wana ccm who are you by the way? yaani mnakubali kongozwa na kutukaniwa viongozi wenu na na rz1?yanga wenyewe walisema hapabba
 
Back
Top Bottom