Ridhiwani apinge pia safari zisizoisha za Rais Kikwete

Ungana

JF-Expert Member
Jul 16, 2011
357
74
Ridhiwani amesikika akipinga posho nono wanazolipwa wabunge,kama kweli dhamira yake ni kupinga matumizi ya ovyo ya viongozi wa nchi hii,basi amwelimishe pia baba yake kuhusu safari zake zisizoisha nje ya nchi kwani zinatumia fedha nyingi mno
 
hebu mwenye uelewa anielimishe na wengine humu. hivi rais akialikwa let say amealikwa na obama, hivi garama ni za nani? za rais aliyealikwa au kwa rais aliyemualika mwenzake.
 
hebu mwenye uelewa anielimishe na wengine humu. hivi rais akialikwa let say amealikwa na obama, hivi garama ni za nani? za rais aliyealikwa au kwa rais aliyemualika mwenzake.

kama kaitwa basi gharama mtazilipia kupitia ushoga,tembo,madini,gas nk
 
Back
Top Bottom