Ridhiwani aapisha makamanda wapya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ridhiwani aapisha makamanda wapya

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Mar 12, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,204
  Likes Received: 3,995
  Trophy Points: 280
  <table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="606">

  </td> <td align="right" width="139">photos</td> <td align="right" width="12">
  </td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">MJUMBE wa Kamati ya Utekelezaji ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) taifa, Ridhiwani Kikwete, jana aliwasimika makamanda wapya wanne wa UVCCM, Kata ya Kijitonyama katika mkutano wa hadhara uliofanyika shule ya Msingi Kijitonyama, jijini Dar es Salaam.

  Makamanda walisimikwa katika mkutano huo ni Shyrose Banji, Tonny Ngombale Mwiru, Reule Nyaurawa pamoja na Philip Komanya.
  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Wanachama na mashabiki wa CCM wakijimwaya na burudani katika mkutano huo.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Mbunge wa Kinondoni, Idd Azzan mwenye shati la kijani (kulia) akikaribishwa katika hafla hiyo. Kushoto (aliyevaa sare ya CCM) ni Shyrose Banji, ambaye naye alisimikwa ukamanda wa UVCCM Kata ya Kijitonyama

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Shyrose Banji akicheza ‘kiduku’ wakati wa kumsubiri mgeni rasmi.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Baada kuwasili, mgeni rasmi alizindua shina la CCM la wakereketwa la madereva wa teksi wa Kijitonyama.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Bendera ikipandishwa na mgeni wa heshima kuashiria kufunguliwa kwa tawi hilo.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Shyrose Banji akisimikwa ukamanda kwa kuvalishwa gwanda maalum la ukamanda.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Kamanda mpya, Tonny Ngombale Mwiru, akisimikwa kwa kuvishwa gwanda na kofia za chama chake...

  </td></tr></tbody></table>
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,045
  Trophy Points: 280
  HUYU DADA WA NYUMA KAAMUA AJIVISHE UKAMANDA YEYE MWENYEWE.
  SASA SIJUI NI MJAMKUBWA AU NI KITAMBI..
  NI MAWAZO TU...
  [​IMG]
   
 3. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,418
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Bado napinga mtoto wa rais kuingia siasa ilhali babaye yupo madarakani.
  Ninamshuku Kikwete anatupeleka kusiko na atakuja kulaumiwa na umma wa watanzania muda si mrefu.
  Tunamkumbuka Nyerere kwa mema yaliyopitiliza. tutamkumbuka na kumtukuza Muungwana kwa madudu yaliyipotiliza
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,045
  Trophy Points: 280
  Na mtoto wake mwingine wa umri wa miaka minane ni mwenyekiti wa chipukizi taifa.
  Upo hapo\/
   
 5. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,297
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 160
  Makamanda walisimikwa katika mkutano huo ni Shyrose Banji, Tonny Ngombale Mwiru, Reule Nyaurawa pamoja na Philip Komanya."

  Hivi huko CCM ndo wanaridhishana au vipi? Mbona hao waliosimikwa ni watoto wa wakubwa wa CCM?! Ngombale Mwiru, marehemu waziri Marcel Komanya na marehemu mbunge Richard Nyaulawa! Wanasimikwa na mtoto wa rais!
  Naona kichefuchefu........sijui nyie wanajamii mwaonaje?

   
 6. Fisherscom

  Fisherscom JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2010
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,214
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  It's not fair kwa waTZ. Mie najihisi kizunguzungu.
   
 7. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #7
  Mar 12, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,069
  Likes Received: 5,194
  Trophy Points: 280
  I'm sorry.. hawa watu wana matatizo
   
 8. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,838
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  sichangii naweza tapika
   
 9. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,465
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Wana matatizo haswaa sio kidogo mwana wane
   
 10. R

  Renegade JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2010
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,405
  Likes Received: 756
  Trophy Points: 280
  Kweli, mwenye masikio na asikie, mwenye macho na ajionee.
   
 11. Fighter

  Fighter JF-Expert Member

  #11
  Mar 14, 2010
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 611
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kuna siku tutachoka waache waendelee tu,unajua punda akichoka ukimlazimisha utakiona cha mtema kuni kaa karibu yake tu utaona.uyu jamaa anajiita ridhiwani lini nae kawa brigedia?au ndio mambo ya dingi inabore sana na zidi kupata asila na viongozi wqa nchi hii subiri tu
   
Loading...