jamani kweli anaitwa arafa sasa hivi nimetoka kumtafuta google..dah yani kuna watu wamechaguliwa madicine na wamesoma gvnt wamekosa mikopo af yeye....my godness kweli kikulacho kipo nguoni mwako
Kwa jina aitwa Kikwete Arapha. Sifahamu kama ndie ama? Ila kama ni yeye ni mhitimu wa Shahada ya Sheria (LLB) na kwasasa amechaguliwa tena kusoma shahada ya sanaa katika Ushirikiano wa kimataifa (Bachelor of Arts in International Relations-IR) chuo kikuu Dodoma. Amepewa mkopo wa Tshs. 2,430,900/= kwa mchanganuo ufuatao; Chakula na Malazi 1,732,500/- Gharama ya Vitabu 200,000/- na Ada kalipiwa Tsh 498,400/- hii ndo hali halisi. Je kuna tetesi kwa Arapha ni mke wa Rizzzzzz?
[h=3]S0224 KIFUNGILO GIRLS SECONDARY SCHOOL[/h]moe.go.tz/NectaResults/ACSEE2011/s0224.htm - Tafsiri ukurasa huu
ARAPHA KIKWETE. 10. II. G/STUDIES-S HISTORY-D GEOGR-D DIVINITY-C ENGLISH-C. S0224/0505. F.
[h=3]University of Dodoma ( A to L )[/h]www.heslb.go.tz/index.php?... - Tafsiri ukurasa huu
31 Aug 2011 1112, S0224.0007.2008, KIKWETE, ARAPHA, F, BAIR, DM046-Bachelor of Art in International Relations (BA - IR), UDOM, 2430900.00 ...
NO RESEARCH NO RIGHT TO TALK....BEFORE UJALETA HUU UZI HAPA UNGEJISUMBUA AKILI YAKO HATA KIDOGO NDO UANDIKE SIO UNATOA MANENO VIJIWENI NA KUANZA KUTUSUMBUA AKILI ZETU......INA MAANA RIZ1 ALIOA HUYO MTOTO ALIYEMALIZA KIFUNGILO 2011.....INAKERA
Umemaliza kila kitu, nlikuwa nawaza hivi huko vyuoni na bodi wanatumia majina ya kwenye vyeti vya shule au ya ndoa?
mimi ni mtoto, wa mfugaj nakuomba bro ridhi hela aliyopewa mkeo uirudishe isaidie wanyonge, najua unafaham mkeo hakustail mkopo lkn amepata kwasababu bodi imewekwa na dingi yako. wa JF ndio malengo ya milenia haya au ndicho 2lichokuagiza kuzungumza na mshua.
huo ndiyo ukweli mbona unamtetea sana mpaka unajingata au umenunuliwa nini?
mimi ni mtoto, wa mfugaj nakuomba bro ridhi hela aliyopewa mkeo uirudishe isaidie wanyonge, najua unafaham mkeo hakustail mkopo lkn amepata kwasababu bodi imewekwa na dingi yako. wa JF ndio malengo ya milenia haya au ndicho 2lichokuagiza kuzungumza na mshua.