Ridhiwan naomba nisomee mkopo wa mkeo.

stan b

Member
Sep 8, 2011
85
10
mimi ni mtoto, wa mfugaj nakuomba bro ridhi hela aliyopewa mkeo uirudishe isaidie wanyonge, najua unafaham mkeo hakustail mkopo lkn amepata kwasababu bodi imewekwa na dingi yako. wa JF ndio malengo ya milenia haya au ndicho 2lichokuagiza kuzungumza na mshua.
 
Mke wa ridhiwan c tayari ni graduate wa LLb,au ana wake wangapi?
 
Kwa jina aitwa Kikwete Arapha. Sifahamu kama ndie ama? Ila kama ni yeye ni mhitimu wa Shahada ya Sheria (LLB) na kwasasa amechaguliwa tena kusoma shahada ya sanaa katika Ushirikiano wa kimataifa (Bachelor of Arts in International Relations-IR) chuo kikuu Dodoma. Amepewa mkopo wa Tshs. 2,430,900/= kwa mchanganuo ufuatao; Chakula na Malazi 1,732,500/- Gharama ya Vitabu 200,000/- na Ada kalipiwa Tsh 498,400/- hii ndo hali halisi. Je kuna tetesi kwa Arapha ni mke wa Rizzzzzz?
 
jamani kweli anaitwa arafa sasa hivi nimetoka kumtafuta google..dah yani kuna watu wamechaguliwa madicine na wamesoma gvnt wamekosa mikopo af yeye....my godness kweli kikulacho kipo nguoni mwako
 
Arapha kikwete sio mke wa Riz1...mke wake anaitwa Arafa..
Na mkewe ni graduate tayari...wavivu wa kufikiri ndio mwadhani ni mtu mmoja.
 
[h=3]S0224 KIFUNGILO GIRLS SECONDARY SCHOOL[/h]moe.go.tz/NectaResults/ACSEE2011/s0224.htm - Tafsiri ukurasa huu
ARAPHA KIKWETE. 10. II. G/STUDIES-S HISTORY-D GEOGR-D DIVINITY-C ENGLISH-C. S0224/0505. F.

[h=3]University of Dodoma ( A to L )[/h]www.heslb.go.tz/index.php?... - Tafsiri ukurasa huu
31 Aug 2011 – 1112, S0224.0007.2008, KIKWETE, ARAPHA, F, BAIR, DM046-Bachelor of Art in International Relations (BA - IR), UDOM, 2430900.00 ...

NO RESEARCH NO RIGHT TO TALK....BEFORE UJALETA HUU UZI HAPA UNGEJISUMBUA AKILI YAKO HATA KIDOGO NDO UANDIKE SIO UNATOA MANENO VIJIWENI NA KUANZA KUTUSUMBUA AKILI ZETU......INA MAANA RIZ1 ALIOA HUYO MTOTO ALIYEMALIZA KIFUNGILO 2011.....INAKERA
 
jamani kweli anaitwa arafa sasa hivi nimetoka kumtafuta google..dah yani kuna watu wamechaguliwa madicine na wamesoma gvnt wamekosa mikopo af yeye....my godness kweli kikulacho kipo nguoni mwako

S0224 KIFUNGILO GIRLS SECONDARY SCHOOL

moe.go.tz/NectaResults/ACSEE2011/s0224.htm - Tafsiri ukurasa huu
ARAPHA KIKWETE. 10. II. G/STUDIES-S HISTORY-D GEOGR-D DIVINITY-C ENGLISH-C. S0224/0505. F.

University of Dodoma ( A to L )

Welcome to HESLB... - Tafsiri ukurasa huu
31 Aug 2011 – 1112, S0224.0007.2008, KIKWETE, ARAPHA, F, BAIR, DM046-Bachelor of Art in International Relations (BA - IR), UDOM, 2430900.00 ...

HAYO NDO MAJIBU YA GOOGLE MKUU....MUOGOPENI MUNGU JAMANI, HIVI HILI TAIFA LA WATU WANAOROPOKA MTAIPELEKA WAPI NCHI.....NAISITIKIA TANZANIA YA MIAKA 25 IJAYO ITAKUA BALAAA .....FESIBUKU, GOOGLE, TWITTER NDO ITATOA VIONGOZI WETU...JISUMBUENI KUSOMA JAMANIIIIIIII HATA KIDOGO ACHENI KUDESA KILA KITU
 
inakera sana kuona mtu anakurupuka na kuamua kupaisha issues
 
Kwa jina aitwa Kikwete Arapha. Sifahamu kama ndie ama? Ila kama ni yeye ni mhitimu wa Shahada ya Sheria (LLB) na kwasasa amechaguliwa tena kusoma shahada ya sanaa katika Ushirikiano wa kimataifa (Bachelor of Arts in International Relations-IR) chuo kikuu Dodoma. Amepewa mkopo wa Tshs. 2,430,900/= kwa mchanganuo ufuatao; Chakula na Malazi 1,732,500/- Gharama ya Vitabu 200,000/- na Ada kalipiwa Tsh 498,400/- hii ndo hali halisi. Je kuna tetesi kwa Arapha ni mke wa Rizzzzzz?

hivi yule ambaye alikuwa anapongezwa sio yeye huyo..
 
[h=3]S0224 KIFUNGILO GIRLS SECONDARY SCHOOL[/h]moe.go.tz/NectaResults/ACSEE2011/s0224.htm - Tafsiri ukurasa huu
ARAPHA KIKWETE. 10. II. G/STUDIES-S HISTORY-D GEOGR-D DIVINITY-C ENGLISH-C. S0224/0505. F.

[h=3]University of Dodoma ( A to L )[/h]www.heslb.go.tz/index.php?... - Tafsiri ukurasa huu
31 Aug 2011 – 1112, S0224.0007.2008, KIKWETE, ARAPHA, F, BAIR, DM046-Bachelor of Art in International Relations (BA - IR), UDOM, 2430900.00 ...

NO RESEARCH NO RIGHT TO TALK....BEFORE UJALETA HUU UZI HAPA UNGEJISUMBUA AKILI YAKO HATA KIDOGO NDO UANDIKE SIO UNATOA MANENO VIJIWENI NA KUANZA KUTUSUMBUA AKILI ZETU......INA MAANA RIZ1 ALIOA HUYO MTOTO ALIYEMALIZA KIFUNGILO 2011.....INAKERA

Umemaliza kila kitu, nlikuwa nawaza hivi huko vyuoni na bodi wanatumia majina ya kwenye vyeti vya shule au ya ndoa?
 
si tunatumia majina ya kwenye vyeti vya shule hilo la ndoa ni heshma tu serikali wanataka jina lao lile lile la kwenye vyeti vya shule....thanki yuu mkuuu
 
Kweli magreat thinker wa kibongo ni wavivu wa kufikiria. Inakuaje Tcu watumie majina ya vyeti vya ndoa? Aibu!!
 
mimi ni mtoto, wa mfugaj nakuomba bro ridhi hela aliyopewa mkeo uirudishe isaidie wanyonge, najua unafaham mkeo hakustail mkopo lkn amepata kwasababu bodi imewekwa na dingi yako. wa JF ndio malengo ya milenia haya au ndicho 2lichokuagiza kuzungumza na mshua.

daah kweli mafisadi c mpaka serikalini....viongozi wanakula juu ya mgongo wa mkulima na mfugaji...wananchi hvyo hvyo kwenye shida ye mtoto wa mfugaji kwenye matumizi ye pedesheee...yani pale bodi asilimia ka 90 hv kila mtu kajaza baba yake au mlezi ni mkulima ila siku ikifanyika reseach ya ukweli wanaopewa mikopo wataumbuka wengi sana.....kamuuzie mistari yule msanii wa bongofleva akifanya remix aidumbukize ndani
 
Huu uropokaji baadhi ya wa tz utatuponza huo ni uongo 100% fikiri kabla ya kupost
 
huo ndiyo ukweli mbona unamtetea sana mpaka unajingata au umenunuliwa nini?

Waswahili wanasema mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni....sio kumtetea mkuu!! Mke wa Riz1 ni Arafa Mohamed na co Arapha Kikwete!!! Labda mjadala ubadile; badala ya kuendelea na mjadala wa mke wa Riz1 kupewa mkopo labda iwe huyo Arapha anastahili au la! Suala la yeye kuwa na jina la Kikwete sio issue coz' majina ya kibantu ndivyo yalivyo; c ajabu ukakuta hata uhusiano hawana!!! Na hata kama wana uhusiano, wht is impt how close is their relationship.....kama ni mtoto wa babu wa baba aliyemzaa shangazi yake wa baba mdogo ambae hana uwezo basi ana haki ya kupata!
 
mimi ni mtoto, wa mfugaj nakuomba bro ridhi hela aliyopewa mkeo uirudishe isaidie wanyonge, najua unafaham mkeo hakustail mkopo lkn amepata kwasababu bodi imewekwa na dingi yako. wa JF ndio malengo ya milenia haya au ndicho 2lichokuagiza kuzungumza na mshua.

Haaaaa!!! Riziiiiiiiii!! Kamua baba maana siku zaja utakiona chamoto...hii ndio bongo wakuu...
 
Back
Top Bottom