Ridhiwan kuwa mgeni rasmi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ridhiwan kuwa mgeni rasmi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ngoshwe, Jul 20, 2011.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mtoto wa Mhe. Rais mhe Ridhiwan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Kongamano wa kuhamasisha Uvaaji wa Ijab mwaka huu Mkoani Arusha. Vigezo na masharti kuzingatiwa! ( Radio Iman FM)
   
 2. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Angeanza na familia yake, waanze kufunika sura
   
 3. tunalazimika

  tunalazimika JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  acha ubwege wewe-mbona kikwete akifungua warsha za maaskofu husemi-udini utauua ubongo wako
   
 4. M

  Maengo JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umeielewa mada lakin? Kama huwez kufikiria kwa akili yako si ugandamizie kwa wenzio? Angalia wenzio wamecoment kitu gan ndo na wewe utoe coments!
   
 5. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Jamani naomba niulize swali,Kwani Ridhiwani na yeye pia Mhe?
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ndo hiyo kuandaana kwa baadae sio mind them TZ haiko kwenye sistim ya kingship
   
Loading...